Benki ya dunia na IMF mwaka 2019 viliitangaza Tanzania kuingia uchumi wa kati baada ya maboresho makubwa ya kiuchumi yaliyofanywa na serikali ya awamu ya tano iliyokuwa ikiongozwa na hayati Magufuli na Makamu wake Samia.
Serikali ya awamu ya tano ilifikia hayo mafanikio ya kuingiza nchi uchumi...
Mfumo wa majimbo una faida kubwa sana kwa sababu unazipa sehemu mbalimbali mamlaka ya kujisimamia, kufanya maamuzi yanayohusu maeneo yao na kupata viongozi wao
Hata hivyo, kuna jambo ambalo tunapaswa kulijua mapema kabisa kwamba mfumo wa majimbo na siasa za kikabila ni vitu ambavyo ni vigumu...
Wanabodi
Rwanda na Uganda ndizo nchi mbili pekee kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC katika orodha ya nchi ambazo uchumi wake unakua kwa kasi katika nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara huku Tanzania ikisukumwa chini na kutupwa tena kwenye kundi la nchi masikini za kipato cha chini...
Mojawapo ya sekta zilizochaguliwa kupewa kipaumbele na Dira2050 ya maendeleo katika kuleta mageuzi kiuchumi ifikapo 2050 ni sekta ya madini ambayo kwa kipindi cha miaka kumi (2014-2024) imekuwa ikikua kwa wastani wa 9% mpaka 10% ambapo jumla ya mchango wake katika pato la taifa kwa kipindi cha...
Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili,
Miongoni mwa vichocheo vinavyoweza kuharakisha...
Tunapoandika humu kuhusu dhiki za kutisha za watanzania kwa sasa tunaonekana Wachochezi.
Hebu niambie huu ni usherekeaji gani wa sikukuu? Hapa kuna mtoto yeyote wa kiongozi wa Tanzania? Jamani umasikini ni dhambi na ni laana kuu hatutakiwi kujivunia.
Umoja wa Mataifa (UN) umetangaza kuwa Uganda imekidhi vigezo vya kuorodheshwa kama nchi ya kipato cha kati cha chini (lower-middle income) baada ya kuboresha kwa kiasi kikubwa afya, elimu na viwango vya kipato vya wananchi wake.
Bibi Susan Ngongi Namondo, mratibu wa Umoja wa Mataifa nchini...
JUHUDI ZETU WANAWAKE HAZIPOTEI BURE ZIMEPELEKEA KUINUANA KIUCHUMI NA NDIO DHAMIRA YA RAIS DKT. SAMIA - CDE. MWAJABU
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT) Mkoa wa Dar es salaam Ndugu. Mwajabu Mbwambo, ameshiriki katika hafla ya Usiku wa Mwanamke wa Kigamboni akiwa ndiye Mgeni rasmi katika...
Dada unatembea na kitega uchumi, halafu unalalamika maisha magumu ? Unakwama wapi?
Ili kuyakabili maisha na kuwa na uchumi wa kati jirembe, jibebishe na uwe mtu wa kukaa maeneo ya mawindo.
Anyway. Kuna mwenzenu siku kama ya leo ametengeneza 1M. Asubuhi aliitwa na mshefa wakutane sehemu...
kwangu mimi raisi huyu yuko underrated na hapewi sifa zake anazostaili ingawaje ndiye raisi mwenye mchango mkubwa sana kwa tanzania ya leo, kwanza uchumi wa kati ulianzia kwake.
fikiria kampuni kubwa leo hii tanzania kama nmb, crdb, tanzania breweries, tanzania cigarretes hata tra zote ni kwa...
Kabla Shujaa Mwendazake hajatuaga, tuliambiwa nchi imepaa na sasa tupo uchumi wa kati.
Baada ya ziara zenye tija za Mama, ambazo hakika zimefungua nchi na uchumi kupaa sana tumefkia hapa leo nchi kuwa gizani
Nyerere alitufundisha na kutuasa kuwakataa hawa wapuuzi wanaolizamisha Taifa bila...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Bungeni Dodoma amewasilisha Bungeni taarifa ya Hali ya Uchumi wa Kitaifa kwa Mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa Mwaka 2023/2024 ambapo moja ya mambo aliyoyasema ni kwamba Tanzania bado imeendelea kuwa Nchi ya uchumi wa kati ngazi ya...
UTANGULIZI.
Uchumi wa kati ni hali ya nchi kupiga hatua ya maendeleo ya kijamii, kiuchumi, kisiasa na kitamaduni,hivyo nchi huweza kujiimarisha yenyewe katika sekta muhimu za uzalishaji mali Kama viwanda,Kilimo, biashara na uchumi na kuongeza pato la nchi kwa haraka,hivyo kuachana na hali ya...
Sina maneno mengi, kiufupi hatupaswi kulemba mwandiko
Wala kuoneana aibu.
Tuache ushikaji Katika KAZI. Tusimamie rasilalimali zetu na mikopo tunayopewa ipasavyo.
Enzi zile nyeusi ilikuwa nyeusi na nyeupe ilikuwa nyeupe, pamoja na janga la corona Lakini tulitoboa.
Kwa sasa ni tofauti nyeusi...
Katika siasa kuna ishara pia kama ulimwengu wa imani ulivyo, tofauti na ishara za kiimani ambazo ni za kiroho zaidi hivyo kufanya kuwa ' unpredictable' ila ishara za kisiasa ni 'predictable' kwa sababu zinasomeka kupitia mtiririko wa matukio( trend reading)
Kitendo cha Rais ambaye ni mamlaka ya...
Rais Samia na Mwigulu ni yupi mkweli?!
Hapo juu ni Samia akikiri wazi Tanzania haipo tena uchumi wa kati, imeporomoka na aliahidi atapambana ili ifikapo 2025 uchumi wa Tanzania urejee kwenye daraja la kati.
NB: Teknolojia.
Mama ni mwanamke mwenye jukumu la kulea familia. Miaka ya nyuma katika jamii za kiafrika mama alikuwa hapewi kipao mbele katika suala zima la maendeleo, kazi yake kuu ilikuwa Ni kuzaa na kutunza familia jambo ambalo ni yofauti na sasa.
Kutokana na mabadiliko ya kisiasa kiuchimi na kiutamaduni...
Benki ya Dunia imesema pato la kila mwananchi wa Uganda ni dola 850 kwa mwaka wa fedha unaoishia 2022, huku uchumi ukikua kwa wastani wa asilimia 3.7 ambapo ni chini sana ya kiwango cha chini cha kipato cha kati cha dola 1,045 ambacho kilielezwa na Rais Yoweri Museveni katika Hotuba yake kwa...
Akijibu swali bungeni leo mheshiwa naibu waziri wa fedha amesema nchi yetu haijawahi kushuka toka uchumi wa kati chini tangu tulipiongia. Kilichotokea ni kushuka kwa ukuaji wa pato la taifa toka 7% hadi 4%.
Ila mimi niliwahi kumsikia kiongozi mmoja akisema tulifika uchumi wa kati ila wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.