Mahandsome tukutane tujadili ili wadada wasitukatalie!

Churchboy

Member
Aug 2, 2020
58
29
Naanza kwa kumshkuru Aliye Juu, Muumba Wetu mwingi wahuruma na mwenye upendo nas sisi.

Kilio chetu jaman hawa dada zetu muda mwingine unakuna labda nipo single kabisa sina mtu wala hata mmoja lakin ukija kwa dada zetu wanatuona niwaongo kuwa et sababu Yao ya msingi kabisa wanayokwambia et wew hauwezi ukakosa mtu halafu utanipendaje mim na wakat mim sina hadhi ya kuwa na wewe, halafu ntakuwa na presha tukiwa kwenye mahusiano kwasabu watu wengi wanakutaka.

Sasa wadada sio wote sisi mahendsome tuna wanawake wengi wengine tumetulia hatunaga hizo mambo na tunapowaambia kuwa tupo single mtuamini, na kujenga mahusiano mazur sio mara utanipa presha mara utakuwa na mtu tu unanidanganya hakuna kitu kama hicho, sisi ni watu kama wengine tunateseka sometimes na iz sura zetu tunaonekana tunawanake wengi kumbe maskin ya mungu tupo single tuuu af unapewa sifa ambazo sometimes huna. Wadada mtuamini tukiwa tunahitaji tuwe nanyinyi.
Maoni ruksa!!!
IMG_4794.jpg
 
Hilo chongo sasa

Mwanaume akishaanza kuwa na vijineno vya ooh mi handsome bila kuambiwa mi huwaga simtofautishi na wadada wa buza kichwa ni mwao.
 
Mwanaume unajiitaje handsome? Duu acha kujishusha hadhi ya uanaume wako
 
Aah mkaka hajisifii uhandsome anasifiwa kazi za kumake dough,afu mgumuu na mkishaanza kubinua binua midomo hivo ni dalili hamna pesa wala shughuli ya kuwaingizia kipato, mna kanyota kale ka umarioo ebu bisha kama si kweli?
 
Naombeni ramani ya nyumba yenye vitu hivi:
Vyumba viwili vya kulala, kimoja kiwe selfu.
Sitting room moja
Dinning room moja
Jiko la ndani
Library (maktaba ya ndani)
Iwe na baraza mbili moja kutokea jikoni na nyingine mbele au pembeni mwa sebule.
NB: VIPIMO SIO LAZIMA.
 
Jamiiforums kwa madrama, ukute aliyeandika hii topic ni njema imeokoteza picha huko......lol
 
Naanza kwa kumshkuru Aliye Juu, Muumba Wetu mwingi wahuruma na mwenye upendo nas sisi.

Kilio chetu jaman hawa dada zetu muda mwingine unakuna labda nipo single kabisa sina mtu wala hata mmoja lakin ukija kwa dada zetu wanatuona niwaongo kuwa et sababu Yao ya msingi kabisa wanayokwambia et wew hauwezi ukakosa mtu halafu utanipendaje mim na wakat mim sina hadhi ya kuwa na wewe, halafu ntakuwa na presha tukiwa kwenye mahusiano kwasabu watu wengi wanakutaka.

Sasa wadada sio wote sisi mahendsome tuna wanawake wengi wengine tumetulia hatunaga hizo mambo na tunapowaambia kuwa tupo single mtuamini, na kujenga mahusiano mazur sio mara utanipa presha mara utakuwa na mtu tu unanidanganya hakuna kitu kama hicho, sisi ni watu kama wengine tunateseka sometimes na iz sura zetu tunaonekana tunawanake wengi kumbe maskin ya mungu tupo single tuuu af unapewa sifa ambazo sometimes huna. Wadada mtuamini tukiwa tunahitaji tuwe nanyinyi.
Maoni ruksa!!!
View attachment 1787552
We ndio hendisamu?! Mbona mchumba tu
 
Back
Top Bottom