Kwahiyo Makonda ndiyo kashasahaulika hivyo?

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Hakuna chenye mwanzo kisicho na mwisho!
Hakuna mwenye matumizi asiyepigika!
Hakuna kipya kisichozeeka!
Hakuna mapenzi kitandani yasiyo na mshindo!
Hakuna penzi lisilochuja!
Hakuna kisicho na ukomo!
Hakuna marefu yasiyo na ncha!

tujifunze kuwaheshimu wengine hata tukiwa na vyeo

Makonda endelea kusugua benchi
 
Laana zinamsugua muda huu

IMG_20200820_205617.jpg
 
Hakuna chenye mwanzo kisicho na mwisho!
Hakuna mwenye matumizi asiyepigika!
Hakuna kipya kisichozeeka!
Hakuna marefu yasiyo na ncha!
Hakuna penzi lisilochuja!
Hakuna kisicho na ukomo!
Hakuna marefu yasiyo na ncha!

tujifunze kuwaheshimu wengine hata tukiwa na vyeo

Makonda endelea kusugua benchi
Arudi akatubu kwa Mkwere na mfunge kamba za viatu Rizimoko huenda wakamsamehe wakamuamuru mama ampe shavu.

Maana nchi hii sasa imerudi mikononi mwao.
 
Hakuna chenye mwanzo kisicho na mwisho!
Hakuna mwenye matumizi asiyepigika!
Hakuna kipya kisichozeeka!
Hakuna mapenzi kitandani yasiyo na mshindo!
Hakuna penzi lisilochuja!
Hakuna kisicho na ukomo!
Hakuna marefu yasiyo na ncha!

tujifunze kuwaheshimu wengine hata tukiwa na vyeo

Makonda endelea kusugua benchi
Kwani Nchi haisongi Mbele bila MAKONDA?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna chenye mwanzo kisicho na mwisho!
Hakuna mwenye matumizi asiyepigika!
Hakuna kipya kisichozeeka!
Hakuna mapenzi kitandani yasiyo na mshindo!
Hakuna penzi lisilochuja!
Hakuna kisicho na ukomo!
Hakuna marefu yasiyo na ncha!

tujifunze kuwaheshimu wengine hata tukiwa na vyeo

Makonda endelea kusugua benchi

Aendelee kukaa huko huko. Sio kwa dharau na mbwembwe zile
 
Hakuna chenye mwanzo kisicho na mwisho!
Hakuna mwenye matumizi asiyepigika!
Hakuna kipya kisichozeeka!
Hakuna mapenzi kitandani yasiyo na mshindo!
Hakuna penzi lisilochuja!
Hakuna kisicho na ukomo!
Hakuna marefu yasiyo na ncha!

tujifunze kuwaheshimu wengine hata tukiwa na vyeo

Makonda endelea kusugua benchi
Afilie na kufiriwa mbali mjalaana huyu na wenzake wasiojulikana. Heri angefikishwa kwa pilato ajibu makosa yake.
 
Simkubali Makonda. Ila its obvious kwa siasa za CCM na Tanzania kwa ujumla ni vigumu sana kwa mtu kama Makonda kupotea jumla. Ana umri mbele yake. Ana connections kwenye chama na systems. Na pia ana watu ambao bado wanamkubali na kumuona kama mtu shupavu na jasiri mwenye maamuzi na ambaye anafaa kwa 'tasks' ngumu za kibabe. Saying so, ni suala la muda tu makonda atarejea tena ulingoni kwenye siasa za nchi hii kama kiongozi tena anaweza kuja kuwa kiongozi mkubwa tu. Lazima arudi na safari hii akirudi haondoki tena maana atakua ashajifunza kutokana na makosa ya nyuma.

NB: kwa sasa yuko nje ya nchi, masomoni. Akirejea lazima apewe kitengo. Tutake tusitake. Hii ndiyo Tanzania
 
Makonda hawezifutika kwenye akili za wengi. Ndo maana tanzania inawatu wengi tu waliowahi kuwa wakuu wa mkoa ila mtoa mada umemkumbuka yeye. Huku kwetu mapolini mpaka leo tunajua mkuu wa mkoa dar ni Makonda na hatujui mkuu wa mkoa wetu japo ye anaongoza mpaka kesho
 
Simkubali Makonda. Ila its obvious kwa siasa za CCM na Tanzania kwa ujumla ni vigumu sana kwa mtu kama Makonda kupotea jumla. Ana umri mbele yake. Ana connections kwenye chama na systems. Na pia ana watu ambao bado wanamkubali na kumuona kama mtu shupavu na jasiri mwenye maamuzi na ambaye anafaa kwa 'tasks' ngumu za kibabe. Saying so, ni suala la muda tu makonda atarejea tena ulingoni kwenye siasa za nchi hii kama kiongozi tena anaweza kuja kuwa kiongozi mkubwa tu. Lazima arudi na safari hii akirudi haondoki tena maana atakua ashajifunza kutokana na makosa ya nyuma.

NB: kwa sasa yuko nje ya nchi, masomoni. Akirejea lazima apewe kitengo. Tutake tusitake. Hii ndiyo Tanzania
Jinga wewe,eti tutake tusitake, mlisema hivi hivi kwa dikteta kuwa ataongezewa muda atake hasitake
 
Jinga wewe,eti tutake tusitake, mlisema hivi hivi kwa dikteta kuwa ataongezewa muda atake hasitake
We fala kweli. Ndiyo angeongezewa muda. Huo ndio kweli. Bila kifo kumchukua JPM angeendelea kuwa rais kwa muda mrefu tu. Na kwa makonda pia atarudi ulingoni labda afe kama mwendazake vinginevyo akiwa hai lazima atarudi kwenye medani za uongozi wa nchi hii. Narudia tena utake usitake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom