maji

  1. JamiiForums Tanzania Inawezekana vigogo wanachepusha maji yasiingie Mtera

    Haiwezekani TANESCO mkatuambia kwamba hizi mvua zote zinazoharibu mashamba ya miwa kufanya sukari iuzwe 5000 kilo eti haziingii kwenye bwawa la kuzalisha umeme, kweli? Hivi mnatuonaje? Marehemu Magufuli alisema mliwahi kuchepusha maji yasiingoe Bwawani si ajabu tena mmerudia huo mchezo maana...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali yaja na Muarobaini wa Eneno la Mtanana Kujaa Maji

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Mhandisi Aisha Amour kuwasimamia wataalamu kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) kuhakikisha hadi kufikia mwezi Desemba mwaka huu uboreshaji wa miundombinu ya barabara katika eneo Mtanana katika barabara kuu ya...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Losaa-Kia water supply maji ni machafu, ukichota bombani yanatoka na udongo

    Naomba kutoa malalamiko juu ya jambo hili kwani sisi watumiaji wa maji yanayosambazwa nanyi hatuna uhakika wa usalama kwa afya zetu kwani maji ni machafu sana. Ukichota bombani yanatoka na udongo
  4. JamiiForums Tanzania DAWASA: Wateja na wananchi wanaohudumiwa na tanki la kisarawe, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa masaa 24

    TANGAZO LA DHARURA KUKOSEKANA HUDUMA YA MAJI KWA WATEJA WANAOHUDUMIWA NA TANKI LA KISARAWE 14.01.2024 Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na wananchi wanaohudumiwa na tanki la kisarawe kuwa, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa masaa 24...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi yale Maji ya Mvua yanayopenda Kutuama sehemu nyingi Mkoani Morogoro hayawezi Kuhifadhiwa kwa Matumizi ya Kipindi cha Ukame?

    Muda na Nguvu za Kumuonyesha Mbwembwe za Kishamba za Kimedani Adui yako Genius wa Afrika upo ila wa Kutumia Akili Kubwa ya Kuhifadhi Maji mengi yanayozagaa Mkoani Morogoro kutokana na Mvua na Mafuriko ili yaje kuwa Msaada kwa Wakulima Kipindi cha Ukame hatuna.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Israel maji ya shingo ICJ

    1. Ama kweli za mwizi zinahesabika na jana ilikuwa ya 39. 2. Kimeumana mahakamani; kwamba aliyoyanena msauzi Jana, ati kuwa ndiyo haswa ushahidi wake? 3. Ati kuwa yeye ndiye amekuwa akitaka mno mazungumzo na Sauzi na eti kuwa ni u kichwa ngumu tu, wa Sauzi kukimbilia mahakamani? 4...
  7. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Maji Machame, nimelipa kuunganishiwa maji wananizungusha hadi leo

    Nimelipa gharama za kufungiwa maji na vifaa nimenunua tangu tarehe 2 January 2024 lakini wanazungushana kutoa mita. Mhasibu anasema mpaka fundi aje na fundi anasema mpaka aitwe kwenye kazi. Kama vile hakuna ushirikiano wa kazi lakini wao ofisi moja.
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Maji ya Ziwa Victoria Kufika katika Halmashauri ya Ushetu

    Mbunge Cherehani: Maji ya Ziwa Victoria Kufika katika Halmashauri ya Ushetu. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kuanza kwa utekelezaji wa kufikisha mradi wa maji wa ziwa Victoria katika halmashauri ya Ushetu. Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ameyasema...
  9. JamiiForums Tanzania Faida za Maji ya Bamia kwa mwili wa binadamu

    Bamia ni mboga yenye umuhimu mkubwa katika lishe yetu na maji yake yana faida nyingi kwa afya. Mbali na kutumiwa kama sehemu ya mboga kwenye mchuzi au rosti ya mboga, maji ya bamia yana umuhimu wake ambao mara nyingi huenda usifahamike sana. Virutubisho muhimu zinavopatika ndani ya maji ya...
  10. JamiiForums Tanzania Maji ya bomba Makambako ni machafu na mamlaka ya maji (NJUWASA) ipo kimya

    Hii video nimeirekodi leo hii Januari 10, 2024 nikiwa maeneo ya Shule ya Mwembetogwa, Wilayani Makambako Mkoani Njombe. Hivi ndivyo uhalisia wa maji ulivyo kuhusu Makambako na viunga vyake mfano maeneo ya Lupila na Kitisi. Mimi ni mgeni eneo hili nina miezi kadhaa lakini tangu nimefika...
  11. JamiiForums Tanzania Mafuriko yakatisha mawasiliano Barabara ya Morogoro – Dodoma, Waziri Bashungwa atoa maelekezo kwa TANROADS

