Bundi atua kibabe kwenye dirisha la Madrasa huko Zanzibar. Aondoka na karatasi ya majina.

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,193
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya....

Huko Zanzibar ndege bundi aliyekuwa amevalia nguo zake zote za medani za kivita alitua kibabe kwenye dirisha la madrasa na kuwafanya wenyeji kustaajabishwa mno na ustadi alioutumia ndege yule kufanya matukio aliyoyafanya.

"...anabonge la hirizi shingoni,hatikisiki na wala hacheki na mtu unaambiwa!" Shuhuda.

Na kwa kuonyesha ubabe bundi yule kaondoka na karatasi ya majina.

Chanzo Millard Ayo tv.
 
Chai
 
Aweeee aya mama aweeee bodaboda Dah ndio hvy aweeeee
JamiiForums1680353943.jpg
 
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya....

Huko Zanzibar ndege bundi aliyekuwa amevalia nguo zake zote za medani za kivita alitua kibabe kwenye dirisha la madrasa na kuwafanya wenyeji kustaajabishwa mno na ustadi alioutumia ndege yule kufanya matukio aliyoyafanya.

"...anabonge la hirizi shingoni,hatikisiki na wala hacheki na mtu unaambiwa!" Shuhuda.

Na kwa kuonyesha ubabe bundi yule kaondoka na karatasi ya majina.

Chanzo Millard Ayo tv.
Lakini majina yao si bado wanayakumbuka kila mmoja?Au wamemuogopa bundi mbabe hadi Ahmed akiulizwa jina lake anasema anaitwa Zuhura?
 
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya....

Huko Zanzibar ndege bundi aliyekuwa amevalia nguo zake zote za medani za kivita alitua kibabe kwenye dirisha la madrasa na kuwafanya wenyeji kustaajabishwa mno na ustadi alioutumia ndege yule kufanya matukio aliyoyafanya.

"...anabonge la hirizi shingoni,hatikisiki na wala hacheki na mtu unaambiwa!" Shuhuda.

Na kwa kuonyesha ubabe bundi yule kaondoka na karatasi ya majina.

Chanzo Millard Ayo tv.
Sikia wenye chuki na uislamu mitazamo yao
 
Back
Top Bottom