Asalaam Aleykum.
Leo nimelazimika kuuliza hili swali maana huwa hata sielewi maana ya hiki cheo kuwepo.
Niliwahi kusikia kwamba mojawapo ya majukumu ya Makamu wa Rais ni pamoja na kushughulikia masuala ya mazingira.
Sasa kama ni hivyo kweli, na huko Manyara tumepata mafuriko kutokana huenda...