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Eng. Mohamed Besta kufanya tathmini ya eneo la Mtanana katika barabara kuu ya Morogoro – Dodoma ambalo leo Januari 9, 2024 lilijaa maji na kusababisha barabara hiyo kufungwa majira ya asubuhi. Pia...
  12. JamiiForums Tanzania Lushoto: Wazee wakausha maji baada ya mradi kuanzishwa bila kupewa taarifa

    Wakazi wa Kata ya Kwekanga wilayani Lushoto mkoani Tanga wamekumbana na ukosefu wa maji baada ya wazee wa kata hiyo kudaiwa kuzuia chanzo cha maji kutotoa maji hadi kufanyike tambiko, baada ya mkandarasi kuanza mradi bila kuwashirikisha. Akizungumza katika mkutano wa hadhara, Meneja wa Mamlaka...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni lipa posho za maji na umeme kwa Askari wako

    Askari wa Wizara yako walie mpaka lini!? Unafrahia kuongoza Askari wanyonge! Hizi posho za maji na Umeme serikali inazitoa zinaishia kuliwa na wajanja Wizarani pengine ukiwepo wewe (tetesi zipo) watumishi wote wizarani wanalipwa posho hizi! Iweje Askari waambiwe wanunue umeme na maji alafu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wahusika shughulikieni suala la chemba za maji taka kujaa kariakoo

    Mwezi wa 11 nilienda Kariakoo kwenye mitaa ya Agrey na karibu mitaa yote chemba za maji taka zilikuwa zinatoa maji machafu kuashiria karo linalohofadhi maji taka hayo kuwa yamejaa. Lakini cha kushangaza jana nimeenda tena nakutana na shida ileile, kwa maana kwamba tatizo nililolikuta mwaka jana...
  15. JamiiForums Tanzania Dar: DAWASA imeanza kutekeleza kazi ya kufunga kifaa cha kusukuma maji kwenda Bonyokwa

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza kutekeleza kazi ya kufunga kifaa cha kusukuma maji (Booster pump) kwa lengo la kuongeza upatikanaji maji katika eneo la Mavurunza kwa ajili ya kupeleka maji katika maeneo ya Bonyokwa kwa Kichwa, Kwa Dani Mrwanda, Shedafa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna Maji Kinondoni kwa mwezi sasa

    Nikisema ni zaidi ya Mwezi sasa Kinondoni hatupati maji ya Dawasa unaweza usiamini. Hatujui kama ni mgawo, au ni tatizo gani. Hakuna taarifa yoyote. Mimi naishi Kambangwa, ni Mwananyamala japo wengi tumezoea kupaita Kinondoni. Mara ya mwisho maji ya bomba kutoka ni zaidi ya wiki 4 zilizopita...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso aagiza timu ya Wataalamu kuchunguza madai ya maji yenye uchafu Sombetini Arusha

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com ambaye ni Mkazi wa Sombetini kusema kuwa kuna changamoto ya maji yasiyo salama kutoka kwenye mabomba ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha (AUWSA), hali ambayo ilikuwepo kwa miezi kadhaa nyuma na sasa imejirudia na kuwasababishia Magonjwa ya Tumbo...
  18. JamiiForums Tanzania Kampuni za maji mnashindwa vipi kuomba udhamini mdogo wa hizi timu

    Naangalia Mapinduzi Cup hapa Water Break wachezaji wanajimwagia na kunywa maji yamebanduliwa nembo. Kampuni za Maji mnalala sana. Changamkieni fursa ya kukuza biashara acheni ubahiri.
  19. JamiiForums Tanzania Jana nimeenda club kwa mara ya kwanza, nimetoka nduki baada ya kuuziwa maji 4000/=

    Kiukweli watu huko duniani Wana pesa aisee, imebidi nijitafakari upya nimekuja kufanya nini duniani kwa sababu kwa mambo niliyoyaona jana usiku nilirudi nyumbani kwa huzuni kubwa Sana, aibu na maumivu. Nilikua zangu road nikasema Wacha niende rock city mall nikashangae maghorofa, nikajikuta...
  20. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Rais Samia kaelekeza Bonyokwa iongezewe fedha ili maji yatoke Saa 24

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa eneo la Bonyokwa Jijini Dar es Salaam lina kero ya kutopata Huduma ya Maji kwa takriban Wiki 5, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema maelekezo yametolewa kwa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha wakazi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…