Wakuu habarini za wakati huu..
Nipo Pwani huku wilaya ya Rufiji kuna Kijiji kinaitwa Mloka, mida ya jioni hii kuna kijana wa Bodaboda kapata ajali mbaya sana.
Kama mnavyojua maeneo haya gari za kutembeza watalii ni nyingi sana, sasa kuna vijana kama watatu walikuwa kwenye kushindana kumwaga...