Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.
Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.
He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
Sababu kubwa kwanini hawastahili kushitakiwa ni Katiba yetu inatoa mamlaka kubwa sana kwa taasisi ya Urais ,hivyo kila Rais anateua kulingana na mfumo anaotaka kuongoza.
Awamu iliyopita iliamini ukitakuongoza nchi za Afrika ni lazima ulazimishe watu watii amri, wafanye kazi, na hela iingie...
Katika hali ya kawaida Makonda hana raha kabisa.
Hana raha kwa sababu hana mamlaka yoyote tena ya kumfanya afanye vitu vya kuonekana. Makonda kaondokewa na Godfather.
Makonda anatajwatajwa na watu kuwa kwa matendo yake anaweza kuwa zaidi ya Sabaya. Hata Sabaya aliwahi kumtaja kwa sifa Makonda...
Baada ya waziri wa habari kudai wanasubiri ripoti ya uchunguzi wa uvamizi wa kituo cha runinga cha clouds dhidi ya aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa dar es salaam bw. Paul Makonda imenikumbusha ushauri aliowahi kupewa RC huyo wa zamani na msanii wa kizazi kipya 'Rashid Makwilo' a.k.a 'Chid Benz'...
Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya.
====
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya...
Akihojiwa na Salama Jabir katika kipindi cha Salama na kinachorushwa Dstv, msanii wa bongofleva Khalid Mohamed maarufu TID amesema ishu ya kutajwa katika scandal ya matumizi ya madawa ya kulevya ilimchafua sana kwani alikaa ndani siku 5 na hatozisahau!
TID anasema mpaka leo hajawahi kukaa sawa...
Enzi hizo Mako yupo kwenye kiti Lemutuz alikuwa mpambe haswaa walikuwa wanaitana marafiki wa kufa na kuzikana mtaani Lemutuz alikuwa anamuita mako Le commandant fidel Marshall [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila tokea mako apigwe chini huezi amini Lemutuz alivyobadili gia...
Vikwazo vya kiuchumi si tatizo Sana kwa bilionea Paul, vikwazo vya madaraka ni kikwazo kikubwa kufikia ndoto zake hapa Duniani. Upo mkwamo ndani yake na Hana budi kuvuka vinginevyo mkwamo huu utafifisha kila hatua aliyowahi kupiga kwenye siasa.
Tunajifunza kwa waliofanikiwa,naamu tunajifunza...
Habari,
Mimi ni miongoni mwa watu wachache tuliokuwa tukiuchukia uongozi wa Magufuli.
Matendo maovu na viburi kutoka kwa wateule wa Magufuli akiwemo Sabaya na Makonda ndivyo vilichochea zaidi kuichukia serikali ya Magufuli.
Hawa vijana waliojizolea utajiri kwa kutumia mamlaka yao hawafai...
Kitu pekee ambacho ninajifunza katika hii dunia ni kwamba kila nifanyalo ni lazima lipite, itakua "ilishakuwa". Kiufupi ili uendelee kufurahia maisha katika hii dunia tendwa wema wenzako, tenda haki, jiepushe na arrogance (kibri na majivuno).
Paul Makonda aliyekabidhiwa mkoa mkubwa wenye...
makolo mulibwanji
Bwana magori analalamikia timu kuahidiwa pesa zinapoifunga Simba lakinni alikuwa kimya kipindi wananchi tunateseka
nasema hivii watulie dawa iingie
Nawapongeza sana Mkonda na Dr. Bashiru kwa kuwa waungwana hasa wakinata na ile methali isemeyo mtu mzima akivuliwa nguo uchutama. Wahishimiwa hawa waungwana na watu ambao walifanya kazikubwa sana wanaweza kuwa vijana wa mfano wa kuigwa na vijana wengine kutokana na upepo ambao ulikuwa ukisuma...
Hakuna chenye mwanzo kisicho na mwisho!
Hakuna mwenye matumizi asiyepigika!
Hakuna kipya kisichozeeka!
Hakuna mapenzi kitandani yasiyo na mshindo!
Hakuna penzi lisilochuja!
Hakuna kisicho na ukomo!
Hakuna marefu yasiyo na ncha!
tujifunze kuwaheshimu wengine hata tukiwa na vyeo
Makonda endelea...
Msingi wa jeshi la polisi imara ni operation ili kudhibidi uhalifu. Ndio maana Makonda kama mkuu wa masuala ya usalama aliamini kwenye operation.
Makonda alimsimamia vyema Igp Sirro wakati huo ni kamanda wa kanda maalumu kuhakikisha uhalifu wa kila aina unatoweka Dar.
Vibaka, wahuni, majambazi...
Hao vijana ni wajasiri, wenye kuthubutu, wanajiamini na hawaogopi mtu yeyote yule isipokuwa Rais tu, of course! Mwenye sifa hizo, unamuhitaji sana kipindi hiki:
Watazuia, kikamilifu na bila uoga, chokochoko zozote zile zenye nia mbaya na hivyo kukupatia pumziko la akili (amani) itakayokuwezesha...
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.
CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki...
Hakika dunia tunapita
Nikimkumbuka Polepole anayepigia Wakuu Wa Wilaya, Mikoa mpaka IGP simu usiku Leo hii ni bureee kabisa Hana lolote .
Polepole aliwahi kutamba kwamba ana koneksheni kubwa dah maisha haya.
Makonda akiwa kileleni baba Keagan aliwahi kusema yeye ndio mtu anayepata raha kuliko...
Kesi ya Sabaya Inakosekanaje mashahidi? Hapa kichwa kinaniuma kwa kujiuliza. Jinsi huyu dogo alivyokuwa anafanya "unyama" (kwa mujibu wa maelezo ya watu.
Nlitegemea mahakamani pangekuwa panajaa mashahidi wengi mpaka wanarudishwa makwao au kesi ingefanyiwa kwenye uwanja wa mpira. "Huyu dogo...
Nimeshtuka kuona sasa ni Wiki ya Tatu hii Watanzania wengi wa Mitandaoni ni kama vile tumezimwa ghafla na ule 'Mvumo' wetu wa Kumsagia Kunguni Ole Sabaya na Pacha wake wa Matukio ya 'hovyo hovyo' nchini Paul Makonda.
Ni kwanini Watanzania wa Mitandaoni humu na hata wale wa nje ( katika Jamii )...
Jana katika kipindi cha Dk 45 ITV walikuwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ambaye alipinga vikali utaratibu uliyokuwa unatumiwa na aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa DSM Ndug Paul Makonda wa kuwataja hadharani watu aliokuwa akiwatuhumu au wakidhaniwa kuhusika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.