Tulia hapa nikuelekeze jinsi ya kupika kitimoto kizuri cha geto na ugali
Kwanza tafuta chainizi au mchicha ukate kama hivi nilivyo kata mimi
Kisha anza kukaanga kitimoto chako usiwek mafuta na baada ya hpo weka zako vitunguu kaanga mpaka vilainike na uwke karoti na nyanya usiweke hoho...
Hivi ukiagiza chai ya maziwa halafu ukaletewa maziwa na majani ya kuchovya(teabags) pembeni hapo unakuwa umepewa chai ya maziwa au ni maziwa yaliyowekewa majani ya chai?
Mimi nafikiri chai ya maziwa ni lazima majani na maziwa vichemshwe pamoja jikoni, tofauti na hapo ni utapeli tu.
Ni tukio la dakika tano.
Kuna raia amegongwa kama sio na polisi waliopo doriaa hapo majani ya chai itakuwa ni Jeshi maana wote wapo eneo la tukio na wanauzoa mwili na kufuta futa damu Ili kupoteza ushahidi.
Tafhadhali mpelekeni hosptali huyo Mtanzania haraka sisi jirani tunawaona kwa madirishaa
Hata kama umepanga nyumba, sio kisingizio cha kushindwa kua na ka-portable garden kako, kwa kutumia chupa za maji Tu, unaweza ukaanzisha bustani yako ya mbogamboga na ukawa hununui mboga
Anawasifia mchana usiku anataka maini Yao Ila Israel mtoa roho!
Naandika mimi sasa ✍🏻✍🏻✍🏻
Yeye Yule ambaye alitukanwa sana kwenye korido za Nyumba nyeupe mithiri ya Meli, pale kwenye Shombo, sasa akawa mwenyewe.
Anafanya kulipiza kisasi kuanzia ameshika hatamu akamuwajibisha aliyeonya SIGARA...
Asalaam wadau wa kilimo!
Naomba kujua ni dawa Gani ya kupuliza shambani ambayo inaweza kuwa mbadala wa kupalilia shamba ili kupunguza gharama za kusafisha shamba?
Nimepanda miti msim huu wa kilimo, nimepanda miti ya Michenza Sasa majani yamefumuka hasa baada ya mvua kunyesha,
Naomba wajuzi...
Wanasema sanaa ni kila kitu hasa ukiwa msanii wa sanaa.. .. Sio usanii wa wizi na udanganyifu lakini
Leo tunaangazia kwenye sanaa ya majani ya miti.. Unaweza kuona ni kwa kiasi gani tukiwekeza kwenye ubunifu na sanaa tutatatua tatizo la ajira kwa kiwango gani... Wahitimu wengi watapata ajira na...
Kuna ule mlenda huwa unapikwa kutokana na majani fulani yanayosagwa kama unga, unaitwa mlenda wa unga.
Haya majani yanayotengeneza huu mlenda wa unga yanapatikana wapi?
Yanauzwa sokoni kama mboga ?
Unaweza kuyapikia mlenda yakiwa mabichi(hayajakauka) kama mboga nyingine za majani?
Kuna mdada mmoja anataka talaka kwa kuwa wenzake au mashosti zake wanaishi vizuri,hivyo kumpeleka kuona kwamba majani ya bustani za wenzake ni yakijani sana kuliko ya kwake
Anasema mume wake kila baada ya wiki mbili hununua vyakula vyote vya ndani,na kisha kila siku huacha shilingi elfu saba...
Kuna mdada mmoja anataka talaka kwa kuwa wenzake au mashosti zake wanaishi vizuri,hivyo kumpeleka kuona kwamba majani ya bustani za wenzake ni yakijani sana kuliko ya kwake
Anasema mume wake kila baada ya wiki mbili hununua vyakula vyote vya ndani,na kisha kila siku huacha shilingi elfu saba...
Jeshi la Israel, IDF inaruhusu watalii kuona 'kichaka kinachowaka moto' kwenye Mlima Karkom, Je ni nini hiki? - mfafanuzi
Jeshi limesema kuwa litafungua eneo hilo, ambalo kwa kawaida ni eneo la shabaha kwa silaha za moto la IDF, tarehe 20-21. Desemba 2024
Watu wataruhusiwa kuzuru Mlima Karkom...
Habari za Leo wakuu,
Haijalishi vidonda vyako vimefika hatua gani au umekuwa ukisumbuliwa kwa muda gani, unaweza kutumia tiba ya asili kwa majani ya mashona nguo. Haya ni yale majani ambayo huwa yanatoa vimiba vidogo vya rangi nyeusi vyembamba, ambavyo huweza kunasa nguo unapopita karibu nayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.