maji

  1. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Wamiliki wa magari wadai kujaziwa maji badala ya mafuta kwenye kituo cha TotalEnergies

    Hii imetokea Huko shinyanga baada ya wamiliki wa magari kulalamika kujaziwa maji badala ya mafuta. Kama ingekuwa nje ya Tanzania Leo hii kampuni ingefilisiwa Kwa kitendo hiki cha hovyo na kama ni uzembe umefanyika kwenye kuhifadhi matenki ya mafuta basi huu ni uuwaji kabisaa!! Total energies...
  2. guzman_

    JamiiForums Tanzania Msaada Wauzaji wa Pump za maji za Hydram

    Habari ndugu wana JF Naombeni msaada wa kujua muuzaji wa hizi pump kwa hapa Tanzania. Nimejaribu kusearch online sijapata muuzaji kwa hapa Tanzania. Mwenye kujua naombeni msaada wa maelekezo.
  3. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Wenye visima wanaosambaza maji kwa wengine wanapaswa kushitakiwa

  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tulioomba kuunganishiwa Maji Moshono Arusha tunazungushwa, AUWSA wanadai hawana Mita

    “UKOSEKANAJI WA METER ZA MAJI ARUSHA”. Tumekuwa tunapitia changamoto kubwa ya kuunganishiwa huduma ya maji Arusha kwa kisingizio kutoka AUWSA kwamba hakuna meter. Baadhi ya Wakazi wa Moshono, Kata ambayo ipo hapahapa Arusha Mjini tumefanya malipo tangu January lakini hakuna Meter na hili...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mbezi Luis kuna shida ya maji unaenda mwezi sasa

    Wakazi wa Mbezi Luis kuna shida ya maji unaenda mwezi huu sasa, ukipiga simu kwa Wateja wanakuuliza maswali wanachukua na account number wanasema wanafanyia kazi ila hakuna chochote kinachofanyika na mwisho wa mwezi wanatuma bili kama kawaida.
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chemba iliyokuwa inatiririsha maji taka kando ya Soko Jipya la Kariakoo yasafishwa

    Juzi niliona mdau wa JamiiForums.com analalamikia kero ya chemba inayotililisha maji taka kando ya Soko Jipya la Kariakoo, ambalo lilizinduliwa katika siku za hivi karibuni. Ilivyokuwa awali Chemba inayotiririsha maji taka kando ya Soko jipya la Kariakoo ni tishio kwa afya Leo nimefanikiwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Maji - Mtaa wa Kanisa la Hija, Pugu

    Mamlaka husika ishughulikie maana bili ya maji inakuja tunalipa lakini huduma ya maji ni ya kuvizia. Maji yanatoka dakika kumi mpaka tano yanakata. Na mamlaka husika zinalijua hili, tunaomba DAWASA walifanyie kazi tumechoka.
  8. M

    JamiiForums Tanzania MUWSA kutoa Sh Milioni 2 kwa watakaotaja wezi wa mita za maji Moshi

    Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi (MUWSA) imeeleza kuwa katika kipindi cha mwezi Januari hadi Machi mwaka huu, mita za maji 266 zenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 37.2 zimeibwa hali inayopelekea hasara kwa mamlaka hiyo na usumbufu kwa wateja wake. Hoja ya wizi wa...
  9. mirindimo

    JamiiForums Tanzania DAWASA wanafungua maji kwa saa moja ili watume bili

    Hii kitu sio sahihi, hamjatoa maji zaidi ya wiki 2 , halafu mnafungua maji lisaa 1 mnatuma bill ya maji halafu mnakata. Eeeeeh aiseeee
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya maji Mwanza (MWAUWASA) watuambie kama kuna mgao wa maji Nyakato

    Upatikani wa maji safi katika jiji la Mwanza maeneo ya Nyakato umekua usioridhisha kwa muda wa wiki mbili sasa. Kuna siku maji hayapatikani hata siku tatu. Kuna siku yanakuja asubui na kukatika mchana. Kipindi hiki cha sikukuu maji yamekuwa yakija na kukatika. Tangu jana siku ya Eid maji...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa Maji kwa Wiki 3 – Maeneo ya Chuo cha SAUT - Mwanza

