makini

Jully Makini (also known as Jully Sipolo) (born c. 1953 (age 64 in 2017)) is a Solomon Islander poet, writer and women's rights activist. The author of poems such as Civilized Girl (1981) and Praying Parents (1986), in June 2017 she received the International Women of Courage Award from the US Secretary of State for her work in promoting women's rights in the Solomon Islands.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Mamlaka kuweni makini kuna mamluki wanataka kuleta fujo na kuisambaratisha amani yetu

    Kwa hali ilivyo, nasisitiza kwa hali ilivyo, Mamlaka ziwe makini sana na kufuatilia kwa karibu mienendo ya hivi karibuni ya baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, Aina ya ukosoaji na lugha zinaztumika si sahihi hata kwa mtu aliyekosa sembuse kwa anaetengeneza Bado nachunguza ila...
  2. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Soma kwa makini: Dalili zinaonesha kuwa huenda mkataba wa bandari ukasababisha vifo vya watu

    Habari zenu wana jf wenzangu. Wakuu baada ya kufuatilia kwa kina kile kinachoendelea katika swala hili la bandari, hususani hapa JF, nimegundua kwamba kuna uwezekano mkubwa wa siku kadhaa zijazo tukashuhudia vifo mbali mbali ndani ya makundi kadhaa nitakayoyaorodhesha hapo chini. 1. Kundi la...
  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Dereva makini, fanya yafuatayo

    Dereva makini unatakiwa kabla ya kuliondosha au kuwasha gari lako ufanye mambo haya:- Ufanye ukaguzi wa nje ya gari Matairi kama yote ni mazima, hakuna sehemu iliyotuna Taa zote kama zinawaka(taa kubwa, indicator, reverse, hazard, break) Ukaguzi wa boneti Maji ya radiator Maji ya wiper Oil...
  4. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Video: Tuweni makini usiku jamani

    Ingekuwa wewe ungefanyeje?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Muuza magari Chris Lukosi awe makini

    Huyu Mwamba namkubali sana na namshukuru kwa kuleta ushindani hasa kwenye biashara ya magari. Kwenye ushindani huu ambapo angalau anauza madungu jeshi kwa bei ya kuridhisha reasonable price ukilinganisha na show rooms zingine. Fikiria wengine walikuwa wanauza na wanauza hayo magari kama ya...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu nchi makini kama China au Urusi haiwezi kukaribisha watu weusi kiholela nchini kwao

    Kinachoendelea Ufaransa, kilichotokea Marekani wakati wa maandamo ya Black Lives Matter, na uhalifu mkubwa kwenye nchi ambazo watu weusi ni wengi kama vile Brazil, au nchi ya Afrika yenye influence ya wazungu kama South Afrika ni ishara kuwa mtu mweusi ukimchanganya na mtu mweupe lazima...
  7. Von_Lufuta

    JamiiForums Tanzania Kwa hili nililoliona, Wazazi kuweni makini sana kuweka uangalizi kwa watoto wadogo wa kiume

    Habari zenu wakuu.. Hope mpo vizuri. Bila kupoteza muda, Wiki 3 zilizopita nikiwa Mkoa X, nilikutana na tukio la kusikitisha sana. Sio mimi tu, hata watu wa mtaa ule wanawake kwa wanaume waliishia kushika vichwa na wengine kumwaga machozi kabisa. Ilikuwa hivi.. Kuna nyumba fulani ambayo...
  8. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Hongera Sana TCU kwa Kuanzisha mfumo wa Paper writing

    Huyu Prof aliyegundua mfumo wa Paper writing kwa hawa post graduate alifanya Jambo moja zuri na msaada sana kwenye kuwajengea uwezo wasomi wetu wa kulinganisha hoja (speech with references) Huwa naumia sana ninapoona Hawa wasomi wa miaka ya nyuma kidogo wanapoita press harafu wanakuwa hawana...
  9. carnage21

    JamiiForums Tanzania Wadada mnaovaa mawigi kuweni makini mnapopita kwenye hii milango ya kisasa

    Leo nimeshuhudia wigi la mdada limeanguka baada ya kunata kwenye mlango,aisee ki ukwel ana kichwa kibaya saaaaanaa. MY TAKE Kama ni mdada na unavaa mawigi ongeza umakini usije kuaibika kama una kichwa kibaya.
  10. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Tanzania tusipokuwa makini Rwanda itatuaibisha

    Ndugu zangu Watanzania wakati umefika sasa tuelezane ukweli kuhusu ujinga na dhana yetu ya kuichukulia 'poa' Kigali tukijidanganya kwa mambo mengi na ya kipuuzi. Miongoni mwetu bado tunaidharau Rwanda kwa udogo wa eneo lake na wengine tukijidanganya eti Rwanda ni sawa na mkoa hivyo si lolote si...
  11. Midimay

