maisha

  1. GE2020 Maisha yanatakiwa yaendelee baada ya uchaguzi, lakini tuambiane tu ukweli!

    Hivi Ndugai au yeyote yule atakaye kuwa spika wa bunge atajisikiaje pale atakapoangalia kila upande bungeni hamuoni Mbowe, Sugu, Zitto, Lema, Heche na wapinzani wengine machachari? Hakika watawamiss sana na ndipo mtagundua kosa mlilofanya sasa kama tu bunge lilimkosa Lissu likapoa, je likikosa...
  2. Napendekeza Magufuli awe Rais wa maisha, tufute vyama vingi

    Hii ndio Demokrasia ya Tanzania🇹🇿. Ushindi wa CCM ni aailimia 99.9 upinzani umeshatoswa baharini. Bunge liapishwe, katiba ibadilishwe, Magufuli awe rais wa maisha Kama yule wa China. Tuvunje uhusiano na mabeberu wa magharibi, sisi Ni nchi tajiri wala hatuhitaji kusaidiwa. Tupige marufuku...
  3. GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

    Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo. PIA SOMA = > Leo Mitandao ya kijamii Tanzania Bara imekuwa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter na Telegram zimeguswa
  4. GE2020 Maisha Baada ya Uchaguzi: CCM won the Battle and lost the War

    Hakuna aliyetegemea uchaguzi uwe wa huru na haki. Lakini hakuna aliyetegemea wizi uwe wa wazi na wa kijinga hivi. Chama Cha Mapinduzi, kama chama kikongwe barani Afrika, kimethihirisha hakipo tayari kuachia madaraka kwa njia ya sanduku la kura. Si Bara wala si Visiwani. CCM si chama cha siasa...
  5. Wanachama wa CCM mnaposhangilia ushindi mkumbuke kuwa kuna kipindi kigumu cha maisha kinakuja mbele yetu

    Habari, Kuna watu wanajua ila wanajisahaulisha kuwa nchi za Magharibi ndizo zinazotusogeza mbele au kutusapoti kwenye sekta ya Afya na Elimu kwa kiasi kikubwa. Hii iko wazi miaka na miaka. Watu wa Magharibi hakuna kitu wanajali kama Demokrasia ambayo imeminywa kwa miaka 5 yote ya Magufuli...
  6. Z

    GE2020 Maisha baada ya uchaguzi yameanza

    Wana JF, Tunashukuru Mungu uchaguzi wetu umekuwa huru na haki. Sasa maisha baada ya uchaguzi yameanza rasmi. Neno linalotamkwatamkwa sana katika kipindi hiki cha maisha baada ya uchaguzi ni "mawakala". Napenda kuwakumbusha wanasiasa na vyama vya siasa kutambua yafuatayo kwa ajili ya chaguzi...
  7. Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

    Wasalaam, Siku zote mkiambiwa iPhone ni kama gereza mnashupazaga shingo ooh...hamna simu kama Apple iPhone, security kubwa sijui blaah blaah! Vipi mbona mmetandikwa kombora na wenye mtandao mmetulia tulii😂😂😂 toka jana hama insta😂, gmail, wala ukwaju! Ifike mahali Android ipewe heshima yake...
  8. GE2020 Dkt. Magufuli: Hamasishaneni mkapige kura kesho. Ukimaliza rudi nyumbani ili kuitunza tunu ya amani na mshikamano tulionao

    RAIS Dk. John Magufuli amewataka Watanzania kutumia utashi wao kuchagua viongozi wanaowafaa, watakapokwenda kwenye vituo vya kupigia kura kesho. Akizungumza jana wakati wa uzinduzi wa msikiti uliojengwa katika Wilaya ya Chamwino jijini Dodoma, aliwataka Watanzania kuhamasishana kwenda kupiga...
  9. M

    GE2020 Ushauri kwa wanasiasa: Mbio zenu za Madaraka zisiathiri maisha yetu; kuigingilia mitandao na intaneti ni kuzuia haki zetu

    Nimesikitishwa na upuuzi uliofanywa na wanasiasa wanaotumia nguvu nyingi kutaka kutawala na hatimaye wanaingilia uhuru na haki yetu. Kitendo cha kulimit mtandao ili usifanye kazi kwa baadhi ya social media ni kuingilia maisha yetu binafsi na ni ujinga kwa kiongozi anayelipwa mshahara wa kodi za...
  10. F

    Mjadala mzuri wa uchaguzi 2020 unaendelea sasa hivi DW/ BBC inaonekana miundombinu haina mashiko kwa Wananchi wengi, kilio ugumu wa maisha chatawala

