figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,890
Kuna Wangu wanajiita ni Wabunge wa Chadema ambao chadema haiwatambui.
Wabunge hao wanaotakiwa kutimuliwa bungeni ni Halima Mdee, Esther Matiko, Grace Tendega, Cecilia Pareso, Ester Bulaya, Agnes Lambart, Nusrat Hanje, Jesca Kishoa na Hawa Mwaifunga.
Wengine ni Tunza Malapo, Asia Mohammed, Felister Njau, Naghenjwa Kaboyoka, Sophia Mwakagenda, Kunti Majala, Stella Flao, Anatropia Theonest, Salome Makamba na Conchesta Rwamlaza.
Tarehe 12 Mei 2022 Baraza Kuu la Chadema liliunga mkono uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho wa kuwafukuza uanachama wabunge 19 wa viti maalum akiwamo aliyekuwa mwenyekiti wa baraza la wanawake (BAWACHA), Halima Mdee.
Hii iwe kumbukumbu ya Siasa za Tanzania kwa wajukuu wetu. Bado Tanzania haijajikomboa kifikra. Sisi ni watumwa tu.
Spika haoni aibu kukaa na Mbunge feki. Na anashiriki maamuzi kwa niaba ya watu ambao hawajamtuma.
Historia ya Tanzania umeandikwa.