Serkali inatakiwa kutambua kuwa watanzania wako tayari kuchamgia lakini tatizo ni viwango vya makato mfano:
Mtu akitoa 10,000 anatozwa makato ya serkali wastani wa shilingi 320 lakini serkali ingeweza kukata shilingi 100 kwenye makato ya kuanzia mtu anapotoa 1,000-10,000
Mtu akitoa 100,000...
MAKATO YA MIAMALA YA SIMU
Kwa kipindi cha hivi karibuni suala la makato ya simu limekua gumzo nchini na kuibua sitofaham na kauli za utata kutoka kwa baadhi ya viongozi, huenda walioanzisha tozo hizo hawakua na lengo baya ila naweza sema kwamba hawakufanya upembenuzi yakinifu pamoja na...
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema wananchi wasiwaze kuhusu gharama za miamala ya simu kwa kuwa mzunguko wa fedha utaongezeka
Akiongea katika kipindi cha Aridhio, TBC amesema gharama za miamala hazina maana kwa kuwa watakuwa wanapata fedha zaidi katika kipindi hichi...
MAKATO YA MIAMALA YAPO POA! YANALANDANA NA UCHUMI WETU WA KATI
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Nimefurahishwa na mambo yaendavyo, mwaka Jana tulipigiwa mbiu kuwa tumeingia uchumi wa Kati. Watu walifurahia hasa wenye mrengo wa kuishabikia CCM na Wanachama wa CCM pamoja na Watanzania WA kipato cha...
Watanzania nawasalimu,
Nimejaribu kuwaza ni wapi tunakoelekea nimekosa majibu. Viongozi wetu na watanzania wote ni mashuhuda kuwa tumeambiwa kuwa kuhusu nyongeza ya mishahara tusubiri uchumi uimarike kidogo.
Lakini Leo hii huyu huyu mtu anaeomba kuongezewa mshahara kutokana na kuongezeka kwa...
"Mtu anayetuma 1000 hadi 2000 anakatwa Tsh.10, anayetuma 20,000 hadi 30,000 anakatwa 960, Mil. 1 hadi Mil. 3 ni 9000 na Mil 3 na kuendelea ni 10,000, kwa anaetuma 100,000 hadi 200,000 anakatwa 2500, kama unaweza kutuma 10,000 kwanini usichangie shughuli za maendeleo?”
"Mimi naunga mkono dira ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.