majengo

  1. Sky Eclat

    Balcony inachukua nafasi kubwa ya eneo, unaweza kujenga ghorofa bila balcony

    Nimeona hii nyumba na kutafakari. Kwa wale wapenzi wa ghorofahii ni plan ni ya bei nafuu. Juu Ina vyumba vitatu vya kulala a family bathroom. Chini ina jiko, choo, sebule na dining. Katika kiwanja cha kawaida cha 1/4 eka unaweza kujenga hii nyumba na nyuma ukapata nafasi ya banda la kuku...
  2. MK254

    Wakenya 300 walio nje ya nchi (diaspora) waungana na kuwekeza kwenye ujenzi wa majengo ya kifahari

    Yaani hii ni zaidi ya akili kubwa, hongereni sana ndugu zetu, tuijenge hii nchi yetu kwa pamoja maana ndio nyumbani kwetu, mkiwa huko mnafanya makubwa sana nyumbani. ======== A group of at least 300 Kenyans currently living in the United States of America has teamed up to embark on a...
  3. Miss Zomboko

    Waziri Jafo apiga marufuku Wakala wa Majengo Tanzania kupewa kazi Halmashauri ya Buchosha

    Wakala wa Majengo Tanzania ( TBA) wametakiwa kurejesha Shilingi million 300 walizolipwa kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya Serikali katika Halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza, huku Halmashauri hiyo ikipigwa marufuku kuwapa kazi TBA. Akizungumza wakati wa ziara yake wilayani humo juzi, Waziri wa...
  4. YEHODAYA

    Serikali iwapangishe kwa bei nafuu wafanyakazi wanaofanya kazi katikati ya jiji majengo yao yaliobaki wazi

    Baada ya makao makuu kuhamia Dodoma mijengo mingi mitupu nashauri serikali ipangishe wafanyakazi wa serikali na sekta binafsi wanaofanya Shuguli zao katikati ya jiji kwa bei nafuu. Pia wawafikirie Wahindi na Waarabu na familia zao ambao hupenda kuishi katikati ya jiji wawapangishe makazi kwa...
  5. Sarikiaeli

    Tukumbushane! Mwongozo wa utoaji wa vibali vya ujenzi na usimamizi wa ujenzi wa majengo kwenye mamlaka za serikali za mitaa

    TAMKO LA WAZIRI WA NCHI NA KATIBU MKUU OFISI YA RAIS -TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA Walengwa wa Mwongozo huu ni Mamlaka za Serikali za Mitaa, Taasisi mbalimbali za Serikali zinazoshughulika na Ujenzi wa majengo, waendelezaji, wawekezaji wa ndani na nje pamoja, wananchi na wadau wengine...
  6. B

    Tujitahidi kujenga chumba cha leseni,vyeti na risiti kwenye majengo yetu

    Maisha yanavyokimbia kila Jambo unalofanya linapaswa kuwa kwenye maandishi. Kila jambo unalolipa linapaswa kuwa kuwa na risiti. Kila kazi unayofanya unatakiwa kuwa na cheti kwa maana umekaa darasani ukasomea na kupata, hata kuchuna ng'ombe na mbuzi utatikiwa kuwa na cheti. Kila biashara...
  7. Commander In Chief

    TANZIA Brother Peter Lyimo, aliyekuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Majengo-Moshi amefariki Dunia

    Inasikitisha na kuhuzunisha sana kwa kifo chake. Ametutoka mapema leo 07/12/2020 katika hospitali ya Mount Meru Arusha. Taarifa zaidi kuhusu chanzo cha kifo chake zitakujia hivi karibuni. Nafahamu kuna wana MJSS wengi sana hapa Jukwaani walio ndani na nje ya nchi. Karibuni tumuenzi mkuu wetu...
  8. YEHODAYA

    Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya Wabunge au ukumbi wa Bunge

    Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge. Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni. Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya...
  9. Nyanswe Nsame

    Ujenzi holela majengo katikati ya Jiji la Mwanza vibali vyatolewa kwa Tsh. Milioni 50

    Ujenzi holela majengo katikati ya Jiji Mwanza vibali vyatolewa kwa Tsh. Milioni 50 Jiji la Mwanza chini ya Mkurugenzi wake, Kiomoni Kibamba limezidi kuchafuka na kukithiri kwa majengo yanayojengwa kiholela kutokana vibali vya ujenzi kutolewa kinyume na utaratibu. Jiji hilo kupitia Idara ya...
  10. Securelens

    Rais Magufuli ni Jemedari kweli wa Vita ya Ufisadi na Rushwa-Jua fedha, majengo, na vitu vingine kibao vilivyorejeshwa Serikalini. Big up JPM