    Ndio yanayojadiliwa sasa na vyombo vya habari vya nje vikiwahoji watu mbalimbali nchini, ni mjadala wenye usawa na haki sio kama ule wa TBC fuatilia kwenye redio kupitia DW sasa. Inaonekana watu wamechoka na sera zilezile za miundombinu.
  11. A

    Ushauri jinsi ya kuishi maisha ya ghetto chuo

    Wakuu poleni na hongera kwa shughuli za kutafuta riziki. Naomba wale wote wenye experience ya maisha ya ghetto pindi wapo chuo, mnaweza nipa muongozo mdogo wenu ni kwa namna gani nitaweza hustle kiume. Ikiwa ni pamoja na ushauri namna ya kupambana na shughuli nyingine nje ya masomo, maana...
  12. GE2020 Maisha baada ya uchaguzi!

    NASAHA MUHIMU SANA... Maisha mazuri au mabaya hayaletwi na kiongozi, bali ni kwa yale yanayochuma mikono yetu, tubadilike na tuwe wema kwanza sisi! Tusijidanganye kwa kura, tufanye subra na tumche Allah tumtii kiongozi tuliyepewa na tuwe waadilifu. Kura haziwezi kumuondoa au kumweka kiongozi...
  13. Kijana hujafikisha mika 40 furahia maisha kwanza, mengine baadae

    Ewe kijana mtafutaji kama huna 40 yrs sio time ya kujipa mastress just work hard and enjoy it to the fullest, maisha ni sasa na sio baadaye ambayo huijui. Ukizaa zaa kwa mpangilio watoto ambao hawatakupa mastress, sana sana mtoto mmoja wamezidi sanaa wawili. Tafuta pesa inavyotakiwa...
  14. GE2020 Prof. Lipumba akiwa Tandahimba: korosho ndio maisha ha yao, wanasomesha watoto kupitia korosho, nichagueni Oktoba 28 niboreshe bei ya korosho

    TANDAHIMBA Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais, atahakikisha anaboresha bei ya korosho na wananchi wa Tandahimba na Mtwara wananufaika na kilimo cha korosho Pia, Prof. Lipumba amesema kwamba...
  15. Maisha ya wapiga kura vs maisha ya wapigiwa kura

  16. Enyi Wanaume ishini na wake zenu kwa akili la sivyo Mwanamke atakukoroga maisha yako yote

    BIBLIA ILIPOSEMA "Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema. Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "Women are so Complicated" Wanawake huwa wanaongea vitu 'Kirahisi-rahisi tu' lakini huwa vinamaanisha 'Vitu Vigumu Ajabu'...
  17. D

    GE2020 Rais Magufuli, kama kweli ni mcha Mungu basi muombe radhi Halima Mdee na watu wa Kawe kwa uliyosema hadharani maana uligusa maisha ya watu

    Tunaweza kuneneana uongo lakini siyo wa kiwango hiki. Kama kweli waziri wako alikujibu hivyo kama unavyosema hapa basi huwa hufuatilii mambo kwa undani. Na kama ulijua hili ila ukaamua tu kuwaacha wanakawe wateseke kwa sababu tu unamchukia muwakilishi wao basi machozi ya watu kama walilia...
  18. Kwa wenyeji wa Sumbawanga mjini na wilaya zake

    Habarini wakuu polen na pilika za kampeni hizi zinafurahisha na kuhuzunisha pia . Naomba kwenda moja kwa moja kwenye mada naomba kujuwa kwa uhitaji wa huduma za IT kwa mkoa huu ikiwemo kufanya programing na networkng soko lake likoje na vipi kuhusu mazingira ya huko na vyumba vya kupanga kwa...
  19. Maisha uwanja mpana, ifikie hatua kila mtu aishi kwenye njia yake ambayo yeye anaona sahihi

    Poleni na majukumu wananzengo Mambo ambayo binafsi nakereka sana sema kwa sababu ya system nashindwa kuamua na sina pa kupereka Wazazi kuforce vijana wao tuoe, kila mtu ana akili yake bhana, muache mtu aishi anavoona yeye sahihi Kuona watu wakipinga starehe za watu mfn pombe, ganja na...
  20. Kumbe Ni Ndoto Bhana

    Najaribu tu kuwaza, assume zile ups and down, happy moment ulizopitia na kila aina ya changamoto ulizo experience katika maisha yako yoote yageuke kuwa ndoto za usiku. Kwamba hayana uhalisia wowote. Then unakuja kushtuliwa na Bi mkubwa ako uwahi shule ndo kwanza upo STD III
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…