Je, wawafahamu kwa majina Mamajusi waliomsaliti Mfalme Herode na kumnusuru Yesu kuuawa na Mfalme huyo?

MR.NOMA

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
338
502
Baltazary, Merichioly na Gasper - Haya ndio majina ya MamaJusi watatu waliokuwa maarufu kwa kusoma nyota na walipoona Nyota mbali walimwambia mfalme Herode kuwa Hiyo ni ishara kuwa aliyezaliwa atakuwa mtu mkubwa - Mfame, Mtawala etc .

Hivyo Herode aliwaambia wakamuone mtoto wakirudi wampe taarifa Ili na yeye aende, jamaa wakajiongeza maana walishagundua nia ya Herode ilikuwa ni kumuua mtoto Yesu, walipofika walimsujudia wakampa zawadi wakasepa zao kurudi kwao kwa njia nyingine, wala hawakumfahamisha bwana Mkubwa Herode.

Story hii inatufundisha mambo mengi sana, hata katika maisha ya Sasa.
 
Baltazary,Merichioly na Gasper - Haya ndio majina ya MamaJusi watatu waliokuwa maarufu kwa kusoma nyota na walipoona Nyota mbali walimwambia mfalme Herode kuwa Hiyo ni ishara kuwa aliyezaliwa atakuwa mtu mkubwa - Mfame,Mtawala etc . Hivyo Herode aliwaambia wakamuone mtoto wakirudi wampe taarifa Ili na yeye aende,Jamaa wakajiongeza maana walishagundua nia ya Herode ilikuwa ni kumuua mtoto yesu,walipofika walimsujudia wakampa zawadi wakasepa zao kurudi kwao kwa njia nyingine,Wala hawakumfahamisha bwana Mkubwa Herode. Story hii inatufundisha mambo mengi sana, hata katika maisha ya Sasa.

Asante kwa kutujuza mkuu.
 
Kuwapata Mamajusi kama hao Enzi hizi ni ngumu sana,tamaa imetamalaki kila sehem.watu wanapenda fedha,madaraka na Uchawa watoto wa mjini wanasema ili tu mambo yasonge.

Kujipendekeza kumekuwa kukubwa mnoo kwa watawala ili kujihakikishia usalama wa kipato na teuzi mbalimbali.

Sioni mtabiri atakae kuwa upande wa mtoto ambae hajielewi aache kuwa upande wa mtawala zama hizi.

Nimemkumbuka Sheikh Yahya Hussein aliechimbaga mkwara miaka ile ya Regime ya Kikwete kuwa atakaejitokeza kushindana na Kikwete kwenye kura za maoni kwenye awamu ya Pili ya uongozi wake atakufa.
Can you Imagine hilo ni suala LA haki na kikatiba ila Mzee alichimba mikwara kuwatisha watu wasijitokeze kushindana na Rais.

Sembuse kuiona tu hiyo nyota watu wakawa waadilifu kiasi hicho.
 
Hivi neno sahihi ni mamajusi, au majasusi?. Najua Bibilia inasema 'mamajusi'. Ilikuwaje hili neno tena likawa majasusi.
Mkuu swali zuri kabisa hili. Na naimani umeshapata majibu hapo chini. Kwa nyongeza tu, na uelewa kidogo nilionao, mamajusi walikuwa watu watabiri na walitumia sana nyota kueleza mambo yajayo. Watawala waliwatumia kujua mambo yajayo.
 
Mkuu, mamajusi ni watu walioabudu moto na wanaofuata dini ya kale ya Zoroastrianism ya Persia (Iran ya kale). Majasusi ni spies au watu wanaokusanya habari ya mambo ya siri (secret agents).
Hapana,mamajusi ni wataalamu wa mambo ya angani yaani nyota na vinginevyo kwa lugha ya sasa wangeitwa astrophisicians,kwa ulimwengu wa leo uanawapata NASA na mashirika mengine kama ESA (European Space Agency),hapa nchini kwetu sidhani kama tuna kitengo hicho.
 
Hapa nanuku Wikipedia:

Majūs (Arabic: مجوس) or Magūs (Persian: مگوش) was originally a term meaning Zoroastrians (and specifically, Zoroastrian priests). It is also translated as "fire worshipper".

Nikweli mamajusi walikuwa na elimu ya nyota (astrology) na ndio iliwapeleka kwa Yesu
 
Baltazary, Merichioly na Gasper - Haya ndio majina ya MamaJusi watatu waliokuwa maarufu kwa kusoma nyota na walipoona Nyota mbali walimwambia mfalme Herode kuwa Hiyo ni ishara kuwa aliyezaliwa atakuwa mtu mkubwa - Mfame, Mtawala etc .

Hivyo Herode aliwaambia wakamuone mtoto wakirudi wampe taarifa Ili na yeye aende, jamaa wakajiongeza maana walishagundua nia ya Herode ilikuwa ni kumuua mtoto Yesu, walipofika walimsujudia wakampa zawadi wakasepa zao kurudi kwao kwa njia nyingine, wala hawakumfahamisha bwana Mkubwa Herode.

Story hii inatufundisha mambo mengi sana, hata katika maisha ya Sasa.
Umeyasikia wapi hayo majina?
 
Haya majina umeyapata wapi? Hayamo kwenye Bible
 
Baltazary, Merichioly na Gasper - Haya ndio majina ya MamaJusi watatu waliokuwa maarufu kwa kusoma nyota na walipoona Nyota mbali walimwambia mfalme Herode kuwa Hiyo ni ishara kuwa aliyezaliwa atakuwa mtu mkubwa - Mfame, Mtawala etc .

Hivyo Herode aliwaambia wakamuone mtoto wakirudi wampe taarifa Ili na yeye 5!
Mamajusi tulikuwa watano, umemuacha Mshana Jr na uncle GuDume Bujibuji Simba Nyanaume
 
Baltazary, Merichioly na Gasper - Haya ndio majina ya MamaJusi watatu waliokuwa maarufu kwa kusoma nyota na walipoona Nyota mbali walimwambia mfalme Herode kuwa Hiyo ni ishara kuwa aliyezaliwa atakuwa mtu mkubwa - Mfame, Mtawala etc .

Hivyo Herode aliwaambia wakamuone mtoto wakirudi wampe taarifa Ili na yeye aende, jamaa wakajiongeza maana walishagundua nia ya Herode ilikuwa ni kumuua mtoto Yesu, walipofika walimsujudia wakampa zawadi wakasepa zao kurudi kwao kwa njia nyingine, wala hawakumfahamisha bwana Mkubwa Herode.

Story hii inatufundisha mambo mengi sana, hata katika maisha ya Sasa.
Hawa mamajusi walitoka nchi ya Parthian (Iran ya sasa) na walikuwa makuhani wa dini ya Uzoroasta (Zoroastrianism)ya huko Parthian

Zoroasta ni dini ya kale sana iliyoamini itikadi ya Mungu mmoja. Dini za Uislam na Ukristu zimeiga mambo mengi sana toka dini hii.

Hapana,mamajusi ni wataalamu wa mambo ya angani yaani nyota na vinginevyo kwa lugha ya sasa wangeitwa astrophisicians,kwa ulimwengu wa leo uanawapata NASA na mashirika mengine kama ESA (European Space Agency),hapa nchini kwetu sidhani kama tuna kitengo hicho.
Hapa kwetu hakuna watalamu wa nyota
 
Back
Top Bottom