majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Panga la wachezaji Simba linanukia mwishoni mwa msimu huu, kuna majina makubwa

    Inadaiwa kuwa uongozi wa Klabu ya Simba un mipango ya kupitisha panga kwa wachezaji wao walioonyesha kushuka kiwango mara baada ya kumalizika kwa msimu huu. Hilo limeshapangwa lakini kwa sasa wameweka wazi kuwa mawazo yao yote yapo katika kufanya vizuri kwenye michuano mbalimbali wanayoshiriki...
  2. JamiiForums Tanzania Kati ya watumishi wa Mungu wenye majina makubwa na wanaoonekana kwenye TV, hakuna hata mmoja aliyetabiri kinagaubaga vita ya Ukraine.

    Sasa nimeamini kuwa kadri elimu inavyoongezeka basi ujinga inapungua na nafasi yake kushikwa na upumbavu. Kwenye haya makanisa ya kitapeli kuna wasomi wa level zote lakini huwaambii kitu kuhusu kiongozi wao. Kabla ya vita ya UKRAINE sijasikia mtu wa Mungu yeyote aliyetabiri kwa uwazi mahali...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu apokea orodha ya majina 453 ya wananchi wa Ngorongoro waliokubali kuhama kwa hiyari yao

    Waziri mkuu mh Majaliwa leo amepokea orodha ya awali ya wananchi 453 walioomba kuhama kwa hiyari katika hifafhi ya Ngorongori. Waziri mkuu amewaahidi wamasai hao kwamba serikali itawapeleka kuishi sehemu yoyote watakayoichagua wao wenyewe. Source: ITV habari! ===== Waziri Mkuu Kassim...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanaume akikataa mimba au kukutelekezea mtoto, usitumie majina yake Kwa mtoto wako

    Kwema Wakuu! Lazima tutende haki, lazima tuseme ukweli. Wanawake wanamakosa Yao Kama tulivyo Sisi wanaume tunamakosa yetu. Na mwenye makosa lazima aadhibiwe, na akiomba Msamaha sharti asamehewa lakini adhabu inaweza kubaki palepale. Taikon huwaga ni mtu wa kuongea mambo magumu yasiyo rahisi...
  5. JamiiForums Tanzania Majina ya walioitwa kwenye usaili manispaa ya Temeke-postikodi

    Wale wa manispaa ya Temeke kwenye ukusanyaji anwani za makazi na postikodi majina haya hapa
  6. JamiiForums Tanzania Majina ya Mitaa na Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    MAJINA YA MITAA YAHIFADHI HISTORIA Ndugu zanguni hivi sasa kuna mradi wa Anuani za Makazi (Post Code). Naamini sote tunashausikia kwa kuwa serikali imeutangaza. Mradi huu ulitakiwa uchukue miaka 5 lakini Rais Mama Samia ameamua huu mradi uwe "Operation Anuani za Makazi" na ukamilike kwa miezi...
  7. JamiiForums Tanzania TAKUKURU kurekebisha makosa kwa kupunguza majina yaliyojirudia bado haijanishawishi kuja oral

    Takukuru ni Moja ya Taasisi nyeti sana na ambayo inapaswa isimame katika misingi ya haki kwani hata majukumu yake yamejikita katika kutenda na kutetea haki. Hivi karibuni mmetoa orodha ya majina ya vijana mliowaita kwenye usaili wa ana kwa ana oral interview, orodha ambayo imeacha maswali mengi...
  8. JamiiForums Tanzania Wale wenye majina ya Kilatini joining muone maana ya majina yenu

  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Barabara zilizopewa majina ya miji ya Kenya kule Afrika Kusini

    Kenya and South Africa have, for the longest time enjoyed a cordial relationship, from the time before the latter attained independence to date. As such, South Africa has become the destination of choice for many Kenyans looking for greener pastures. From those searching for further education...
  10. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa kumpata Naibu Spika kufanyika Februari 11, 2022. Vyama vyakaribishwa kuwasilisha majina ya Wagombea

    Kila Chama chenye Uwakilishi Bungeni kinachokusudia kushiriki, kinashauriwa kuanza mchakato wa kumpata Mgombea miongoni mwa Wabunge wake Jina la Mgombea linapaswa kuwasilishwa kwa Msimamizi wa Uchaguzi kabla ya Saa 10:00 Jioni, Februari 10
  11. B

