Eswa
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 253
- 660
Wakuu kwema.? Anayefahamu biashara hii ya kuuza maji naomba anaifahamishe machache haya:
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
- Gharama za ununuzi wa machine (mfumo mzima) wa kuchuja maji.
- Gharama za ufungaji wa machine hizo
- -Upatikanaji wa machine hizo.-
- Gharama za uendeshaji.
- Faida ikoje.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.