Sijui kama hili limekaa kitaalam sana au kipigaji!
Kwa taarifa za Mamlaka ya hali ya hewa! Baada ya wiki mbili kutakuwa na mvua! Ukipita barabara ya bagamoyo kuanzia eneo la mbezi kuelekea tegeta! Yale majani ya pembezoni mwa barabara wanayakwangua na greda! Kama tunavyojua greda husukuma...
Hakuna aina moja ya mboga za majani inayotosha kukupatia virutubisho vyote muhimu ili uweze kuimarisha afya yako.
Ni muhimu kutokutumia aina moja ya mboga kila siku kwa kuwa haiwezi kukupatia virutubisho vyote unavyohitaji, bali jitahidi kuchanganya au kubadili mara kwa mara ili uweze kunufaika...
Ng’ombe 15 wamekufa katika kijiji cha Losirwa wilayani Monduli Mkoa wa Arusha wakidaiwa kuwa wamekula majani yenye sumu yaliyoota maeneo mbalimbali kijijini hapo.
Akizungumzia suala hilo mkuu wa wilaya ya Monduli, Fank Mwaisumbe amesema hadi jana zaidi ya ng'ombe 15 wamekufa kwa kula majani...
Kwenda bar nakuagiza; mbuzi, kuku, kitimoto, nyama choma, pamoja na kumwagilia moyo na marafiki; huku familia umeiacha ikila mboga za majani, sio uungwana.
Itapendeza zaidi, kama utakuwa na familia yako; wote mkiwa mnatumia kwa pamoja, na si wewe na marafiki wakati huko nyumbani kwako...
Moja kwa moja kuokoa muda..
Mimi sio mpenzi wa kutumia majani ya chai ya dukani mara nyingi napenda kutumia chai ya mchaichai,baada ya kupitia nyuzi mbalimbali humu zinazohusu mti wa mlonge na faida zake nikahamasika sana kutengeneza majani ya chai ya mlonge.
Nikaingia YouTube na gugo na...
Maisha yana safari ndefu sana usipofunga mkanda haswa unaweza zeekea nyumbani hasa kwa sisi tuliotoka kwenye familia masikini.
Nakumbuka wakati nimepata ajira kampuni Fulani ujira ulikuwa mdogo sana licha ya elimu niliyo nayo ilinibidi nifanye hivyo hivyo mshahara ulikuwa 200k kwa mwezi...
Mtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika.
Lakini Mtemi Hangaya hajapata mapokezi ya namna hii huu ni uthibitisho kuwa hakubaliki sana mkoani Kilimanjaro.
Kulingana na andiko fulani lililoita liliezea kuhusu haya majani au mnaweza kutafta na kusoma tena maana me niliwapa ahadi ya kuyatafuta ktk mizungoko yangu nimefanyikiwa kuyaona japo ni machache kidogo kwa mwenye uhitaji twaweza wasiliana DM ataweza yasafirisha vipi yako ngara kagera na niko...
Nataka kufanya kilimo cha majani au chakula cha kulishia ng'ombe. Mbali na mahindi, naomba kujuzwa, ni majani gani naweza kulima kwa ajili ya kuyafanya malisho ya ng'ombe kipindi cha ukame?
Mnakula sana bamia na mboga za majani maana ndio chakula kikuu. Sio kama mikoani kuna vitoeo kibao.
Lakini mboga za majani mnazokula zinalimwa mabondeni na humwagiliwa maji machafu ya kinyesi.
Mimi nikiwa zangu Igunga ni kula kuku,nyama ya ng'ombe na mbuzi. Mboga za majani zinakuwepo kama...
Kunatisha lakini, ila binadamu walioko huko wanahitaji majani chai yetu, kikubwa sisi tutie ndani mkwanja......
====================================
The Taliban takeover of Afghanistan is yet to hit the export of tea to that country as most of the commodity is still accessing Kabul through the...
Nimesoma katika health journal moja linasema mihogo na kisamvu ni vyakula hatari kuhifadhiwa ndani ya nyumba hasa jikoni. Vyakula hivi vina sumu aina ya cyanide ambayo humuua binadamu haraka sana. Moja ya dalili za sumu hii kwa mwanadamu ni kizungu zungu, kuuumwa kichwa, kuharisha na...
Nimestaajabu sana kusikia taarifa hii kutoka katika mkoa ambao kila siku humu JF wanajinasibu kuwa ni mkoa wenye neema na tajiri.
Katika kipindi cha magazeti EFM nimesikia habari hii ya kufedhehesha kuwa wazee mkoani humo wamepigika hawana hata mia mbovu hivyo akijitokeza kijana mwenye sukari...
UTI
asilimia kubwa ya wadudu (e.coli)
wanaosababisha UTI huishi kwenye kinyesi. Kwenye njia hiyo wadudu hawa hawasababishi shida yoyote lakini wakiahama kwenda kwenye njia ya mkojo ndiyo huleta shida ya UTI. Na ndiyo maana wanawake wanapata UTI kwa urahisi kwasababu ni rahisi kuwahamish wakati...
Majani anasema mtoto wake alimkataa, ila hasemi ilikuwaje wakafika hali hiyo.
Majani anasema kwenye radio kuwa mtoto wake kazaliwa na mama asiyestahili.
Majani anaitangazia dunia kwamba binti yake amelaanika.
Kwa mtu mwenye hekma na utulivu wa akili utagundua Baba pia ana tatizo kubwa kuliko...
Habarini za jioni ya pasaka ndugu wana jamvi.
Si mwandishi sana humu jamvini japo ni msomaji wa muda kidogo. Leo nimependa ku share jambo lilionipa msaada baada ya kuona watu wengi wamekuwa wakisumbuliwa na shida ya vidonda vya tumbo.
Binafsi niliumwa na vidonda vya tumbo kwa miaka mitatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.