makamba

  1. Roving Journalist

    Waziri Makamba awasili Uholanzi kwa ziara ya kikazi

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Yusuf Makamba (Mb.) amewasili Jijini The Hague, Uholanzi kwa ziara ya kikazi ya siku tatu (3) kuanzia tarehe 13 - 15 Novemba 2023. Pamoja na mambo mengine, Mhe. Makamba ataongoza ujumbe wa Tanzania katika Kongamano la...
  2. benzemah

    Waziri Makamba afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Eli Cohen

    Kupitia ukurasa binafsi wa mtandao wa X (Zamani Twitter) wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika. Mashariki, January Makamba ameandika ujumbe kuwa mapema leo amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Eli Cohen Ujumbe huo umeeleza kuwa Waziri Cohen ameahidi Serikali ya...
  3. R

    Mwigulu, Makamba na Mbarawa hawahusiki na ufisadi

    Mawaziri Mwigulu Nchemba, January Makamba na Makame Mbarawa wanasingiziwa kuhusika na ufisadi kupitia ripoti ya CAG lakini ukweli ni kwamba viongozi hawa wanasingiziwa na hakuna uthibitisho wowote wa wao kuhusika na ufisadi. Hivyo tuwaache wafanye kazi walioaminiwa na Rais tusilazimishe...
  4. Erythrocyte

    Hatimaye Pengo la Mzee Mengi lazibwa, Hongera Waziri Makamba

    Kabla ya kukutwa na Umauti , Mzee Reginald Mengi alikuwa na mpango wa kujenga kiwanda cha kutengeneza Simu za Kisasa zinazoitwa Smartphone . Mpango huo ulipotea baada ya Mzee huyo kufariki Dunia . Sasa leo Waziri wa mambo ya kigeni January Makamba amewaleta Wahindi ili kuziba Pengo hilo. ---...
  5. sky soldier

    Makamba na Maharage Chande walikuwa wanafanya makusudi kuwe na mgawo? Mbona tangu wameondoka ni kama hakuna mgawo?

    Hatua kwa hatua mambo yameanza kuwa gado ndani ya muda mfupi, Sio nchi nzima ila baadhi ya maeneo tunaanza kuona umeme umeanza kuwa na nafuu, kata kata imepungua. Nina duka katika soko kubwa huwa namwacha binti wa kazi, ilikuwa ni kila siku asubuhi mpaka jioni umeme unakata, nikienda jioni ndio...
  6. MSAGA SUMU

    Maharage: Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta

    Aliyekuwa MD Tanesco ndugu Maharage nimesikiliza redioni mida hii akimshukuru rais kumteua kuwa boss mpya Posta. Amedai kuwa anaenda kufanya maajabu Posta Kama alivyobadilisha Tanesco katika kipindi kifupi alichokuwepo. "Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta, ufanisi...
  7. voicer

    Je, ni kweli January Makamba na Maharage Chande waliamuru maji yafunguliwe na kumwagika kwenye bwawa la Mtera?

    Uzembe na utendaji mbovu ukiandamana sambamba na hujuma na ufisadi, katika wizara ya Nishati.Ndio hasa imekuwa chanzo cha sakata la kuadimika kwa nishati ya umeme nchini kwa sasa. Wakati hali ikiwa hivi ilivyo. Kuna tetesi hizi hapa ya kwamba, nanukuu. KIPARA na Maharage mwezi Machi 2023...
  8. K

    Kati ya Waziri January Makamba na Rais Samia, nani alimteua Maharage kuwa Mkurugenzi Tanesco?

    Salam wakuu. Naomba kwanza kupandisha clip ya January Makamba akiwa Waziri wa Nishati na pia kuweka barua ya Ikulu ya teuzi. Baada ya kumsikiliza January Makamba na kurejea barua ya Ikulu, je ni nani haswa alihusika na anahusika na hizi teuzi zinazotangazwa kutoka Ikulu? Kwa sasa tumeona...
  9. Travis Kitengo

    Kwangu mimi January Makamba ndiye nayemuoa anajibu hoja na kuzipangua bila kuhamaki

    Binafsi kwenye suala la kupanga na kupangua hoja,kutopanic pamoja na kuwa smart kwenye brain, January Makamba huwa namuona ni mwanasiasa nambari wani kuliko wote katika nchi hii hata kina Zitto, Lissu wakasome. Nachojiuliza watu wa namba hii huwa wanashindwaje kuhawilisha hayo maarifa kwenye...
  10. M

    Waziri wa Nishati Bwana Dotto awa TANESCO wanafanya makusudi, walifanya hivi wakati Makamba alivyoanza na nikasema, sasa hivi wewe. Stop talkin do act

    Waziri wa Nishati Bwana Dotto awa TANESCO wanafanya makusudi, walifanya hivi wakati Makamba alivyoanza na nikasema, sasa hivi wewe. Stop just talk with the press nenda eneo la tukio ujue shida ni nini. Hao jamaa ni wahuni
  11. R

