Dawa gani sahihi ya kutokomeza majani shambani?

mfereji maringo

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
1,043
Reaction score
263
Asalaam wadau wa kilimo!

Naomba kujua ni dawa Gani ya kupuliza shambani ambayo inaweza kuwa mbadala wa kupalilia shamba ili kupunguza gharama za kusafisha shamba?

Nimepanda miti msim huu wa kilimo, nimepanda miti ya Michenza Sasa majani yamefumuka hasa baada ya mvua kunyesha,

Naomba wajuzi mnifahamishe

Asanteni
 
Sahivi mazao mengi yanadawa ya chambua kwahyo fika kwenye maduka ya kilimo watakupa ushauri tena kama unaweza watafute SURA wapo vizuri sana.
 
Asalaam wadau wa kilimo!

Naomba kujua ni dawa Gani ya kupuliza shambani ambayo inaweza kuwa mbadala wa kupalilia shamba ili kupunguza gharama za kusafisha shamba?

Nimepanda miti msim huu wa kilimo, nimepanda miti ya Michenza Sasa majani yamefumuka hasa baada ya mvua kunyesha,

Naomba wajuzi mnifahamishe

Asanteni
Jembe
 
Round up kiboko yao ila be careful zipo fake pia
 
Back
Top Bottom