Marashaaa95 JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 849 Reaction score 724 Feb 26, 2026 #1 Katika pita pita zangu huko jamii ya watu wa Facebook nimekutana na hii comment kutoka katika Page rasmi ya MASTER JAY Attachments Screenshot_20260226_211833_Facebook.png 222.3 KB · Views: 22
Katika pita pita zangu huko jamii ya watu wa Facebook nimekutana na hii comment kutoka katika Page rasmi ya MASTER JAY
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,660 Reaction score 98,548 Feb 26, 2026 #2 Kwa mtu mwenye busara na utimamu wa akili jibu lilikuwa hilo Ama wewe ungekuwa Master ungejibu vipi?