maji

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania RC Makalla: Ng'ombe wamesababisha uhaba wa maji

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema mto Ruvu umacha kutiririsha maji kutokana na wananchi wa Mvuha, Dutumi na Kisaki Mkoani Morogoro kiwa na ng'ombe wengi. Makalla na timu yake waliufuatilia mto Ruvu ili kujua sababu ya kutopitisha maji ambapo wamegundua shughuli za kibanadamu...
  2. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Diamond atoa maji kwenye swimming pools zake zote

    Diamond platnumz ametoa maji ( drain) swimming pools zake zote wanapoishi wanae. Mind kadai sababu kubwa ya kufanya hivyo Ni kuongeza usalama kwa wanae. Amewaandikia barua watumishi wake wote wanaohudumia nyumba hizo.
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania John Heche Muongo, eti Misri mvua hainyeshi miaka 20 lakini hakuna mgao wa maji

    Kasema Tanzania kuna Ziwa Nyasa, Tanganyika, Ziwa Victoria lakini tunadai kuna upungufu wa maji na kuna mgao Dar na Mwanza. Eti Jangwa la Kalahari huko Botswana maji yapo hakuna mgao. Anasema Tanzania hakuna Viongozi wenye maono sababu wananunua Magari ya Bil 500 wakati Dar Bil. 200 inamaliza...
  4. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Ukame, Nchi jirani zote Maji, Umeme vyote vipo, Why Tanzania tu?

    Tunaambiwa hakuna maji wala umeme sababu ya ukame na kwamba hakuna mvua, nijuavyo mimi Nature haijui mipaka ya kibinadamu, sasa iweje ukame uko kwetu tu? Tena wengine kama Kenya hata ni semi desert lkn kwa nini Nairobi maji yapo? Kwa nini Uganda kwa patron Museveni umeme na maji vyote vipo? Kwa...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tunalalamika mvua hazinyeshi na maji yanakatika tazama huu msululu wa mkaa

    Mkaa wote huu unaelekea Dar es Salaam. Je tutuwezaje kupona ukame? Nishati safi ndio chanjo pekee.
  6. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Ina maana DAWASA hawasafishi na kuzibua visima hadi kutokee uhaba wa maji?

    Jamani hivi mmegundua kuwa tangu itangazwe kuwa kuna upungufu wa Maji unaosababisha mgawo, DAWASA wameanza kuzibua Visima 161 mitaani huko ambavyo havikuwa vikifanya kazi. Kwa jinsi hali ilivyo ni wazi kabisa kuwa hawa jamaa DAWASA hawana kawaida ya kuchukua tahadhari yoyote kuhusu dharula ya...
  7. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM imeshindwa kuleta suluhisho la Maji kwa zaidi ya nusu Karne Madarakani....Shame!

    Yaani ukiwakuta wamevaa zile uniform za Kijani wanavyoonekana kama Spinach utadhani ni Watu innocent na wenye maono makubwa kwenye Maendeleo ya nchi. Subutuuuuu!! Ni aibu unapita mikoani eti Kuna Watu wanachota maji kwenye madimbwi, juzi nilikua safarini huko, Kuna vijiji viko barabarani kabisa...
  8. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Ni ushamba sana kutoka semina umebebelea kopo la maji uliyopewa kwenye semina, warsha nk

    Peace be upon you all, Aise waTanzania ni watu washamba sana sana kabisa. Mwanzo nilidhani ni watumishi pekee wenye huu ushamba ila nimebaini ni watu wengi wa sekta zote. Yani unakuta watu wamekwenda semina fulani alafu muda wa kutoka wamebebelea vimaji vya mia tano hako kakopo atakabeba njia...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Sinema: Yanga wakiwamwagia Africain maji ya maiti

    Mbali nchi kuingia kwenye aibu 90' za uwanjani, kuna aibu nyingine nchi imeingia. Video inaonyesha jinsi mashabiki wa Yanga wakiwangia Club Africain. Maji hayo inasemekana ni maji ya maiti. Mshana Jr maji ya maiti yana madhara gani kisayansi za uganga
  10. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata Amonia ya maji jijini Mwanza?

