majengo

  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Hispania katika Afrika haukuacha majengo mengi kama walivyojenga Amerika y Kusini

    Katika kumbukumbu za ukoloni, sifa kubwa ya Hispania ilikuwa ujenzi. Walibuni na kujenga majengo ya kupendeza kama vile sifa ya Uingereza ilivyokuwa katika utawala bora. Katika Afrika, Hispania ilitawala Equatorial Guinea, mpaka sasa hivi Kispaniola ndiyo lugha rasmii ya nchi hii. Wakati...
  2. Fya-fyafya

    JamiiForums Tanzania Dhana ya kujiepusha Mikusanyiko dhidi ya Coronavirus na Mashindano ya Draft Kitaifa yanayofanyika Moshi Mjini Majengo Mississippi

    Serikali kupitia kwa viongozi wa juu akiwemo Mheshimiwa.Raisi, Waziri mkuu na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto wamekuwa wakituhadharisha na kutupa Elimu ya namna gani ya kujilinda na kujiepusha na Huu ugonjwa Hatari wa Korona ambao umeangamiza maelfu na maelfu nduniani...
  3. Papa D

    JamiiForums Tanzania Kipi kiwe kipaumbele kwenye elimu kati ya majengo na maslahi bora kwa walimu?

    WB wamesitisha mkopo kwa Tanzania. Lakini baadaye nimemsikiliza ZZK anasema mkopo huo ulilenga kujenga mashule ikiwemo kukarabati shule zilizopo. Lakini tathmini ya mazingira ya walimu kuanzia nyumba, mishahara na mafunzo ya kujiendeleza vyote vipo ovyo kabisa!! Swali ni: Je, tuendelee kupaka...
  4. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Picha: Makazi ya kwanza tuwapo Mars

    Kuanzia 2022 na 2024 baada ya kufika kwetu katika sayari ya Mars, tutaanza kwa kuishi katika makazi ya namna hii huku tukiitransform Mars kuwa nzuri zaidi. Picha ikionesha majengo yaliyojengwa kwa teknolojia ya 3D Printing. 2022 na 2024 tukifika kuanza shughuli za ujenzi na utafiti akinifu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Majengo ya ofisi za mizani ya kupimia uzito wa magari(Weigh Bridge), yawe ya rangi moja nchi nzima na ikiwezekana hata ramani ya majengo iwe ni moja

    Kila naposafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine kwa njia ya barabara, huwa nashangazwa kuona majengo ya ofisi katika vituo vya kupimia uzito wa magari (weigh bridge) hapa nchini yakitofautiana kwa rangi na hata style ya ujenzi ingawa yote yako chini ya serikali moja na yanafanya kazi ile...
  6. Sibonike

    JamiiForums Tanzania Hospitali ni zaidi ya majengo

    Wengi mtakuwa mmesikia jinsi serikali ya awamu ya tano inavyojinasibu kuhusu ujenzi wa hospitali za wilaya, vituo vya afya na zahanati. Maeneo mengi kuna ujenzi unaendelea na Waziri Jafo yupo kila sehemu akikagua. Ni jambo jema lakini kuna maswali ya kujiuliza. Ujenzi huo si sawa na barabara au...
  7. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wauaji wakuu wa biashara Tanzania Ni TRA na wapangisha fremu au majengo ya biashara. Serikali iwashughulikie

    Gharama za fremu za biashara haziko rafiki kwa mfanyabishara na TRA pia Kodi sio rafiki kabisa Ni pepo ibilisi. TRA na Wenye fremu na wapangisha majengo ya maduka ndio chanzo kikuu Cha kufungwa biashara nyingi na kuzuia biashara mpya na viwanda vipya kuanza. Hawa wawili ndio mashetani...
  8. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania CCM yeteka kwa mabavu ofisi za CHADEMA Rombo

    Hii ndio hali ya utawala wa shari, mabavu na wenye kukusudia kuchafua amani ya Tanzania tulivu hata kama ina umasikini na ujinga ila utulivu ulikua kiunganishi kwetu. Lakini cha ajabu umasikini hawajaondoa, ujinga hawajauondoa, wanapamnana kuiondoa CHADEMA kwa shari, kwa vita kwa fujo na ikibidi...
  9. Influenza

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aagiza Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kutopewa mradi huku akimtaka Mtendaji Mkuu kujitathmini

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Arch. Daud Kondoro ajitathmini kuhusu utendaji kazi wake huku akiwasimamisha kazi wakurugenzi watatu wa wakala huo. “TBA tunaihitaji lakini watu wake wana shida. Hatuwezi kuwaacha, TBA wasipewe miradi kwa...
  10. Website design

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa ipo Makongo

    📍Eneo Lilipo: Makongo Juu - Mageuzio 📍Aina ya eneo: Eneo la makazi Kubwa lililo na mjengo wako 📍Ukubwa wa eneo: 2100 Sqm 📍Mazingira ya eneo: Eneo tulivu lenye makazi ya watu 📍Huduma za kijamii: Umeme na Maji vyote vipo 💸💸💸 BEI : Milioni 300 (Mazungumzo yapo) 💸💸💸 LIPA 50% INGINE...
  11. Black Thought

    JamiiForums Tanzania Pata ramani ya nyumba aina yoyote kwa bei nafuu

    Habari wakuu, Ninatoa huduma ya michoro ya ramani za nyumba. Ramani zipo nyingi za aina na ukubwa tofauti, hivyo nitatoa kulingana na mahitaji ya mteja na kufanya marekebisho kidogo ili kukidhi hitaji husika. Utanipa 'details' zako kamili na maelezo ya kiwanja chako. Marekebisho ninayofanya ni...
  12. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

    Hapa nitaelezea Sababu za msingi zinazosababisha majengo yanayofanana kujengwa kwa gharama tofauti. Tuzungumzie mchoro wa nyumba ya vyumba vitatu vya Kulala kimoja kati ya hivyo ni master bedroom, sitting room, dining, kitchen ,public toilet na store. Mchoro aliununua ndugu anaitwa Juma, baada...
Back
Top Bottom