    Mabilioni ya kikao cha viongozi wa wizara ya nishati chamtoa Makamba; lipo pia suala la REA na ufanisi mdogo alionao

    January Makamba ameishi maisha mazuri toka utotoni si kwa sababu alikuwa bora kuliko wengine bali baba yake alitumia madaraka yake kumfanya aishi kwa rasilimali za nchi. Tukumbuke familia hii tofauti na kuwa watumishi wa umma wenye mshahara wa chini kabisa wamekuwa wakiishi maisha ya juu bila...
  12. Brain Kingdom

    Uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mambo ya Nje ni uamuzi mbovu sana

    Nimeangalia video ya January Makamba akila kiapo cha ujumbe wa bunge la Africa mashariki, bado naona ni kiumbe Mchanga sana, kiingereza chake ulimi mzito, confidence mbovu, ni aina ya mtu asiye na exposure yoyote. Afadhari ya Bashe. Napata shida kwenye meza ya majadiliano tutapigwa za uso Kila...
  13. Roving Journalist

    Waziri Makamba aapa rasmi kuwa Mjumbe wa Bunge la Afrika Mashariki

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Yusuph Makamba amekula kiapo cha kuwa mjumbe rasmi wa maamuzi (ex-officio members) wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) katika hafla fupi iliyofanyika kwa njia ya mtandao tarehe 19 Septemba 2023 akiwa katika ofisi ndogo...
  14. L

    Kwa mgao huu wa umeme bora hata January Makamba

    Yaani kwa kipindi cha miaka 4 sijawahi experience shida ya umeme iliyopo sasa. Sijawahi kumuamini bwana January lakini hata wakati akiwa waziri umeme ulikuwa haukati hivi. Sasa hivi ni week sasa ikifika saa moja au mbili wanapita na umeme walianza wanarudisha saa 12 naona jana wamerejesha saa 2...
  15. Huihui2

    Ushauri kwa Waziri Dotto Biteko: Kama Makamba Ametolewa, Basi na MD wa TANESCO na Bodi nayo itoke

    Kwa hili linaloendelea kuanzia last week linalohusu mgawo wa umeme ambao Maharage Chande anasema haupo bali kuna ratiba ya umeme ni dhahiri matarajio ya Rais Samia aliyoweka kwa Waziri Makamba, Bodi ya Wakurugenzi na MD wao YAMEFELI. Rais kamtoa Makamba baada ya kumuidhinishia fedha kwa...
  16. Tajiri wa kinyankole

    January Makamba ameacha shida kubwa kwenye nishati ya umeme

    Kilio ni kikubwa maeneo mengi ya nchi huyo waziri kiujumla mimi tangu amepewa Wizara ya Nishati sijaona amefanikiwa kwenye chochote zaidi ya kutuacha kwenye giza totoro Hata huko alipopelekwa kufichwa hakuna atakachofanya ila kwa kuwa utawala wenyewe hauangalii uchapakazi basi maisha lazima...
  17. Nyankurungu2020

    Ufisadi hauwezi kuisha sababu mkuu wa nchi ana 'double standard'. January Makamba alipiga dili la Mahindira Tech hakung'aka

    Mahindira Tech walikula Bil 71 za bure kwa madai eti ufanisi wa Tanesco utaongezwa . Leo hii January yupo tu kama mteule wa rais. Hatuoni ufanisi wa Tanesco zaidi ya Mgao wa umeme kuzidi. Watumishi wa Halimashauri wakipiga dili Mkuu wa nchi anag'aka. Hii ni double standard 👇
  18. P

    Suala la umeme linazidi kuwa baya, Sasa ni bora Makamba

    Wiki nzima hii umeme unakatila ghafla kila siku Dar es Salaam, tena mara kadhaa hata mara 5 kwa siku tofauti na wiki 2 zilizopita. Ni ajabu hii imeanza baada tu ya Makamba kuondoka Wizara ya Nishati. Hii nchi kila siku zinazopita inazidi kurudi nyuma. Inatia hasira sana. Hapa ninapoandika...
  19. K

    Sakata la Nishati ya Mafuta Nchini: Makamba kakwepushwa na lawama makusudi

    Siku chache zilizopita, kulifanyika mabadiriko ya Mawaziri...pale Nishati walihamishwa wote...je ilikua njia ya kuwaepusha na matope au ni coincidence?
  20. JanguKamaJangu

    Waziri Makamba akutana kwa mazungumzo na Waziri wa Viwanda na Teknolojia ya Juu wa Serikali ya UAE

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba (Mb.) amekutana na kuzungumza na Waziri wa Viwanda na Tekinolojia ya Juu wa Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu, Sultan Ahmed Al Jaber Jijini Nairobi, Kenya. Waziri Makamba amekutana na Al Jaber pembezoni mwa Mkutano...
Back
Top Bottom