maji

  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usiende China ukaacha nchi haina maji wala umeme

    Kinachoendelea Tanzania ni Uhaini unaofanywa na baadhi ya Mawaziri wa serikali ya awamu ya sita, haiwezekani mgao wa maji ufike mpaka Vijijini hivi ninavyoandika nipo Marangu mtoni maji yanatoka kwa Don mmoja aliyechimba maji chini. Kama hiyo haitoshi leo ni siku tatu umeme unakatika saa kumi...
  2. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Hawa wanatakiwa kuachia nafasi zao kwa tatizo la Maji

    Tatizo la maji sasa ni mtambuka tutarajie magonjwa mengi kama kipindupindu, UTI, kuharisha nk.. Kabla hatujaenda kwenye solution. Hawa wafuatao waondoke kwenye nafasi zao 1. Mzee wetu Mwamunyange (mwenyekiti wa bodi DAWASA). 2. Luhemeja (mkurugenzi DAWASA). 3. Aweso (waziri wa maji)...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji Awesso jiuzuru upesi na DAWASA iwajibishwe

    Waziri Awesso hutoshei katika hiyo ( hii ) Wizara na muda mfupi tu uliopita nimetoka Kukusikia ukizungumza Radio One Nipashe na Kugundua kuwa hata Kichwani pia ni mtupu mno. Unaongea ( Unatoa Maelezo ) yako Kienyeji ( Kiuswahili ) zaidi na siyo Kitaalamu na Kitaaluma halafu pia hauko that...
  4. Dibwi Method

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maji

    Sababu kuu zinazopelekea shida ya maji inayoendelea Jijini Dar es Salaam na mikoa mingine hapa nchini, ni zao la Watangulizi wa Mama. Hii shida imekuwepo kwa muda mrefu sana, haijaanza mwaka jana mwezi April 2021, tusimnyooshee kidole SSH kwa sababu tu yeye ndiye aliye madarakani kwa sasa...
  5. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Aweso akagua ukarabati wa bomba la Maji Dar

    Hivi Aweso ataacha lini hizo drama?! Jana, Makala kasema issue ni upungufu wa maji ajabu leo Waziri husika anadai uharibifu wa bomba. Nchi hii!! ---- WIZARA YA MAJI YAUNGANA NA DAWASA CHANGAMOTO YA HUDUMA DAR Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) ametembelea eneo la matengenezo ya bomba kubwa...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru bado maji shida. Huku ni kukosa maono

    Najua serikali yetu imefanya mengi sana ,Pia nimshukuru Mungu kuwa na viongozi ambao toka uhuru wamelinda amani ya nchi yetu na kutetea umoja na mshikamano wetu. Kiukweli, zipo nyanja tumepiga hatua kwakiasi na zipo nyanja ambazo bado sana. Swala la maji:Hasa kwa mkoa au jiji linalochangia...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dar: Maji ya Bahari yafanyiwe Desalination tuyanywe

    Sala Wakuu, Ni aibu kwa Dar, Tanga na Zanzibar kuwa na Mgao wa Maji Wakati kuna Bahari. Nashauri Serikali itengeneze Maji ya Bahari ili kuondoa tatizo la maji Dar. Maji ya Ruvu hayatoshi. Pwani peke yake kwa Takwimu za Serikali ina Viwanda 1036 na vyote vinatumia hayo Maji. Achinjilia mbali...
  8. May Day

    JamiiForums Tanzania Tuwekeze kwenye Teknolojia kutafuta suluhu ya Maji

    Tengeneza picha umeamka siku moja na kujikuta kati kati ya jangwa saa sita mchana jua lipo utosini, ukizunguka pande zote huoni Mmea wala Mbu zaidi ya miale (mirage) inayotokana na kuakisiwa kwa jua juu ya uso wa Dunia. Hicho ndio kifo, na iwapo ghafla mbele yako itafumuka chemu chemu ya maji...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar yakumbwa na Mgao wa Maji. Ratiba ipo hivi;

    Ikiwa ni Wiki ya Pili sasa mgao ukiendelea kimya kimya, hatimaye DAWASA yatoa ratiba ya Mgawo wa Maji. Nanukuu kiongozi wa Mkoa: "Naomba niwaambie wananchi kuwa mgawo haupekuki kutokana na ukame ambao tayari TMA ilishatangaza kuwepo kwa hali hii muda mrefu kulikosababishwa na kunyesha kwa mvua...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wasikudanganye nikodishie Helicopter nikakuonyeshe Wakubwa Watano waliochepusha Maji ya Mto Ruvu

    Tena Wawili uko nao katika Serikali yako ya sasa, Mmoja ni Mstaafu mkubwa mno na Wawili ni Wanawake ambao wanashirikiana na Wakubwa fulani pamoja na Wachina kadhaa. Mheshimiwa Rais Samia Mimi Mwanao GENTAMYCINE napinga na nakataa kata kata kuwa Mgao wa Maji ulionza katika Mikoa ya Dar es...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata yale magari ya maji safi ya bomba kwa bei nafuu?

