Nimeangalia wakandarasi waliopata zabuni za miradi ya maji, kwa kweli binafsi yangu sijamuona Mtanzania ngozi nyeusi aliye pata zabuni. Wote niliowaona mie, ni ngozi nyeupe (mabeberu), sasa nacho jiuliza ngozi nyeusi sisi tatizo ni nini?
Sote tunafahamu njia kuu ya Serikali kuongeza fedha...
Kumiliki gari na kumaintain gari ni vitu viwili tofauti, ndo maana unaweza kuta mtu ananunua gari kwa furaha anafanya na sherehe mambo ya maintenance yakianza inakua balaa..
.
Unaanza kuona gari kama JINI Kabula, Sasa Leo nataka tuguse kidogo issue ya kutumia maji ya Bomba [tap water]katika...
Unaweza kupewa glasi iliyojaa maji ya kunywa kwa njia tofauti. Unaweza kuomba au kuagiza upewe maji, unaweza kubembeleza au kufoka upatiwe maji ya kunywa ukapewa, na unaweza kuyachukuwa mwenyewe bila kuomba ukayapata. Njia zote hizi zina lengo moja tu la kupata maji glasi moja tu ukate kiu bila...
SHAKA AWASHA RASMI MTAMBO WA KUSAMBAZA MAJI PAMOJA NA KUSHIRIKI UJENZI WA SHULE MAALUM YA SEKONDARI YA WASICHANA .
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, leo amewasha mtambo wa maji na tone la kwanza la maji likatoka kwa wakazi wa eneo Mitwero mkoani...
Ni upumbavu ambao haukubaliki wala kuvumilika stend kuu kama hii ya Magufuli Mbezi louis kuendelea kukusanya mapato huku abiria wakitoa pesa zao kwaajiri ya huduma ya choo,Kisha wanaambiwa ni haja ndogo tu maana maji hakuna almost 6hrs now tokea kusitishwa kwa huduma hiyo muhimu.bila hata kutoa...
Korea Kaskazini inapambana kupunguza maambukizi ya Covid kwa raia wake ambao idadi kubwa hawajachanjwa, bila utumiaji wa dawa bora za kukinga virusi.
Mwanzoni mwa 2020, nchi ilifunga mipaka yake kujaribu kujikinga na janga hili.
Uongozi wake hadi sasa umekataa msaada wa matibabu kutoka nje...
Kule chooni unapomaliza shughuli zako, huwa kuna zoezi la kuflashi ama kumwaga maji ili choo kiende, ila amini usiamini kuna choo hata uki flashi mara ngapi kitaibuka tu, hakunaaga utofauti na aina ya watu hawa.
- Kuamka saa tatu ama nne asubuhi.
- Muda mwingi ni kuchati, kupeleka playstation...
HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MAJI NA MZINGIRA NDUGU ESTER A. THOMAS KUHUSU BAJETI YA WIZARA YA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023.
UTANGULIZI:
Jana jumatano tarehe 12 Mei 2022, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso aliwasilisha katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania makadirio ya...
HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MAJI NA MZINGIRA NDUGU ESTER A. THOMAS KUHUSU BAJETI YA WIZARA YA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023.
UTANGULIZI:
Jana jumatano tarehe 12 Mei 2022, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso aliwasilisha katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania makadirio ya...
Wakati maandamano yakiendelea Nchini Sri Lanka inadaiwa kuwa hivi ndivyo baadhi ya wananchi walivyoamua kushusha hasira zao kwa familia ya Rajapaksa ambayo inatawala nchini humo.
Wameamua kuyachoma na kuyatupa ndani yam aji magari ya kifahari ya wanasiasa hasa kutoka familia hiyo
Watoto na...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameomba Bunge kuidhinisha Fedha hizo kwa Mwaka 2022/23 ambapo Matumizi ya Kawaida ni Tsh. 51,462,269,000
Akiwasilisha Hoja yake Bungeni Waziri Aweso amesema "Jumla ya Bajeti ya Maendeleo ni Tsh. 657,899,338,000. Kati ya hizo, Tsh. 407,064,860,000 ni Fedha za Ndani na...
Mbowe ni kibaraka wa CCM na watu walishampuuza kabisa.
Wananchi sasa wapo serious kupambana na maisha magumu hivyo hawataki usanii wa kipuuzi juu ya hatima maisha yao.
Kujifanya wajanja ili muchezee akili za wananchi wao walishashutuka ipo siku mtapigwa mawe hadharani.
Huu sio wakati wa Mbowe...
Hizi ni Habari za muda mrefu nimekuwa nikisikia kwamba maji yoyote yale yawe ya bahari au mto unaotembea hutakasa mwili
Je wajuzi wa mambo kuna ukweli wowote katika hili?
1. kusahau kuwasha
kuna siku niliweka mchele kwenye rice cooker nikawasha switch ila pale kwenye rice cooker sehemu ya cook sikubonyeza ,nikaenda kuanangalia muvi kwenye tv ,imefika saa 2 hivi nikasema ngoja nipakue nile nilale, naenda kufunua nakuta mifuta inaelea hakuna kilichopikika na nina...
Wapendwa
Habari za uzima?
Nimepokea taarifa kutoka Mkoani Mara wilaya ya Rorya kata ya kowaki mtaa wa Labuor kwamba watu watano(5) wamesombwa na maji.
Kati ya hao wa 5, 3 ni wana wa kike( wanawake) na wawili(2)ni watoto.
Walikua wanavuka kutoka upande mmoja wa mto mori kwenda kwa ibada siku...
Ni bomu kubwa linalotengenezwa linasubiri kulipuka na siku likilipuka litaacha madhara makubwa. Hivi ndivyo inavyoweza kuelezwa kwa kinachoendelea katika shule ya msingi Mwanzugi iliyopo wilayani hapa mkoani Tabora.
Shule hii iliyo umbali wa kilomita 10 kutoka makao makuu ya halmashauri ya...
Wakuu nina shida na waterguard zimeadimika sana. Nahitaji ile ya maji. Kila nikitafuta naona ya vidonge pekee.
Mwenye nazo au kujua wanapoziuza aniandikie hapa
Ummy Msika (45)mkazi wa Kata ya Bomambuzi Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro ameiomba mamlaka za kiuchunguzi kumsaidia kuchunguza na kumkamata rafiki yake aitwaye Mama Bahati kwa madai kuwa alimpatia maji ya baraka yaliyopelekea kumuathiri sehemu zake za siri. https://t.co/kX1YFZDpZ2
Ndugu Waziri wa maji,
Hali ya upatikanaji maji katika baadhi ya maeneo katika mkoa wa Dar imekuwa ni shida.
Majuzi DAWASA walitoa taarifa kuwa maji yangekatika kwa siku moja kupisha matengenezo, lakini leo tunakwenda siku ya tano hakuna maji, hivi mnataka sisi tuishije?
Wakati mwingine muwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.