    Moja ya kazi nzuri aliyofanya Mheshimiwa Rais Magufuli ni kupiga vita ufisadi na rushwa kwa vitendo. Mashauri makubwa ya ufisadi 407 yamepelekwa mahakama ya mafisadi na mashauri 385 yamesikilizwa. Aidha kupitia Takukuru mashauri 2,256 yalifunguliwa ambapo mashauri 1,926 tayari yametolewa uamuzi...
  11. Analogia Malenga

    GE2020 UMD yaahidi kufuta Kodi ya Majengo na Vitambulisho vya Taifa

    Mgombea UMD kufuta vitambulisho vya taifa MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mohamed Mazrui, amesema iwapo atapata ridhaa ya kuongoza Tanzania, Serikali yake itafuta utaratibu wa wananchi kupewa Vitambulisho vya Taifa. Alisema hayo juzi wakati wa...
  12. hery_edson

    Karibu tukutengenezee ramani za umeme kwa majengo mbalimbali kwa gharama nafuu

    Habari wana Jamiiforums mimi ni mhandisi umeme upande wa ushauri, kwa yeyote mwenye uhitaji wa kuandaliwa na kutengenezewa michoro ya umeme(lighting with power system) pamoja na mfumo wa vifaa vidhibiti moto (fire detection system), karibu tukuhudumie tunafanya kazi ya kuandaa michoro kwa muda...
  13. WilsonKaisary

    Kwa mahitaji ya ramani za majengo

    Kwa kupata Huduma hizi wasiliana nasi 0626814150/0765105802. 1.Ramani za Majengo ya kibiashara <Lodge, Guest house, hotel, mighawa, maghala supermarket>, Huduma za kijamii <Shule, hospitali> na Majengo ya makazi (Architectural drawings). 2.Ramani za michoro ya Nondo (Structural Drawings)...
  14. WilsonKaisary

    Kwa mahitaji ya ramani za majengo

    Kwa kupata Huduma hizi wasiliana nasi 0626814150/0765105802. 1. Ramani za Majengo ya kibiashara <Lodge, Guest house, hotel, mighawa, maghala supermarket>, Huduma za kijamii <Shule, hospitali> na Majengo ya makazi (Architectural drawings). 2. Ramani za michoro ya Nondo (Structural Drawings) 3...
  15. Janja PORI

    TRA na Kodi ya Majengo (Property Tax) naombeni ufafanuzi katika hili

    Wadau habari za asubuhi, Kwa wataalamu wa kodi (Tax Consultants) ama watumishi wa TRA, kama nina nyumba eneo halijapimwa na mimi binafsi sina Tax Identification Number (TIN) nawezaje kulipa kodi ya majengo? Asanteni
  16. Pdidy

    Yale majengo Zanzibar mmeshindwa hata kupaka rangi mnataka Urais

    Kama kuna mistake alifanya CCM ni kurudisha familia ya Karume ikulu Siongei kwa ubaya, mkuu alipopewa uraisi angeweka na kuongeza mazuri mzee aliofanya. Jana naona mwingine anataka tena ikulu; aisee baba mwana na mwana tena, labda nisiwe Tanzania. MMeshindwa kupaka hata rangi yale majengo...
  17. Return Of Undertaker

    Kwanini Serikali ya CCM miradi ya watu kama maji mpaka wakope ndio itekelezwe? Lakini majengo hutolewa taslimu?

    Serikali ya ccm sijaelewa njiani hugawa cash sana kuliko kuzingatia bajeti iliyopangwa katika eneo husika na siku hizi anatembea nazo hasa kwe ye nyumba za ibada na kugawa maburungutu na haijulikani zinatoka wapi. Katika maongezi na Waziri Mkuu wa India nimegundua kuwa miradi ya maki ya nchi...
  18. Kurzweil

    Msamvu, Morogoro: Vibanda 8 vya biashara katika eneo la Stendi ya Mabasi vyateketea kwa moto

    Moto ambao haujafahamika umesababishwa na nini umewaka na kuteketeza vibanda vya biashara takriban 8 katika eneo la stendi ya Msamvu, usiku wa kumakia leo Akizungumza baada ya kuudhibidti moto huo, Kamanda wa Uokoaji na Zimamoto mkoani humo, Godluck Zerote amesema hakuna mtu aliyedhurika bali...
  19. Sky Eclat

    Utawala wa Hispania katika Afrika haukuacha majengo mengi kama walivyojenga Amerika y Kusini

    Katika kumbukumbu za ukoloni, sifa kubwa ya Hispania ilikuwa ujenzi. Walibuni na kujenga majengo ya kupendeza kama vile sifa ya Uingereza ilivyokuwa katika utawala bora. Katika Afrika, Hispania ilitawala Equatorial Guinea, mpaka sasa hivi Kispaniola ndiyo lugha rasmii ya nchi hii. Wakati...
Back
Top Bottom