    JamiiForums Tanzania Upande wa utetezi waweke pingamizi la kupokelewa ushahidi wa Denis Urio hadi wajiridhishe majina yake, zipo taarifa mitandaoni zinadai huyu siyo Denis

    Kwa wale manofuatilia taarifa za usahihi wa utambulisho wa Denis Urio nadhani mmeona waliosoma sekondari ya Kingori wakikataa kutomfahamu shahidi huyu means awakusoma naye. Nimetafuta ilipo Kingori Secondary inasomeka ipo wilaya ya Arumeru siyo Hai. Nimetafuta wanafunzi waliomaliza form four...
  12. JamiiForums Tanzania Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira ya Konstebo wa Uhamiaji 2022

    Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira ya Konstebo wa Uhamiaji 2022.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

    Hivi umepata kujiuliza unapopita katika mitaa mbalimbali ya mjini Dar au mji mwingine wowote Tanzania, jina la mtaa au eneo husika limetokana na nini? Kwa mfano, Kijito Nyama limetokana na nini? Au Mlalakuwa, Au Mtoni kwa Aziz Ali n.k, n.k. Labda utadhani imetokea tu ... just ipo ipo, hapana...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanaCCM waliochukua fomu za Uspika

    15 January 2022 Taarifa toka makao makuu ya CCM Dodoma pia kutoka Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba na Afisi ya CCM Kisiwandui Unguja Zanzibar . Wanachama wa CCM wanaotia nia kugombea nafasi ya uspika baada ya Spika Job Y Ndugai kujiuzulu January 2022 ni hawa wafuatao : Andrew Chenge : mwanasheria...
  15. JamiiForums Tanzania Majina ya walioitwa usaili TANAPA

    Habari wana jamii forum, Walioitwa kwenye usaili TANAPA mkeka huo hapo
  16. JamiiForums Tanzania Je, wawafahamu kwa majina Mamajusi waliomsaliti Mfalme Herode na kumnusuru Yesu kuuawa na Mfalme huyo?

    Baltazary, Merichioly na Gasper - Haya ndio majina ya MamaJusi watatu waliokuwa maarufu kwa kusoma nyota na walipoona Nyota mbali walimwambia mfalme Herode kuwa Hiyo ni ishara kuwa aliyezaliwa atakuwa mtu mkubwa - Mfame, Mtawala etc . Hivyo Herode aliwaambia wakamuone mtoto wakirudi wampe...
  17. JamiiForums Tanzania UDSM, IFM mbona mpo kimya majina ya vyuo vyenu yanapotumika katika video za ngono?

    Kumetokea mtindo wa kusambaa kwa video za ngono (maarufu kama connection) na ambazo muhusika au wahusika katika video hizo wanatajwa kuwa ni wanafunzi wa chuo fulani nchini, mara nyingi ni UDSM, IFM na hata UDOM. Sijawahi kusikia mamlaka za vyuo hivi zikiongelea kuhusu video hizi, ni kama...
  18. JamiiForums Tanzania Bundi atua kibabe kwenye dirisha la Madrasa huko Zanzibar. Aondoka na karatasi ya majina.

    Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya.... Huko Zanzibar ndege bundi aliyekuwa amevalia nguo zake zote za medani za kivita alitua kibabe kwenye dirisha la madrasa na kuwafanya wenyeji kustaajabishwa mno na ustadi alioutumia ndege yule kufanya matukio aliyoyafanya. "...anabonge la hirizi...
  19. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mke kutumia majina haya kwa mwanaume mwingine mbele ya mume wake?

    Hapa nimekaa sebuleni nasoma nyuzi kadha wa kadha huku Jamii Forums Simu ya Mke wangu Iko pembeni. Mara ikaita akiwa nje, nikaona namba haijaseviwa nikauchuna Hadi ikakatika. Ikaita Tena safari hii Mke wangu akaingia ndani akaisikia na kupokea "Niambie Boss Wangu"! Kisha nikafahamu Anayeongea...
  20. JamiiForums Tanzania Humphrey, ulikuwa unapeleka majina yetu TCRA na Polisi kwa Makosa ya Mitandao, Sasa upanga unakukata upande wa pili

    Humphrey na kundi lake la Wana ccm mtandaoni walikuwa wanapeana posho kusaka wanaomkosoa JP na serikali yake, watu wengi waliokamatwa na kushitakiwa ni kazi ya Humphrey na kikosi kazi chake, na aliomba fungu maalum, Leo walewale aliokuwaa awapelekea majina ndio wanamla N.B: alitishia ma RPC na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…