Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,156
4,510
Mfanyabiashara maarufu nchini Yusuph Manji amerejea jioni ya leo Juni 01,2021 kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA)

Manji alipowasili leo alizuiliwa kwa muda na maofisa Uhamiaji waliotaka kujiridhisha na uraia wake na kisha aliruhusiwa baada ya Maofisa hao kujiridhisha na uraia wake.

Manji amewahi kuhudumu akiwa Mwenyekiti na Mfadhili mkubwa wa Klabu maarufu ya Yanga.

Mtanzania
 
Wataanza kurudi kuja kufanya biashara zao kwani wameishaona kuna uchochoro umefunguka!!! Tusijidanganye na hawa wakina Manji kuwa wana uzalendo hasa hawa jamaa zetu wahindi; akili yao yote iko kwenye kutengeneza faida halafu kuwekeza nje!

Ili kupata faida kubwa wanakwepa kodi. Tusiwachekee sana hawa mwisho nchi itakujavuna mabua!!! Hakuna mfanyabiashara anaependa kulipa kodi
 
Wataanza kurudi kuja kufanya biashara zao kwani wameishaona kuna uchochoro umefunguka!!! Tusijidanganye na hawa wakina Manji kuwa wana uzalendo hasa hawa jamaa zetu wahindi; akili yao yote iko kwenye kutengeneza faida halafu kuwekeza nje !!! Ili kupata faida kubwa wanakwepa kodi!!!! Tusiwachekee sana hawa mwisho nchi itakujavuna mabua!!! Hakuna mfanyabiashara anaependa kulipa kodi!!!

Alafu hawa jamaa uwa hawajengi nyumba za kuishi, labda huko dar. Zaidi Uwa wanafakamia nyumba za msajili
 
Duh 🙄 Bwana yule alitufikisha pabaya
Pabaya wapi, Wengi wa Watanzania walishazoea Kula chakula cha kutupiwa kama mbwa, na wanaowatupia chakula hicho ndio hao mnaowatetea leo!!

Shida ni uvivu na kukosa uchungu wa kwanini ulizaliwa Tz na upo Tz ili iwe nini, wengi hawaelewi, ispokuwa wanafurahia tu kuwepo Tz pasina kuelewa Ni kivipi kwenye nchi za wengine mtu akiwa mkwepa Kodi Adhabu yake huwa ni kubwa na kali Sana,

Tofauti na Hapa kwetu, mtu akiwa mkwepa Kodi, atayemfuatilia alipe Kodi ataonekana ndiye hafai na ananyanyasa watu

Nchi yangu ya ajabuu sana
 
Wataanza kurudi kuja kufanya biashara zao kwani wameishaona kuna uchochoro umefunguka!!! Tusijidanganye na hawa wakina Manji kuwa wana uzalendo hasa hawa jamaa zetu wahindi; akili yao yote iko kwenye kutengeneza faida halafu kuwekeza nje !!! Ili kupata faida kubwa wanakwepa kodi!!!! Tusiwachekee sana hawa mwisho nchi itakujavuna mabua!!! Hakuna mfanyabiashara anaependa kulipa kodi!!!

..maovu yote wanayafanya kwa msaada wetu sisi wazawa na haswa watu wakubwa serikalini na ktk chama cha mapinduzi.
 
Mkuu kwani dhalimu alikuwa na uzalendo?
Wataanza kurudi kuja kufanya biashara zao kwani wameishaona kuna uchochoro umefunguka!!! Tusijidanganye na hawa wakina Manji kuwa wana uzalendo hasa hawa jamaa zetu wahindi; akili yao yote iko kwenye kutengeneza faida halafu kuwekeza nje !!! Ili kupata faida kubwa wanakwepa kodi!!!! Tusiwachekee sana hawa mwisho nchi itakujavuna mabua!!! Hakuna mfanyabiashara anaependa kulipa kodi!!!
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom