House4Sale Nyumba inauzwa ipo Makongo

Sep 8, 2017
55
259
📍Eneo Lilipo: Makongo Juu - Mageuzio

📍Aina ya eneo: Eneo la makazi Kubwa lililo na mjengo wako

📍Ukubwa wa eneo: 2100 Sqm

📍Mazingira ya eneo: Eneo tulivu lenye makazi ya watu

📍Huduma za kijamii: Umeme na Maji vyote vipo

💸💸💸 BEI : Milioni 300 (Mazungumzo yapo)

💸💸💸 LIPA 50% INGINE UTAMALIZIA KIDOGO KIDOGO

☎️☎️☎️ : 0782 780 980 AU 0677 81 82 83

WhatsApp Image 2019-09-08 at 11.34.42.jpeg
WhatsApp Image 2019-09-08 at 11.34.43 (1).jpeg
WhatsApp Image 2019-09-08 at 11.34.43 (2).jpeg
WhatsApp Image 2019-09-08 at 11.34.43.jpeg
WhatsApp Image 2019-09-08 at 11.34.44 (1).jpeg
WhatsApp Image 2019-09-08 at 11.34.44.jpeg
WhatsApp Image 2019-09-08 at 11.34.45 (1).jpeg
WhatsApp Image 2019-09-08 at 11.34.45 (2).jpeg
WhatsApp Image 2019-09-08 at 11.34.45.jpeg

☎️☎️☎️ : 0782 780 980 AU 0677 81 82 83
 
yawezekana sio saizi yako ndo maana wasema hivyo...
mkuu usiwe mkali wajumbe wanakupa uhalisia hebu angalia hii imeisha kabisa
 
📍Eneo Lilipo: Makongo Juu - Mageuzio

📍Aina ya eneo: Eneo la makazi Kubwa lililo na mjengo wako

📍Ukubwa wa eneo: 2100 Sqm

📍Mazingira ya eneo: Eneo tulivu lenye makazi ya watu

📍Huduma za kijamii: Umeme na Maji vyote vipo

💸💸💸 BEI : Milioni 300 (Mazungumzo yapo)

💸💸💸 LIPA 50% INGINE UTAMALIZIA KIDOGO KIDOGO

☎☎☎ : 0782 780 980 AU 0677 81 82 83

View attachment 1208545View attachment 1208546View attachment 1208547View attachment 1208548View attachment 1208549View attachment 1208550View attachment 1208551View attachment 1208552View attachment 1208553

☎☎☎ : 0782 780 980 AU 0677 81 82 83
Mbona nyumba ina beams tu na haina columns?
 
siwezi kujibia hilo suala naona lipo kiufundi zaidiii...
Katika ujenzi wa magorofa component ya muhimu zaidi ni msingi ikifwatiwa na columns then zinafwata beams na slabs!! hizi ndio zinafanya jengo/ghorofa liwe imara. Ndio maana nikauliza mbona sioni columns?

Hata kama hujui ila rudi kwa aliyenjenga akupe jibu maana lazima utaulizwa na watu wengine sasa ukisema tena huna jibu utajikuta unapoteza wateja kizembe.
 
Mkuu imebidi nirudi Uzi mmoja nyuma ili nicheki. Ni kweli hakuna column iliyobeba beam na beam ibebe slab. Atakuwa alitumia sijui mafundi gani kuijenga
 
Mkuu imebidi nirudi Uzi mmoja nyuma ili nicheki. Ni kweli hakuna column iliyobeba beam na beam ibebe slab. Atakuwa alitumia sijui mafundi gani kuijenga
Hii haikua kazi ya kumuacia fundi tu!! ndio maana watu wanasota chuo miaka minne!!

Nimeona kalaza tofali kwenye floor ya kwanza lakini hiyo sioni kama ni kitu kizuri "structurally"!! Jengo kama hili lilihitaji column na nondo za maana na zege lenye ratio nzuri!! anyway tumuachie mleta mada akaulize wenda atapewa majibu sahihi zaidi!
 
Kuleta biashara JF Inabidi uwe Uvumilivu +, hata ungeweka Mil 50 Wangekuja wa kukukebehi kuwa ww ni tapeli, umekuja kuwapiga watu
Uzi Wangu Wa Udalali Wa Nyumba Nakutana sana Na watu wa Aina Hiyo
So Inabidi Uwe Mpole Mzee Maana % kubwa Wanaokoment Sio Wanunuzi
 
Back
Top Bottom