majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni vizuri Majina ya wajumbe wa Kamati ya Bajeti iliyolifikisha taifa letu kwenye Maumivu ya tozo yafahimike na UMMA

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti ndio imelifikisha taifa hapa lililopo sasa kwenye mkwamo na mgogoro mkubwa wa kuichumi kwa kubariki msururu mkubwa wa tozo kwa wananchi masikini. Bahati mbaya sana Kamati hii imejificha na lawama zote zinaelekezwa kwa Rais wetu Samia Suluhu Hassan badala ya...
  2. JamiiForums Tanzania WanaJamiiForums wenye majina ya kipekee

    Ucheshi kidogo, baadhi ya majina ya kipekee Jamiiforum 1. Kichwa kichafu 2.mpwayungu 3. Wa stendi 4. Bujbuji 5. Prakatatumba 6. To yeye Hayo majina ya ukoo au?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi haya majina ya vitu vipya kwa Kiswahili nani huwa anatunga?

    Wawe wanashirikisha wadau bana. Na hata kama hawashirikishi wengine watunge basi majina ama maneno mazuri. Sasa kama hili kishkwambi Yani unaltamka huku umekunja uso. Angalau wangeita tu tableti. Mengine yanayokera jokofu wangeacha tu friji. Smart phone Eti simu janja. Eti password nywila...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wana haki ya kubaki na majina yao ya ukoo (surname) baada ya kuolewa

    Wanawake kubadili majina yao ya ukoo (surname) baada ya kuolewa na kufuata majina ya waume zao ina onyesha au kuashiria hali ya utegemezi wa mwanamke kwa waume zao, mwanamke kufuata jina la mume wake baada ya kuolewa kunaashiria kuwa yeye ni mali ya mwanaume (mume wake), na anakosa mamlaka ya...
  5. JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka awaanika 'wasiojulikana' kwa majina

    WASIOJULIKANA WAANIKWA HADHARANI. Kweli dunia ni eneo dogo sana nimeamini ya kwamba unaweza kutembea na uovu lakini usifikie nao mbali. Huyu Mungu ni wa ajabu sana pale anapoamua kushughulika na fedhuli na wenye roho chafu. Katika hali isiyokua ya kawaida, Wakili Msomi nchini ndugu Petter...
  6. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO CCM - Mkoa wa Ruvuma wapokea rushwa kukata majina ya wagombea

    Makao Makuu ya CCM - DODOMA, Tunaomba mfuatilie suala hili kwa sababu linawaumiza wagombea wengi sana katika mkoa wa Ruvuma katika uchaguzi unaofanyika wa CCM. Mfano wa wazi: Kuna idadi ya watu waliojitokeza kugombea nafasi ya mwenyekiti wa ccm mkoa wa ruvuma na miongoni mwao yupo anayemaliza...
  7. JamiiForums Tanzania Tutaje majina ya Mawaziri wachapakazi 2022

    Mawaziri wetu wako kazini kila mmoja kwa nafasi yake na kipawa chake alichojaliwa na Mungu Tuweke orodha ya mawaziri wachapakazi ambao kazi zao zinaonekana kwa matokeo kwa Wananchi kutokana na usimamizi wao sio wanaongoza kuonekana kwenye Tv.
  8. JamiiForums Tanzania Username/ID za JF zinatafakarisha sana

    Habari za majukumu, Pamoja na mada nzuri na taarifa mbalimbali zinazotolewa hapa JF, wakati mwingine najikuta nacheka mwenyewe kwa baadhi ya ID/Username zanazotumiwa na baadhi ya members. Japo tuna uhuru wa kuchagua Username tunazopenda lakini tuwe tunaangalia na aina ya majina yenyewe wakuu...
  9. JamiiForums Tanzania Majina ya Pesa kulingana na matumizi na huduma

    Kwema Wakuu!! Pesa inamajina mengi Sana kulingana na matumizi ya Huduma Fulani. Kwa uchache haya ni sehemu ya majina hayo; 1. Nauli. Pesa Kwa ajili ya kupata Huduma au kununua Huduma ya usafiri. 2. Zaka na Sadaka. Pesa Kwa ajili ya kupata Huduma au kununua huduma ya Ibada au shughuli za...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa aliyepata majina ya Sensa wilaya ya Temeke

