Leo nimemsikia mubashara mheshimiwa Makamu wa Rais ndugu Philp Mpango alipokuwa anahutubia viwanja vya Mnazi Mmoja kwenye kilele cha kumbukizi ya kuzaliwa chama chetu CCM.
Nilidhani kwenye hotuba yake ataainisha mikakati ya serikali kudhibiti mfumuko na kuboresha ugumu wa maisha unaowakabili...
Habari kutokea Kahama zinasema Dr. Mpango yupo wilayani humo tokea juzi.
Uwepo wake umekuja na adha itakayobakia mioyoni mwa wakazi wa huko Kwa muda mrefu.
Taarifa zinasema jana barabara zote za maana kwa zaidi ya masaa 4 zilikuwa zimefungwa. Hii ikiwa kuanzia saa mbili hadi baada ya saa nne...
Makamu wa Rais wa Gambia, Badara Joof, amefariki dunia.
Alifariki baada ya kuugua kwa muda mfupi, kulingana na tweet ya Rais wa Gambia, Adama Barrow.
“Ndugu zangu wa #Gambia, ni kwa moyo mzito, ninatangaza kufariki kwa #Makamu wangu wa Rais, Mheshimiwa Badara Alieu Joof. Tukio hilo la...
Asanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli.
Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60.
Maji tu yamewashinda, umeme ndio usiseme, suala la afya ni jambo la anasa kwetu, ukiuumwa na huna pesa, hata...
Wanaukumbi.
SULUHU aliyoleta Rais Samia inamuacha upande gani Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Tundu Lissu.
Je, huu ni USHINDI kwa CCM na serikali yake au Upinzani.
Thinkers” ni lazima tujiulize maswali magumu.
Je, yaliyotokea hayajawahi tokea miaka ya nyuma?
Kikwete hakuwaita wapinzani...
Nimefuatilia sinema inayochezwa na CCMbara nimegundua kuna umuhimu wa kuwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM wawili kwa kila upande wa seriksli zote mbili. Kwa sasa ukifuatilia sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022.
CCM upande wa bara tumepiga na kitu kizito itakapofikia muda wa kutoa...
Mahakama imetoa hukmu hiyo kwa Cristina Fernandez de Kirchner mwenye umri wa miaka 69, kutokana na kumkuta na makosa ya rushwa
Kiongozi huyo amedaiwa kutumia vibaya madaraka yake kwa kutoa kandarasi ya umma kwa rafiki yake, lakini hataweza kutumikia kifungo hicho hadi rufaa yake itakapokamilika...
Rais na mwanaye kama makamu waendelea kuongoza Equatorial Guinea, Rais huyo mwenye umri wa miaka 80 ndiye anaongoza duniani kwa kushikilia madaraka kwa muda mrefu kwenye hiyo nchi yenye umaskini uliokubuhu licha ya uwepo wa mafuta mengi.
Afrika yetu patamu, Wazungu na mabeberu watuache na...
Taasisi ya Kupambana na Rushwa (ACB) imesema Saulos Klaus Chilima alipokea Tsh. Milioni 651.5 ili kutoa kandarasi za Serikali kwa mfanyabiashara Zuneth Sattar.
Makamu wa Rais anakabiliwa na mashtaka 6 yanayohusiana na Rushwa, huku mfanyabiashara Sattar aliyekamatwa nchini Uingereza Oktoba 2021...
Kwa kweli utetezi mwingine hata hauna maana...eti kama makamu wa Rais hakuwa na chochote cha kufanya zaidi ya kuwa mtiifu kwa Magufuli!
Wapo wanaoenda mbali na kudai eti yako mengi hakuyaunga mkono ila ilibidi akae kimya ili yasimkute yaliyowakuta waliojaribu kumkosoa Magufuli!
Hata hivyo kuna...
Watanzania Acheni ubaguzi na undumila kuwili, mnajifanya majizi na viziwi na vipofu. Hii tabia ya kujizima data itawacost sana mmesahu aliesema hata msipoigia kura CCM Bado CCM itashinda tu, na sio nongwa maana pia maoni yake kwa wakati huo.
Tangu lini Katibu Mkuu wa CCM anaibeba legacy ya...
KWA NINI VICTORIA CHARLES MWANZIVA MAKAMU MWENYEKITI UVCCM TAIFA 2022-2027
Kuna mambo Matano Muhimu sana katika Maisha ya kawaida mtu anapotaka kununua kiwanja katika eneo Fulani na kujenga nyumba lazima azingatie upatikanaji wa huduma muhimu za Kijamii kama Maji, Umeme, Nyumba za Ibada, Shule...
Rais wa Tanzania Samia
Laiti wewe na serikali yako mngetengeza urahisi wa upatikanaji wa nishati mbadala (hasa matumizi ya gesi) kwa kuifanya ipatikane kwa bei nafuu mno, sidhani kama 95% ya Watanzania wangeendelea kuharibu misitu ili wapate kuni/Mkaa wa kupikia.
Hali ambayo imesababisha sasa...
Wakati nchi ikiwa kwenye changamoto lukuki, mfumuko wa bei, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna mikopo watoto wa vyuo hawajalipwa pesa cha ajabu viongozi wakuu na mawaziri waandamizi wako nje ya nchi kwa inayoitwa mialiko ya kitaifa.
Rais wa nchi yuko China, Makamu wa Rais yuko Ivory Coast...
Kama ilivyokua kwa Pelosi kuitembelea Taiwan ambapo Wachina walijibu kwa kupiga bahari kwa makombora, ndivyo imekua kwa Korea Kaskazini kuonea bahari kwa kuipiga kwa makombora kisa makamu wa rais wa USA ametembelea Korea Kusini.
=======
US vice president Kamala Harris arrived South Korea a...
Habari za sasa wanajamii , natumai ni nzuri.
Nilikuwa na maswali kadhaa kuhusu ziara za viongozi wetu wakuu wa nchi wa tatu (Rais, Makamu wa Rais, na Waziri mkuu)
1. Je ziara za viongozi wetu hawa kwa mataifa waliyo enda kuzuru zitatamatika lini kwa kila mmoja?
2. Kulikuwa na umuhimu gani kwa...
Mkutano Mkuu wa dharura wa chama cha NCCR-Mageuzi umemchagua Joseph Selasini kuwa makamu mwenyekiti wa chama hicho.
Selasini amechaguliwa katika uchaguzi uliofanyika leo Jumamosi Septemba 24,2022 katika ukumbi wa St Gasper jijini Dodoma.
Katika uchaguzi huo, Selasini amepata kura 173 kati ya...
Mkurugenzi Mtendaji wa Simba SC, Barbara Gonzalez ametangazwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Mashindano ya Vilabu vya CAF na Usimamizi wa Mfumo wa Leseni za Klabu
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameteuliwa kuwa mjumbe kwenye Kamati mbili.
Kamati hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.