    JamiiForums Tanzania Facts kadhaa zinazoufanya Mkataba wa Tanzania na Dubai juu ya Bandari kuwa batili. Tuwe nazo Makini

    Habari za asubuhi wana JF, Tunaendelea na hili jambo ambalo sasa lipo katika ngazi ya familia kabisa. Tunaulizwa majumbani mwetu. Kuna mambo kadhaa ambazo ni facts kabisa katika mkataba huu na zinaufanya ukose sifa. Wao wanasema ni makubaliano tu, lakini makubaliano ni mkataba. Baadhi ya facts...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hakuna Ubaya Wowote kwa Mtu Yoyote, Taasisi Yoyote, Nchi Yoyote Kusaidiwa Pale Inaposhindwa, Muhimu ni Kuwa Makini Tusipigwe. Je DPW Tunapigwa?

    Wanabodi hii Makala ya Nipashe ya leo 11/06/2023 Makala ya leo ni wito kwa Watanzania wenzangu, tujifunze kujikubali kuwa hatuwezi kila kitu!, hakuna nchi yoyote duniani ambayo wanaweza kila kitu wao wenyewe!. Hivyo hakuna ubaya wowote kwa mtu yoyote, taasisi yoyote, ama nchi yoyote kusaidiwa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania muwe Makini Wakenya wameanza tena Chokochoko zao

    Nlikuwa Paris Ufaransa kwenye Mkutano wa the smartest young people of the World. Nilipitia hapo nikitokea Berlin Ujeruman ambako nlienda msalimia rafiki yangu mmoja wa Kitambo ambaye alikuwa amechanganyikiwa kidogo kuwa na pesa nyingi halafu hajui sasa atumieje so kichwa kikawa kinamuuma...
  14. YE67NBE

    JamiiForums Tanzania Wauza mechi hiki kipindi cha baridi msisahau kununua ARV, Azuma na Powercef

    Wasaalam wadogo kwa wakubwa😀😀 Natumai nyote wazima wa afya. Niende kwenye mada kama mnavyoona huu ni mwezi wa 6 sasa, na mjuavyo baridi imeingia mpaka DSM sasa. Na kama mnavyojua miili yetu, baridi ikiingia akili na mwili hutafuta joto na hilo joto lenyewe, hupatikana sehemu za siri huko😋...
  15. Von_Lufuta

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Bodaboda kuweni makini, vinginevyo mtaisha

    Wakuu habarini za wakati huu.. Nipo Pwani huku wilaya ya Rufiji kuna Kijiji kinaitwa Mloka, mida ya jioni hii kuna kijana wa Bodaboda kapata ajali mbaya sana. Kama mnavyojua maeneo haya gari za kutembeza watalii ni nyingi sana, sasa kuna vijana kama watatu walikuwa kwenye kushindana kumwaga...
  16. carnage21

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye kucha za bandia kuweni makini kwenye daladala

    Aloo nilichokutana nacho leo balaa, nawaombeni wadada mnaoweka hizi kucha za bandia kuweni makini kwenye sehemu zenye mkusanyiko wa watu. Leo nimekoswa kutobolewa macho kwenye daladala. Sawa tunajua mnataka muonekane warembo, ila basi jaribuni kulinda usalama wetu sisi wengine. Sio kwamba...
  17. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Nimeitazama hii video kwa makini hakika Uongozi ni jalala

    Nyerere,JPM na Sasa Ruto
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wadau, muwe mnanawa mikono kabla ya kuanza tendo

    Juzi nlikuwa na demu mmoja tumetoka wote job tukapitia kula sehemu na kunywa kidogo. Of course ni demu ambaye huwa tuna chezeana chezeana. Hatuna mapenzi ya kudumu ila tukihitajiana tunakutana tuna nanii then life goes on. Sasa tumekula na kunywa nikawa nataka kuondoka. Aliniambia atapanda Uber...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dhamira (theme) ya mepenzi ya jinsia Moja inapenyezwa kwenye baadhi ya filamu za watoto. Wazazi tuwe makini

    Habari wanajamvi, Filamu za watoto imekuwa miongoni mwa sehemu muhimu sana ya kulea watoto wetu. Filamu hizi zinajumuisha katuni, TV Shows, Filamu za watu halisi na nyinginezo zilizotengenezwa kumlenga mtoto. Sote tunajua kuwa filamu na wahusika wa filamu wamekuwa na Athari kubwa kwenye tabia...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu nakushauri kuwa makini na genge la Mbowe, unapinga wazi maridhiano uchwara wanaweza kukufanyia figisu

    Mbowe na wenzake wote wanaolamba asali wanazunguka Tanzania nzima kuandaa mazingira ya kurudi bungeni. Lakini hii wewe umeishutukia maana 2025 chochote kinaweza kutokea. Wananchi ndio tutaamua. Hata huyo aliyewadanganya kuwapa ubunge anajua vizuri kuwa wananchi tukiamua hawapati alichowaahidi...
Back
Top Bottom