makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. T

    Makonda ana tabia zote za Hayati Magufuli

    Habari wanajamvi? Nilikuwa naangalia katibu mwenezi Paul Makonda yupo anyara Leo na Leo analala anyara ili kesho aende kelele kusikiliza matatizo ya wananchi. Ninaona kabisa zile itikadi za Magufuli anazo kwa asilimia zote. Na haya ma game Makonda anayaweza sana. Kuna mama alikuwa anadai...
  2. Mkutano wa Makonda Arusha ulidoda

    Kama ilivyo desturi Arusha ni nchi ya wajanja hawataki ujinga. Licha ya kukusanya wajinga wajinga kutoka Karatu, Monduli, Longido, Loliondo, Arumeru na Karatu bado mkutano ulipwaya sana. CCM kwakujua Makonda si lolote si chochote walikimbia uwanja wa Sheikh Amri Abeid na kufanya mkutano Soko la...
  3. PreGE2025 Kauli za Makonda huko Kilimanjaro, Tanga na Arusha: Je, anaona waliopo wanapwaya?

    Paul Makonda a.k.a Bashite wa Kolomije ameteuliwa hivi karibuni kuchukua nafasi ya Uenezi wa CCM. Bashite ikumbukwe alikuwa mkuu wa Wilaya na Baadaye Shujaa alimteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam. Bashite inasemekana amekuwa na kauli zisizo safi masikioni, be it kwa wadogo ama wakubwa zake...
  4. Watumishi wa serikali, Wakurugrnzi na Mawaziri, je vyeo mlivyonavyo ni vya asante hamna mamlaka navyo?

    Nimekuja hapa ninayo machache sana ya kuongea japo naona kama niongee mengi! Nasikitika ninapoona Katibu itikadi na ueneziwa CCM, akiwakalipia Wakurugenzi,DC,Waziri na Wabunge nabaki kinywa waz,i sielewi kile cheo cha uitikadi kikubwa kiasi kiribia na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi...
  5. PreGE2025 Makonda: Mwacheni Mbowe afanye tu harambee za Kanisani, na ili afanikiwe lazima aje kwa Watu wa CCM. Inawezekana ile 150m iliyotoka ilikuwa 200m

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda akiwa katika Ziara ya Wilayani Hai mkoani Kilimajanro amewaambia wanaccm kuwa wamuache Mbowe afanye tu harambee za Kanisani Amesema "Kaka yangu yule mwacheni afanye harambee za Kanisani, na ili harambee za Kanisani...
  6. PreGE2025 Video: Makonda alivyoingia na Mkokoteni wilayani Hai

    Angalia hapa jinsi Makonda alivyoingia kwenye mkutano na Mkokoteni wa Ndizi. Nini maoni yako? πŸ“Ή WasafiTv
  7. PreGE2025 Makonda: Mbinguni walimchukulia fomu Rais Samia. Adai Mbowe anajua kama Samia ametumwa na Mungu

    Kipenga cha 2025 kishapulizwa na kauli za wanasiasa zishaanza, Makonda akiwa Hai kasema mbinguni walishamchukulia fomu Rais Samia na hata mbunge wa zamani wa Hai(Mbowe) anajua Rais Samia ametumwa na Mungu. ====================== For English Audience The 2025 political winds have already...
  8. P

    PreGE2025 Makonda: Ningeteuliwa kuwa Mwenezi kipindi cha Magufuli wangenyooka hawa

    "Mimi ni Mwenezi ninaebadilika kutokana na mazingira, ningeteuliwa kuwa Mwenezi kipindi cha Magufuli chuma wale jamaa wangenyooka. "Sasa Kipindi hiki na mimi najaribu kuwa na kauli za mama, Mama mstaarabu, unatamani kupiga panch lakini unasema mhhh, mama sio mapigo yake haya. Sasa kwa upendo...
  9. PreGE2025 Kilimanjaro: Wananchi Same wamkataa mbunge David Mathayo, wasema haonekani jimboni na bungeni

    Katika ziara ya Mwenezi wa CCM, Paul Makonda Wananchi jimbo la Same wameonesha kutokuwa na imani na mbunge wao, ambapo wamedai kuwa mbunge huyo amekuwa akirudisha nyuma maendeleo ya jimbo hilo hasa kwa kuwagawa vijana na watu. Wamemnukuu Hayati Nyerere kuwa ili maendeleo yawepo lazima kuwepo na...
  10. PreGE2025 Kwa hali inayoendelea mtaani, Makonda ndio akiba pekee ya CCM upinzani imara ukitokea

    Sio siri tena hali ya mtaani inazidi kuwa tete kwa wananchi na kama haitoshi hawaoni yeyote akiwatetea,zaidi ya kuwapendelea matajiri.Mifano wanayotoa ni:- 1. Bei za nauli zinapanda bila kujali maslahi ya wananchi kwa kisingizio cha kupanda mafuta,wanauliza mbona yakishuka bei hakuna...
  11. Makonda kabla haujatoa kibanzi jichoni kwa mwenzio ni vyema ukatoa kibanzi jichoni mwako

    Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana mara tu baada ya kusikia na kusoma mitandaoni ziara ya mh katibu wa uenezi na itikadi wa chama cha makijani aliyepanga kufanya nchi nzima. Sina hakika wananchi wataipokeaje ziara yake ila ningependa kumshauri ndugu yangu makonda kabla hajazunguka mikoa...
  12. Tanga: Serikali kutumia Tsh Bilioni 3 kutoa maji yanayotoka Mto Zigi hadi Muheza

    πŸ“ŒπŸ“Œ WAZIRI AWESO AMTHIBITISHIA MWENEZI MAKONDA KUWA CHANGAMOTO YA MAJI MUHEZA INAKWENDA KUISHA HIVI KARIBUNI Waziri wa Maji Ndugu. Juma Aweso amthibitishia Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda kuwa Serikali kupitia Wizara ya Maji anayoiongoza...
  13. PreGE2025 Makonda: Kuna watu hawapendi navyowashughulikia (Watumishi wazembe), lakini Mimi nitafanya!

    Hayo ameyasema akiwa Wilayani Korogwe. Sambamba na Hilo, amedai kua alipokuwa mapumzikoni , Sheikh Mkuu Zuberi pamoja na Kadinali Pengo walikua wakimtembelea Mara Kwa mara kumfariji.
  14. PreGE2025 Makonda: Iwe mwisho CCM kutegemea wasanii kujaza watu kwenye mikutano

    "...ifikie hatua CCM kisitegemee wasanii kuleta watu wa kukisikiliza kwenye mikutano yake. Kusema hivyo si kwamba CCM hakiwahitaji wasanii tena bali ni muhimu sasa CCM kitimize wajibu wake wa kutekeleza sera na kwalo itawavutia Wananchi kuja kuwasikiliza Viongozi wa chama. NDIYO MAANA MIMI...
  15. Makonda awaonya wanawaweka ndani kwa kuwa wana kero zinazowasumbua

    πŸ“ŒπŸ“Œ MAKONDA ABAINISHA ZAIDI YA TSH BILIONI 6 ZINATUMIKA KWA MRADI WA UMEME WA JK. NYERERE, KUFIKIA MWEZI MARCH MITAMBO MIKUBWA KUUNGANISHWA Katibu wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda katika kueleza dhamira ya Chama Cha Mapinduzi...
  16. PreGE2025 Mwambieni Dkt. Nchimbi, aache kupambana na Makonda, Nyota ya Makonda imeinuliwa na Mungu ili kuwatetea wanyonge kama alivyokuwa Hayati Magufuli

    Pengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia . Pengine Mungu kaamua kuendelea kuwapa ugumu wa Moyo na kufabaza akili zenu ili mshangazwe !!. Paul Christian Makonda, Uthubutu alonao ni zaidi ya Hayati John Pombe Magufuli, na Hawa ndio aina ya watu ambao wanaweza kulivusha Taifa hili...
  17. PreGE2025 Ushawishi wa Makonda ni mbingu na ardhi na wa Nchimbi

    Vyovyote vile iwavyo, ukweli ni kuwa Makonda ana nyota ya ushawishi kuliko SG Nchimbi. Hata ukifuatilia namna mapokeo ya hadhira inayo hudhuria mikutano yao, wazi huwezi kuchelewa kung'amua hilo. Pamoja na wengi kumpuuza Makonda, lakini ukweli ni kwamba anao ushindi ulio bayana lijapo suala...
  18. PreGE2025 Mwenezi Makonda: Sifanyi mikutano ya kujaza watu kwa kutumia wasanii kwasababu tunataka kuona uhai wa CCM na jumuiya zake

    πŸ“ŒπŸ“Œ SIFANYI MIKUTANO YA KUJAZA WATU KWA KUTUMIA WASANII KWASABABU TUNATAKA KUONA UHAI WA CCM NA JUMUIYA ZAKE - MWENEZI MAKONDA Asema CCM Inawapenda na Kuwajali Wasanii lakini kwasasa ni muhimu kuona Uhai wa Chama, Wasanii wataburudisha kipindi cha kampeni Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
  19. M

    Ziara za Makonda hazina mvuto tena. Wananzengo wameg'amua ni maigizo ya kisanii

    Pamoja na mikwara mbuzi ya kupiga simu lakini hakuna jipya. Dhuluma na ufisadi bado vipo palepale. Polisi na Mahakamani dhuluma. Upigaji ulisharuhusiwa. Maana kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake wanaogopa kuvimbiwa tu
  20. PreGE2025 Mwenezi Makonda ampatia tsh milioni 2 kijana mjasiriamali mwenye kujiendeleza kibiashara

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda amempatia kijana wa kiume mjasiriamali mwenye ulemavu kiasi cha Tsh Milioni 2 kama sehemu ya kujiendeleza katika biashara yake ya duka la vinywaji. Mwenezi Makonda amefanya hivyo mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…