Usifanye haya mbele ya Maji

Usifanye haya mbele ya Maji

Dr leader

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
1,080
Reaction score
1,448
Usiwahi Kunywa Maji yaliyopo Mbele yako mara baada ya kuongea Maneno hasi..

ukizungumza ukiwa na hasira kali mawazo mabaya, Maji huwa na tabia ya kufyonza kila mtetemo wa kila neno ulilotoa.

Ikiwa Utazungumza Maneno hasi huku Maji yapo pembeni, Kisha ukabeba Maji hayo na kuyanywa basi umekunywa mitetemo ya Maneno uliyotoa

Leo nikufunze magic..

Kaa na Maji katika glass, zungumza nayo kwa upole Tena katika mtazamo chanya. Hapa, Kuna wengine wameshaanza kuhisi vingine.

Maji ni hai, yamekuwapo hata kabla ya Miungu kuwepo. Maji hayakuumbwa na Mungu yoyote yule– zungumza nayo kwa upole.

Baada ya kumaliza kuzungumza nayo, yanwe– utashangaa..

Ukiwa MBELE ya Maji, tambua uko MBELE ya essence ya uhai. Usijezungumza Vibaya maana Maji yatafyonza mitetemo.

The Alkbulan man✍️
 
Hiyo michezo ya mwamposa mbona waasisi ni mashekhe 😄😄

Miaka ya 80 to 90 mashekhe wametapeli sana watu Kwa u-fake prophecy kwani haujui !?
Tanzania kweli kuna watu wana imani, sasa sijui imani sijui matatizo au ni ujinga duuuuh ule umati wa kwa mwamposa hatari
 
hii ni asili japo hata wewe unaweza jinenea
 
Usiwahi Kunywa Maji yaliyopo Mbele yako mara baada ya kuongea Maneno hasi..

ukizungumza ukiwa na hasira kali mawazo mabaya, Maji huwa na tabia ya kufyonza kila mtetemo wa kila neno ulilotoa.

Ikiwa Utazungumza Maneno hasi huku Maji yapo pembeni, Kisha ukabeba Maji hayo na kuyanywa basi umekunywa mitetemo ya Maneno uliyotoa

Leo nikufunze magic..

Kaa na Maji katika glass, zungumza nayo kwa upole Tena katika mtazamo chanya. Hapa, Kuna wengine wameshaanza kuhisi vingine.

Maji ni hai, yamekuwapo hata kabla ya Miungu kuwepo. Maji hayakuumbwa na Mungu yoyote yule– zungumza nayo kwa upole.

Baada ya kumaliza kuzungumza nayo, yanwe– utashangaa..

Ukiwa MBELE ya Maji, tambua uko MBELE ya essence ya uhai. Usijezungumza Vibaya maana Maji yatafyonza mitetemo.

The Alkbulan man✍️
Heti maji yalikuwa kabla ya Mungu kuwepo?sasa ebu tuambie nani kayatengeneza Maji mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom