makamu wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Makamu wa Rais Dkt. Mpango ndio anafaa kuwa Rais hasa kipindi hiki cha uchumi legevu

    Mungu atusaidie, Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa. Halieleweki analo ongea. Haeleweki anakokwenda. Anakotupeleka ndio giza gizaaaa. Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
  2. L

    Wanaomchafua Rais Samia mitandaoni kwamba kamuambukiza Makamu wa Rais wa Marekani Corona wachukuliwe hatua

    Sasa dharau kwa mh.Rais wa JMT ,Bibi Samia Suluhu Hassan zimevuka mipaka. Mh.Rais akiwa ziarani mkoa wa Arusha amelalamikia watu ktk mitandao wakimtuhumu kwa kumuambukiza virus vya Corona makama wa rais wa nchi ya Marekani Bibi Kamala Harris alipokutana naye alipokwenda Marekani kwa ziara ya...
  3. Makamu wa Rais wa USA alikutana na Rais Samia. Ni vyema Rais akirudi akae karantini kwa kuwa aliyekutana nae amekutwa na COVID-19

    Walitana kwa ukaribu na hii ishara kuwa kuna uwezekano wa kuambukizana maana hata chanjo za kovidi hazizuii maambukizi 👇 Vice President Kamala Harris tests positive for COVID-19
  4. Makamu Rais wa Marekani, Kamala akutwa na maambukizi ya Uviko-19 licha ya kuchanja mara mbili

    Makamu wa Rais wa USA Kamala Harris tests positive with Corona virus … ======= (CNN)Vice President Kamala Harris tested positive for Covid-19 on Tuesday after returning from a weeklong trip to California. "Today I tested positive for COVID-19. I have no symptoms, and I will continue to...
  5. B

    Kwanini baadhi ya wana CCM wanaamini Watanzania wanotaka Katiba Mpya Sasa wanapaswa kukamatwa na kuchukuliwa hatua Kali za kisheria?

    Wana CCM wengi wanaungana na Mhe. Rais kwamba Katiba Mpya inapswa kusubiri Hadi baada ya uchaguzi 2025. Wengi wanaamini mtu anayesema Katiba Mpya ni Sasa ni SAWA na wahalifu wanaopaswa kufungwa jela au kufanywa chochote kibaya. Baadhi ya waumini wa msimamo huu ni viongozi wakuu na hivyo...
  6. Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris apigwa marufuku kuingia Urusi

    Marufuku ya kuingia Nchini Urusi sasa itawajumuisha Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg pamoja na Maafisa, Wafanyabiashara na Wanahabari wengine 27 kutoka Taifa hilo Serikali ya Urusi imesema Watu hao wamezuiwa kuingia Nchini humo kwa muda...
  7. Rais Samia anapaswa kujua kuwa bila Magufuli asingekuwa Rais

    Kumekuwa na mfululizo wa mashambulizi makali ya maneno ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia na wasaidizi wake wa karibu dhidi ya mtangulizi wake marehemu Magufuli. Binafsi sifurahishwi nayo kwa kuwa yamemlenga mtu aliyekufa (Magufuli) na yanasemwa na waliokuwa wasaidizi wa marehemu Magufuli, ambao...
  8. M

    Tujadili na kuchambua: Maeneo matatu yaliyojikità katika mazungumzo ya mama na makamu wa rais wa marekani- Demokrasia, biashara & uchumi na Afya/coron

    Kama ilivyo kawaida ya wamarekani, agenda yao pendwa wanayotembea nayo duniani ni agenda ya DEMOKRASIA!! Demokrasia kama demokrasia kwa jinsi tunavyoifahamu sisi haina tatizo lolote!! Ila kwa mtazamo wa mabeberu hasa democrats wa marekani na Labour wa uingereza ni kuwa kipimo cha demokrasia ni...
  9. Rais Samia Suluhu akizungumza na Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala D. Harris

    Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kamala D. Harris, Makamu wa Rais wa Marekani, leo Aprili 15, 2022 katika Ikulu ya Washington DC Nchini Marekani. "Utawala wetu umedhamiria kwa dhati kuimarisha ushirkiano na Tanzania na nchi za Kiafrika kwa ujumla" - Kamala Harris “Nashukuru sana...
  10. Inatarajiwa Ijumaa Samia atakutana na Makamu wa Rais wa Marekani. Kwanini isiwe Rais mwenziye?

    Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani. Maoni yangu; Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake? Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house? Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka...
  11. Makamu Rais wa Zanzibar: Sheria ya uchochezi ipitiwe upya, ina mianya mingi ya kutumika vibaya

    Sheria ya uchochezi inatoa fursa ya kutumika vibaya na vyombo vinavyosimamia sheria hasa Polisi na kwamba wakati umefika wa kuifanyia mapitio ili kulinda uhuru wa kujieleza na wa habari nchini. Rai hiyo ilitolewa mjini hapo jana Machi 28, 2022 na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman...
  12. Rais Samia arejea Tanzania akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu kikazi

    Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu UAE leo tarehe 28 Februari, 2022.
  13. Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango azindua sera ya Taifa ya Mazingira ya mwaka 2021

    MHE. DR PHILIP MPANGO, MAKAMU WA RAIS WA JMT KATIKA UZINDUZI WA SERA YA TAIFA YA MAZINGIRA YA MWAKA 2021. Makamu wa Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mhe .Dkt. Philip Mpango Ashiriki katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Mazingira ya Mwaka 2021 iliyozinduliwa leo 12 Februari, 2022 Jijini...
  14. Anayepanga ratiba za shughuli Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ni nani?

    Habarini wazalendo wenzangu. Napata ukakasi sana juu ya kuelewa aina ya ziara anazofanya makamu wetu wa Rais, mbona ni kama haonekani kabisa kwenye ramani kwa anachokifanya? Suala la pili ni hizi ratiba za kila siku kushinda Kigoma huyu mzee kila akionekana kwenye ramani, ina maana yeye ni...
  15. Kigoma: Makamu wa Rais Mpango, afanya Utalii wa Ndani Gombe

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ametembelea Hifadhi ya Taifa Gombe, mkoani Kigoma na kupata fursa ya kujionea vivutio mbalimbali vya utalii hususani wanyama adimu aina ya Sokwe Mtu. Makamu wa Rais aliyeambatana na Mke wake Mama Mbonimpaye Mpango...
  16. Je, Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ni Msaliti wa kupambana na Covid-19 au hujuma?

    Dunia nzima, Viongozi wanakuwa ni mfano wa kupambana na Corona, lakini baadhi ya Viongozi wa Tanzania wanaonesha kujali akiwepo Rais Samia Rais, Samia watendaji wako watatuua kwa Corona hadi tuishe. Watatumaliza. Wao sawa wanatibiwa bure, sisi bibi na babu zetu Mkishawaambukiza nani...
  17. TANZIA Askofu Gerald Mpango ambaye ni kaka wa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango afariki dunia

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefiwa na kaka yake Askofu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Gerald Mpango. Askofu Gerald Mpango amefariki tarehe 19 Januari 2022 Jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Makamu wa Rais Dk Philip Mpango...
  18. Kauli za Rais na Makamu wa Rais zinaashiria kuna tatizo kubwa kwa mawaziri, kwanini mliwateua?

    Nimesikia kauli za Rais na Makamu wa Rais na zote zinaashiria kuna tatizo kubwa sana kwa mawaziri. Ila bado nashangaa imekuwaje mnawateua inakuwaje mnaendelea nao? Ni kweli huko CCM hakuna watu wengine? Au sio nyie mnaowateua? Ikiwa una mamlaka kamili na unaona Kuna watendaji hawafanyi vizuri si...
  19. B

    Akaunti ya tweeter ya Mhe. Rais na Mhe. Makamu wa Rais kila wakitweet hakuna viongozi wa CCM wanaungana naye; tujisahihishe

    Mhe. Rais anapotweet inatia hamasa kuona aliowateua wakijumhuka naye, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu the same. Huyu ni Mkuu wa nchi na anapotumia mitandao anataka kuzungumza na Dunia. Anapomaliza kuzungumza au kutuma ujumbe Duniani then waliopochini yake wasilike,retweet wala reply inavunja moyo...
  20. Makamu wa Rais ukimaliza likizo ya Sikukuu tembelea vibanda vya chips Dar na Dodoma ujionee maajabu!

    Ofisi ya Makamu wa Rais ndo inashughulikia Mazingira. Baada ya Mifuko ya Plastik kuweza kuondolewa pale Mama Samia alipokuwa Makamu wa Rais Naona sasa Waziri wako Jaffo anataka kuichafua Ofisi yako Nimetembelea Dar na Dodoma Naona kwenye vipanda vya chips wameanza kufungia mifuko ya plastiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…