    Kwa zaidi ya wiki tatu sasa, maeneo ya karibu na Chuo Kikuu cha SAUT hususan mitaa ya Nyamalango, Maduka Tisa–Buhima na Sweya yanaishi bila maji kabisa. Hali imekuwa mbaya kupita kiasi na inaathiri moja kwa moja maisha ya kila siku ya wakazi. Mara chache sana maji yanaporudi inakua ni usiki wa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Malinyi, Dkt. Mecktridis Mdaku atoa fedha kuweka mfumo wa maji Kituo cha Afya Itete

    Mbunge wa Jimbo la Malinyi, Dkt. Mecktridis Mdaku ametoa msaada wa kuboresha mfumo wa usambazaji majisafi katika kituo cha Afya cha Kata ya Itete, Kilichopo Wilaya ya Malinyi, Mkoani Morogoro na kusaidia kuondoa adha ya upatikanaji wa maji iliyodumu kwa muda mrefu Kituoni hapo. Hatua hiyo...
  13. machafuko jr

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi inakuaje maji hayatoki na bili ipo pale pale. DAWASA acheni michezo

    Wiki ya tatu hii maji hayatoki kabisa lakini cha kushangaza bili ipo pale pale. Aisee DAWASA acheni michezo hiyo
  14. The Dictator

    JamiiForums Tanzania UAE yafikiria kujiunga na Marekani kulinda mlango wa Hormuz / Diplomasia na Iran, tia maji-tia maji

    Dkt. Anwar Gargash, ambaye ni mshauri wa kidiplomasia wa Rais wa UAE, amethibitisha leo (Jumanne, Machi 17, 2026) kuwa UAE inaweza kujiunga na juhudi za kimataifa zinazoongozwa na Marekani ili kulinda usalama wa njia ya maji ya Strait of Hormuz. Gargash alitoa kauli hiyo wakati akizungumza...
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA kwanini mnafunga maji usiku, pakikucha mnafungua?

    Kuanzia Wakurugenzi, Mameneja, Bodi hadi mafundi wote mjitafakari. Mnazingua.
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la Ukosefu wa Maji Kibaha kwa Mfipa; Mtaa wa Simbani

    Tatizo la maji kwa sisi wakazi wa Kibaha – Mfipa, mtaa wa Simbani limekuwa kubwa sana. Maji yanatoka mara moja au mbili tu kwa wiki tena usiku wa manane wakati tumelala , na wakati mwingine hayatoki kabisa. Hii inaleta usumbufu mkubwa kwa wananchi. Maji ni hitaji la msingi kwa maisha ya kila...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Upuuzi wa migahawa mingi sasa hivi kuuza mchaichai wa kuchemsha kama chai nyeusi(black tea) unakera sana

    Nimeona kwenye migahawa kadhaa sasa ukiagiza Chai unaletewa maji ya mchaichai uliochemshwa badala chai nyeusi(black tea) ambayo ndio chai halisi tangu zamani. Sijui ni Wasabato wa msimamo mkali au Waswahili tu na ujinga wao ndio wameamua kuleta hii aina mpya ya chai feki.
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi Korogwe Mjini tuna Changamoto ya Maji

    Sisi wakazi wa Bagamoyo na Kilole, Wilaya ya Korogwe Mjini, tunalalamikia changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo yetu. Kwa muda mrefu sasa kumekuwa hakuna ratiba maalumu ya mgao wa maji hali inayotusababishia usumbufu mkubwa katika maisha ya kila siku. Cha...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mikumi daraja limekatika na kusombwa na maji

    Wahandisi wetu wawekeww sheria ya kunyongwa hadi kufa. Wanahujumu Nchi na wanakosa uzalendo. Mfano: Kutoka mikumi kwenda Wilayani Kilosa Mhenda dalaja limevunjika. Hili daraja halijamaliza miaka miwili toka lijengwe.
  20. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi mradi wa maji wa miji 28 Katavi

    WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI WA MIJI 28 KATAVI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 13, 2026 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Kata ya Shanwe, Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi. Mradi huo wenye thamani ya shilingi bilioni 22.8 umefikia asilimia...
Back
Top Bottom