mahusiano

  1. Idugunde

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumieni mitishamba ili kuleta heshima kwenye mahusiano yenu

    Hili suala juu ya kuwepo kwa upungufu wa kiume kwenye jamii zetu lina ukweli ndani yake. Maana maisha ya siku hizi yalebadilika sana. Vyakula sio rafiki kwa afya, watu wana stress hivyo wanakunywa sana pombe, mabinti nao hawashikiki. Hivyo maneno ya mbunge Neema wa CCM viti maalumu kuwa vijana...
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi mahusiano ya kimapenzi kati ya baba mzazi na binti yameshamiri sana?

    Siku hizi limekuwa jambo la kawaida sana kwa baba kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti yake wa kumzaa mwenyewe Tatizo ni nini wakuu? Ni tamaa za kingono au kuna sababu za kishirikina nyuma yake?
  3. Zurie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni bora uwe kwenye mahusiano na mtu unayempenda lakini humwamini au unayemwamini lakini humpendi?

    Mahusiano hujengwa na vitu vingi kama mapenzi, imani, huruma n.k towards mwenzi wako. Mahusiano 'ideal' ni yale ambayo unampenda, unamthamini, unamhurumia, unamuamini, unamtamani mpenzi wako. Lakini mara nyingine unaweza kulazimika kukubaliana na hali na kuchagua vita yako ya kupigana. Je...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Harmonize ni mbumbumbu wa sheria, mchanga wa mahusiano na mshamba bado wa umaarufu

    Kitu kimoja kuhusu pesa nyingi: Hufunua undani wa mtu katika uhalisia wake....!!! Hata wewe ukizipata leo tutakujua tuu.. Waswahel wanasema pata pesa tujue tabia yako.... Shule ni muhimu sana sana kile kitendo cha kukaa darasani miaka kibao hutufunza mengi hata tusipofaulu mitihani..japo baadhi...
  5. Usipanic buana nakutania

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzazi anayejivunia mtoto wake kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi

    Habari za leo wakuu Kilichonifanya kuandika uzi huu ni hili suala la Wazazi. Nadhani wengi wenu mnakumbuka enzi za shule hasa secondary na high school ilivyokuwa, ule wakati wa story za vijana utasikia tunatetea suala la kuwa na kesi mtaani, mfano; skendo za mahusiano na wasichana kadhaa...
  6. Mboka man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni maamuzi gani magumu uliyowahi kuyafanya katika mahusiano yako?

    Unapokuwa katika mahusiano yoyote huwa kuna nyakati zinafika au unapitia unaona hapa bora nichukue uamuzi mgumu lolote liwe. Mimi niliwahi kumwambia mpenzi wangu niliwahi kumpenda tuachane baada ya toxic relationship kubadili mwelekeo wa maisha yangu ilibidi ni kuvunja mahusiano kwa mtu...
  7. The Conscious

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe tunaanzisha mahusiano na wanawake tunaowapenda ili tukiwapa mimba tusiwakimbie

    Habari wanandugu wa JF, Sorry kama nitashindwa kuhusianisha heading na content Lengo langu kwenye huu uzi ni kuwa kumekuwa na wanawake wengi ambao wametelekezewa watoto au mimba hii hutokana na sisi wanaume kuhitaji sex tu. Ila matokeo ya hiyo sex tunayajua ila huwa hatuyataki unakuta mwanaume...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Mahusiano ya kingono yasiyo halali katika jamii zetu

    Habari za wakati huu wana JF. Ni matumaini yangu kuna Uzima lakini pia kwa wale walio na matatizo ya kiafya naomba Mungu awatie Nguvu. Leo nina topic ndefu kidogo lakini Nitajitahid kuigusia kwa ufupi na kwa leo nitaongelea point moja tu inayotuhusu wote hasahasa kwa sisi vijana. Kumekuwa na...
  9. Meshacky Allyson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vitu gani unazingatia, wewe binafsi kabla ya kuingia kwenye mahusiano?

    Habari wana JF, Natumaini mu wazima wa afya ni Dua na maombi yangu kwa mola ,azidi kuwalinda na kuwapa maarifa na hekima ili tuzidi kufundishana na kupeana mawazo, Narudi kwenye mada. Binafsi nipo single na huwa nikikutana na marafiki au washkaji zangu, wengi huwa nikiwauliza why umeingia...
  10. Mboka man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwanini wadada wengi at 30's age wanaforce sana ndoa au ukajitambulishe kwao?

