Masama Kilimanjaro inasemekana kuna shule za kiislam mbili zimeuziwa maji ya wananchi yote jambo ambalo limesabibisha wananchi kukosa maji tokea 2014 na kwasasa ni mwezi maji hayatoki
Katika tarafa ya masama kuna kijiji kinaitwa Kijiji cha Mudio ambapo eneo lijulikanalo kama kijiji cha Kimira...
Ukubwa wa seal za vizibo vya chupa za maji hauna tofauti na ukubwa wa vifungashio vya karanga na pipi.
Seal za vizibo vya chupa za maji zilikuwa ni uhakika kwa mtumiaji kuwa maji hayajachakachuliwa
Unapozuia maji kuwekewa seal una maana gani? Maji fake yaingie mitaani?
Kwa mwendo tunaokwenda muda sio mrefu kipindupindu kikarudi.
Kwa mara nyingine maji Dar es Salaam ni shida.
Wauza maji wenyewe wanayatafuta hawayapati.
Sijui viongozi wanalichukuliaje hili huku hakuna hata taarifa kwa umma.
Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.
Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.
Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana...
Je unajua tank lako la kuhifadhi maji safi na salama kwa matumizi mbali mbali linabidi kusafishwa kila baada ya mwezi
Kwa sababu pindi unapohifadhi maji mda mrefu bila kulisafisha tank huifadhi tope na wakati mengine magugu huota
Karibuni Trinity cleaner tunatoa huduma ya kusafisha matank ya...
Kwa hizi Mvua Kubwa na nyingi zinazonyesha sasa Nchini Tanzania nimetaarifiwa kuwa tayari zimeshaanza Kujaza Mito yetu Mikubwa kiasi kwamba muda si mrefu inaweza ikaanza Kufurika na kujuta hata kwanini kwa Uwongo, Roho Mbaya na Propaganda zetu tuliamua Kumtupia lawama Mchina Mkulima wa Ruvu kuwa...
MRADI wa Maji ya bomba wa kijiji cha Isulilo katika wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu kuwanufaisha wananchi wapatao 10,497.
Mradi huo unatekelezwa na wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini(Ruwasa) kwa ufadhili wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan,
Meneja wa Ruwasa wilaya ya...
Kuna hili suala nimeliwaza kwa muda mrefu sana. Inakuwaje katika nchi ambayo hata maeneo ya mijini tu kuna changamoto kubwa za maji tunaruhusu ujenzi wa swimming pools?
Najua wengine mtanishambulia kwa kuleta usukuma wangu hapa ila kuna mambo inabidi utafakari kwa maslahi ya taifa.
Kama ni...
Nimeikuta mahali hii
Ndugu yangu Polepole nakukumbusha Newton Third Law of Motion. Action and reaction are equal and opposite. Ajifunze awamu ya tano ilivyoshughulika na Membe na Lissu ndivyo wanasiasa wanavyoweza kufanyiana.
Siasa sio sawa na kazi za Civil Society. In politics you deal with...
Abuu Kauthar
Jiji la Dar es Salaam hivi karibuni liliingizwa katika mgao wa maji kwa sababu ya ukame ulioikumba nchi hivi karibuni. Jambo la kushukuru ni kwamba mvua zimeanza kunyesha.Kipindi mgao ulipokuwa mkali, eneo letu Mburahati halikupata maji kabisa kwa wiki tatu. Vijana wa nyumbani...
Kuna ufisadi Mkubwa unafanyika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Arusha (AUWSA). Ufisadu huu unafanywa na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi AUWSA, Eng. Justine Rujomba kwa kushirikiana na Waziri wa Maji Ndg. Juma Aweso na Katibu Mkuu Engineer Sanga.
Kuna Mradi wa Ujenzi wa...
Kutokana na hayo matatizo yaliyotajwa hapo juu. Je, Mama Samia anatupeleka wapi na wasaidizi wake? Tutaishia wapi? Kumbekeni Omicron nayo yatunyemelea kama bado haijafika! Kweli bongo bahati mbaya.
KAIMU Mkuu wa Kitengo Cha Uthibiti Ubora wa Shirika la Viwango nchini (TBS) Baraka Mbajige amewaonya wafugaji na wauzaji wa maziwa kuacha tabia ya kuweka maji kwa sababu ni kinyume cha sheria.
Alisema hayo katika mafunzo ya siku mbili yaliyoandaliwa na TBS kwa wafugaji wa Wilaya ya...
Ipo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi.
Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe na msingi. Lakini barua hii ambayo naamini itasambaa Dunia ina madhara makubwa KULIKO faida kwa...
Nimechoka mno baada ya DAWASA KIBAHA kunitaarifu bili ya maji.
Kwa muda wa mwezi sasa maji ni shida, Yanatok mara moja ndani ya siku tatu au nne, lakini cha ajabu sasa eti bili imekuja kubwa mara mbili kuliko kipindi maji yanatoka kila siku
Naomba nitume meseji ifuatayo kwa uongozi wa DAWASA...
Serikali hii hii iliyokuwa ikiwalea na kuwaacha wamachinga wafanye watakavyo bila kuzingatia taratibu za miji, ndiyo hiyo hiyo imewafukuza na kuwavunjia vibanda vyao, bila kujali kuwa watafanya wapi shughuli zao.
Siyo siri kuwa ni serikali hii hii ya CCM ndiyo iliyowalea wamachinga na kuwafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.