    Kwa ndugu zangu wakazi wa Dar es salaam wilaya ya Kinondoni, ni wapi naweza kupata yale magari ya maji safi ya bomba kwa bei nafuu?
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DAWASA yatoa notisi ya kusitisha usambazaji wa maji ya Visima kwa baadhi ya Maeneo ya Jiji la Dar es salaam

    Mamlaka ya Huduma za Usambazaji wa Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam(DAWASA) imetoa agizo la kusitisha biashara ya usambazaji wa maji ya visima katika baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es salaam ndani ya siku thelathini (30) kabla hatua kali za kisheria hazijachukuliwa kwa wahusika. Agizo...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rasmi Dar yakumbwa na uhaba wa Maji, RC Makalla athibitisha uwepo wa Mgao

    Akizungumza baada ya kutembelea vyanzo vya Ruvu Chini na Juu, Mkuu wa Mkoa Amos Makalla amesema mgao wa Maji umesababishwa na kupungua kwa uzalishaji kunakotokana na ukame. Makalla amesema hali ya Maji sio nzuri kwenye kina cha maji cha vyanzo hivyo huku uzalishaji ukipungua kutoka lita za...
  14. mama D

    JamiiForums Tanzania Mgawo mkali wa umeme na maji unaoendelea nchini ni wazi kabisa watendaji wa Serikali mnaihujumu Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Hiki kinachoendelea kimyakimya ni mchakato wa kuturudisha kuleee miaka ilee ya 2005, 2006, 2007...... miaka ambayo Dar Es Salaam na Tanzania kwa ujumla ilikua imepambwa na mikokoteni ilishosheheni madumu ya korie yaliyobeba maji na magari yenye matank ya maji kila kona. Kwa kasi ya ajabu...
  15. Gamba la Nyoka

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Maji na Mkurugenzi wa DAWASA

    Wananchi wa Dar es salaam tumechoka na migao ya maji Ndugu Waziri na Ndugu Mkurugenzi wa DAWASA Mimi ni mkazi wa Dar es salaam, maeneo ya Mlalakuwa. Napenda nikutaarifu kuwa, sasa katika maeneo yetu na mengine ya Jiji la Dar es salaam kumekuwepo na hali mbaya sana ya upatikanaji wa maji ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kujua chujio la hayo maji yafae kutumia

  17. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Maji kupungua kwenye rejeta(radiator)baada ya service

    Wakuu ni hivi, nilimwanga coolant yote kwenye rejeta, pia nikafunfungu koki kwenye injini na kumwaga yote. Halafu nikajaza upya kama lita 5 hivi, cha ajabu hata nikitembea km 10, nakuta maji yamepungua kidogo kwenye rejeta, shida nini wakuu, msaada tafadhali, gari ni noah, road tourer, engine ni...
  18. The Tai

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa sabuni za maji

    JIFUNZE KUTENGENEZA SABUNI ZA MAJI Katika harakati zetu za utafutaji wa pesa leo ninaomba tuzungumzie kuhusu utengenezaji wa sabuni.Sabuni hizi unaweza kuzitumia katika kufulia,kuogea,kuoshea vyombo na kusafishia chooni.Sabuni hizi unaweza kutumia kwa matumizi yako ya nyumbani au kuuza maeneo...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji Juma Aweso fika wilaya ya Moshi ( Mwika) watu watumia maji ya RUWASA wanaharisha , mamia wamelazwa

    Hali ya wananchi wilaya ya Moshi , eneo la mwika mamia ya watu wamepatwa na ugonjwa wa hatari wa kuharisha na kutaapika baada ya kutumia maji ya RUWASA. Kilio hili kimemfikia mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ila hakuhangaika na wananchi Bali amekimbilia kusimamia moto mlima Kilimanjaro. Wagonjwa ni...
  20. FourTwoNet

    JamiiForums Tanzania Hivi chanzo cha huu mgao wa maji na umeme ni nini?

    Hivi kweli unawezaje kujitembeza bila aibu eti unafanya royal tour, halafu watalii wakija wanakuta nchi ina mgao wa maji na umeme? Huu mgao ulianza lini? Mbona wananchi hatuna taarifa? Au ndio siasa yenyewe hii?
Back
Top Bottom