    Heshima kwenu wakuu. Napenda kuuliza, kwa hapa mwanza ni katika maeneo gani na katika maduka ya aina gani (category) naweza kupata ammonia ya maji? Na je bei yake ni kiasi gani? Asanteni sana
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hali ya maji Mto Ruaha Mkuu ni mbaya, zimetimia siku 80 bila kutiririsha hata tone la maji

    Imeelezwa kwamba Mto Mkuu Ruaha ambao ni kwa uhai wa hifadhi ya taifa ya Ruaha upo kwenye hali mbaya kutokana na maji yanayopita kwenye mto huo kukauka kabisa na hivyo kusababisha hata wanyama kukosa maji. Akizungumza na waandishi Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi,Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Ruaha...
  12. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Mbezi ya Kimara hakuna mgao wa maji, maji hakuna kabisa!

    wakuu nipo maeneo ya Mbezi Makabe, yaani huku hakuna mgao wa maji ila tumenyimwa kabisa. wahusika kama hawatuoni!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine yafanikiwa kurudisha Maji na Umeme Kiev

    Baada ya Urusi kupiga miundo mbinu ya maji na umeme huko Kiev. Maengineer na Mafundi wa Ukraine wanefanikiwa kurudisha umeme na Maji katika mji mzima wa Kiev. Hayo yamesemwa na Mayor wa jiji la Kiev. Wakati huohuo Ukraine imesema imefanikiwa kudondosha Drone 8 za Urusi ilizopewa na...
  14. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Maji hakuna, kufurahisha Mzungu/Globalist!

    Huu unaoitwa ukame ni wa kutengeneza ili kumfurahisha globalist, Tanzania haijawahi kukumbwa na uhaba wa maji kwa kiasi hiki. Sababu za huu unaoitwa ukame ni kuendana na Mkutano wa Global Warming unaofanyika huko Misri ili Globalist apate kuwaaminisha watu kuna global warming, hata Mlima...
  15. OLS

    JamiiForums Tanzania Kauli ya RC Makalla kuhusu uhaba wa maji ni sawa na kusema hatutaki Maendeleo

    Imenishangaza sana kusema suala la maji ni 'Kudra za Mungu'. Nimefikiria kama tuko serious na maendeleo. Labda nianze kwa kuwapa tafsiri ya maendeleo tofauti na ulizoea kuzisikia awali. Maendeleo ni uwezo wa mtu kuyadhibiti mazingira yake (Ability to command the environment). Hii inaenda sawa na...
  16. Dibwi Method

    JamiiForums Tanzania Siasa ndiyo chanzo kikuu cha shida ya Umeme na Maji Tanzania

    UHABA WA MAJI KUPELEKEA MGAWO MPYA WA UMEME? Kwa wale wasiofahamu, uhaba wa maji nchini unaodaiwa kutokana na ukame uliosababishwa na ukosefu wa mvua kwa muda mrefu (mabadiliko ya Tabia ya nchi), una madhara ya moja kwa moja kwenye upatikanaji wa umeme hapa nchini. Hii ni kutokana na maji kuwa...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Pwani wanakata sana miti na kusababisha uhaba wa maji

    Rais Samia amesema shida ya maji inayoendelea katika Mkoa wa Dar es salaam imesababisha na athari za kimazingira ikiwemo kukata miti. Amesema mkoa wa Pwani unaongoza kwa kukata miti iliyoko kando ya mto Ruvu unaoleta maji Mikoa ya Dar es Salaam na hivyo wanasababisha uhaba wa maji. Rais...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Elon Musk: Watumiaji wa Twitter kulipa ada ya $8 kila mwezi kumiliki blue tick

    "Chief Twit" mpya wa Twitter Elon Musk anaripotiwa kufikiria kufanya blue tick kuwa kuwa kipengele cha Twitter Blue, wakati huo huo akiongeza mara nne gharama ya huduma ya usajili. Hii inamaanisha kuwatoza watumiaji ada ya kila mwezi ya $20 ili kuweka beji yao ya tiki ya bluu. Inaelezwa kuwa...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Ukosefu wa maji ni kudra za Mungu wala sio ilani ya CCM. Ilani haiwezi kuleta mvua

    Leo JNICC mkuu wa mkoa wa Dar, Amos Makalla akiwa kwenye kongamano la nishati ya gesi ya kupikia linalodhaminiwa na Taifa Gas ameongelea changamoto ya maji Dar mbele ya Rais Samia. Amos Makala: Mamlaka ya hali ya hewa ilishatabiri, kwamba kutakuwa na kipindi kirefu cha ukame, kwahiyo ni kwamba...
  20. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kutegemea maji ya surface (mito, maziwa na mabwawa) kwa matumizi ya kila siku ni hatari sana

    Ukweli mchungu, kama taifa inabidi tubadiri sera zetu na vipaumbele. Kugombea maji ya kutumia na viumbe Kama ndege ilihali tunaweza kuchimba deep well na kupata maji ya kutosha ni jambo lisilovumilika. Tumesikia mto Ruvu maji yamepungua kina na kupelekea hatari ya mamilioni ya wakazi wa jiji la...
Back
Top Bottom