    Tofauti na ladies wengi walio below 29 lakini ladies wengi ktk mahusiano akishafikisha age of 30 anataka akupeleke kwao akakutambulishe au ndoa tena mwingine ana force hatari bila hivyo hamuezi hata kuelewana. Mimi ni mmoja kati ya watu ambao bi.mdada ananiforce niende kwao akanitambulishe.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tuepuke ajali za barabarani sambamba na ajali za mahusiano

    Ukimpa mtu ufunguo wa gari, mtu asiyejua kuendesha gari na kisha umwambie aendeshe gari unadhani nini kitatokea? Ni dhahiri kwamba itatokea ajali, tena ajali mbaya, itakayomdhuru yeye mwenyewe na walio karibu na yeye na chombo chenyewe. Mtu ambaye hajui kuendesha gari na anataka kuendesha gari...
  12. Idugunde

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti rasmi: Ndoa nyingi na mahusiano mengi yamevunjika baada ya Wanawake kuamini sana ndumba

    Wananwake wengi wa kibongo wanaamini sana ndumba ili kuimalisha mapenzi yao. Na wanapopata ndumba kali huwafanya mabwana zao kuwa mabwege na hapo huanza kuchepuka nje, kuwa dharau na kujiona wao ni kila kitu. Matokeo yake baada ya ndumba kuishiwa nguvu huwa wanamwagwa kama vile lori linamwaga...
  13. sylla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi huwezi sahau kwenye mahusiano yako?

    Ni story ipi au jambo gani huwezi lisahau lililo kukuta kwenye mahusiano yako mi nakumbuka siku ya kunza kuaprochi nilitetemeka sana hadi binti niliyekuwa namtongoza mbona unatetemeka vp unaumwa bahat nzuri nilikua sijamtamkia kuwa napenda hapo ndipo nikapata upenyo nilimjibu ndio naumwa ndo...
  14. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaoingia kwenye mahusiano

    Kabla haujaingia kwenye mahusiano jaribu kuupima moyo wako kwa "KUBET KWA PESA YA KODI" (mpe arsenal ushindi, mpe yanga afunge goli 3, mpe man u ushindi at home ground, bayern munich aongoze halafu achomolewe na afungwe kipindi cha pili, muue simba goli 4 hapo kwa mkapa) Ukiweza hapa, ingia...
  15. Background Check

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaoa nakushauri nunua kamera

    Nashauri tu broo kabla ya kuchumbia nunua kamera. Utakuja kunishukuru. Siku hizi, unapiga picha siku ya engagement, then kuna za kabla ya sendoff na kabla ya harusi, kuna za akishika mimba na mimba ikifika miezi tisa, kuna za baada ya kujifungua na usisahau kuna za birthdays na wedding...
  16. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Jina steven lina mahusiano gani na movie za kizungu?

    nimejaribu kuchunguza nimebaini kati ya movie kumi za kizungu tisa zinamshiriki anaitwa steven hii imekaaje wakuu
  17. Tumainiely Moshi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike kuanza nae mahusiano

    Naitwa Junior Mkazi wa DSM nina miaka 27 natafuta mchumba wa kike wa kuanzisha nae mahusiano ya kudumu SIFA: 1.Awe na umri kuanzia miaka 19-25 2.Awe mweupe au maji ya kunde 3.Asiwe mnene sana wala mwembamba sana 4.Dini yeyote 5.Kabila lolote 6.Awe na nidham pamoja na maadili mema 7.akiwa...
  18. Zero Competition

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa kwenye mahusiano na single mother yataka moyo

    Nakumbuka mwaka jana katikati nilipata kufahamiana na single mother mmoja toka kwenye mtandao maarufu wa kijamii. Mwanzoni sikujua kama ni single mother mpaka tulivyoanza kuzoeana ndipo alinambia kwamba ana mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka mitatu alizaa na jamaa mmoja ambae kwasasa...
  19. GeoMex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aeleza walivyokubaliana na mume wake kutafuta watoto nje ya ndoa

    Dar es Salaam. Mkazi wa Tabata Liwiti, Magreth Silaeli (37) ameieleza Mahakama ya Mwanzo Buguruni kuwa walikubaliana na mume wake, Raymond Kulaya (44), waachane kwa muda ili kila mtu akatafute watoto “anapopajua” baada ya kuishi miaka mitano bila kupata mtoto. Magreth sasa anaiomba mahakama...
  20. Mboka man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana mnaotaka kuoa single Mother hebu pitieni hapa

    Kama wewe ni kijana upo ktk mahusiano na single Mother kabla hujamuoa jiulize maswali haya........ . 1.unafahamu chanzo cha yeye kutengana na mzazi mwenzake 2.ushawahi kupata nafasi ya kuzungumza na mzazi mwenzie akupe story zake kiundani mpka walifikia hatua ya kutengana 3.jina la mtoto wake...
Back
Top Bottom