    Habarini wakubwa! Kuna aliyepata/ ona majina ya waliochaguliwa kwenda kwenye semina wilaya ya temeke? Maana naoma majina yametoka kwa wilaya nyingi ila ya temeke sijayaona.
  11. JamiiForums Tanzania Simulizi -Kitabu kilichojaa majina yote

    SIMULIZI HII NI YA KUTUNGA HAIUSIANI NA MTU YOYOTE WALA KIKUNDI CHOCHOTE , MAENEO , OFISI NA MAJINA YALIONDANI YA HII SIMULIZI NI YA KUBUNI ENJOY SURA YA 01 Ilikuwa ni siku iliokuwa ikisubiriwa na kila mmoja ndani ya Taifa la Tanzania , kila mwananchi alionekana kufurahia lile jambo ambalo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya Sensa ya wilaya ya Ubungo yakitoka naomba tuambizane

    Naomba majina ya Sensa kwa wilaya ya ubungo yakitoka tushtuane mana mpaka sasa naona kimya
  13. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya Sensa ya mikoa yote yalipaswa kutoka kwa pamoja na sio hivi kwa mafungu mafungu

    Kwakweli inashangaza sana Tangu jana naona majina yanatoka nusu nusu.....mara wilaya hii mara wilaya ile ila cha ajabu mpaka sasa sijaona majina ya walioitwa kwenye usaili kwa mkoa wa Dar Mwanzoni wa huu mchakato tangu kwenye hatua kutuma maombi niliamini mambo yatakwenda kisasa zaidi kwamba...
  14. JamiiForums Tanzania Changamoto ya kuona majina ya Sensa kwenye mitandao yetu nini tatizo?

    Mfano Majina ya Sensa yametoka kila Mkoa na wilaya na Halimashauri zake. lakini ukifungua yanakataa. Wataalamu tunaomba msaada wenu na majibu Yenu kitaalamu.
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya majina kutoka Kenya yameongezwa kwenye Oxford English dictionary

    Baadhi ya majina kutoka Kenya ambayo yameongezwa kwenye Oxford English dictionary ni pamoja na "chapo", "githeri", "mpango wa kando", "chang'aa" na kadhalika. Chapo, Githeri, Mpango Wa Kando Among Kenyan Words Added To Oxford Dictionary By Joseph Muia For Citizen Digital Published on: July 15...
  16. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI CHADEMA kupeleka majina mengine ya wabunge Viti Maalum Bungeni

    MADAI Taarifa zinaenea mitandaoni kuwa CHADEMA watapeleka majina ya wabunge Viti Maalum Bungeni pamoja na kuanza kuchukua ruzuku ambayo wameigomea kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa. Zaidi ya hayo inadaiwa Bunge litaridhia Halima Mdee na wenzake kuondolewa bungeni baada ya kikao cha Baraza kuu...
  17. JamiiForums Tanzania Majina yamepotea ghafla katika gmail

    Habari wadau ,, naomba niende kwenye mada,, ni siku nne Sasa majina mengi yametoweka ktk sim yangu hasa yaliyokuwa saved ktk email nimepambana kila namna nimefeli msaada pls"
  18. JamiiForums Tanzania Majina ya walioitwa kazini TPA kupitia Utumishi yalishatokaga?

    Pamoja na mtihani wa mchujo kuwa mkali sana TPA kupitia Utumishi wapo waliopenya vipi walishaitwaga kazini
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Vita vya Majimaji

    Vita vya majimaji ni vita vilivyopiganwa na wazee wa kiislam kupinga utawala wa kimabavu wa kijerumani, lakini kwa makusudi vita hivi historia yake imechafuliwa kwa makusudi kuonesha kuwa vilikuwa vita vilivyopiganwa kwa imani za kishirikina. Ikumbukwe kuwa kusini mwa Tanzania kuna mkoa unaitwa...
  20. JamiiForums Tanzania Athari ya majina ya mitaa katika historia ya Tanganyika

    ATHARI YA MAJINA YA MITAA KATIKA HISTORIA YA TANGANYIKA Mtaa wa Makunganya unaanza karibu ya Msikiti wa Shia ambao uko kwenye kona ya Mtaa wa Zanaki unashuka chini kama unakwenda Picha ya Bismini (Askari Monument) na kabla ya kufika Picha ya Bismini inapita pembeni ya Msikiti wa Ngazija na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…