mahusiano

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ni mvivu sana

    Habarini Nipo kwenye mahausiano na mdada ila ni mvivu sana analala sana na akija kwangu hata kama akikuta mazingira sio rafiki wala hajishugulishi kusafisha kupika mpaka umwambie tangu tumejuana kapika kama mara 3 hivi ndani ya miezi mi 5, kufua ndio hajawahi. Na nilikua nimepanga mwakani...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mahusiano na ndoa nyingi zinavunjika sababu wanawake wamesahau kuwa mwanaume ameumbwa kuheshimiwa

    Heshima ya kila namna anahitaji mwanaume. Kuanzia kupikiwa na kuandaliwa chakula mpaka kupewa unyumba. Mwanaume anataka heshima. Sio dharau na kiburi kwa namna yoyote. Ndio maana mahusiano na ndoa nyingi zinavunjika.
  3. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa wanawake wanaingia katika mahusiano na ndoa kutafuta unafuu wa maisha

    Huu ndo ukweli wanawake walio wengi wanaingia katika mahusiano au ndoa kutafuta angalau unafuu wa maisha. Katika mahusiano na ndoa wanawake wengi hutumia kama opportunity chance ya kupunguza shida zao ndogo ndogo kupitia mwanaume kwa sababu wanachoamini mwanaume kazi yake ni kumuhudumia...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi sahihi wa kuanza nae mahusiano imara na bora

  5. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa na mahusiano na ndugu wa tumbo moja?

    Miaka kadhaa huko nyuma nikiwa chuo mkoa flan jiran yetu kulikuwa na Chuo cha Tpsc(wanaita Uhazil enzi hizo) Walikuwa kila term wanaletwa wapya(wakawa wanaita kontena imemwaga) Basi wakija wapya unachangamkia fursa. Nikiwa mwaka wa mwisho chuo Contena ikamwaga nikajichagulia mtoto mmoja mzur...
  6. JamiiForums Tanzania Mahusiano mafupi kuliko yote ushawahi kuwa nayo

    Wakuu habari zenu, Huku tukiutafuta tafuta usingizi hebu tuambiane mahusiano ambayo umewahi kuwa nayo na yakawa mafupi kuliko yote..... Ukitoa sababu ya kwanini mlidumu muda mfupi hivyo itakuwa vizuri. Binafsi mahusiano yangu mafupi kuliko yote yalichukua week moja. Nlijiona tu siko sehemu...
  7. JamiiForums Tanzania Jichunguze; inawezekana mahusiano uliyonayo yanatokana na nguvu ya mzizi

    Mwezi uliopita, nilienda kumtembelea mpenzi wangu wa zamani Kahama; baada ya kufika, nikatafuta sehemu nzuri ya kupumzika. Nikamjulisha sehemu nilipofikia; na baada ya muda akawa amefika. Tukaweza kupasha kiporo, na mambo mengine yakaendelea. Sasa katika kubadilishana mawazo, akanisihi sana...
  8. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alipo-deal na Kenya alionekana anaharibu mahusiano, mmeona sasa?

    Mzaha mzaha, mbuzi Kampanda mamaye. Ile kauli "mtanikumbuka ilikuwa ni kauli ya kinabii na sio ya kisiasa. Nathaniel sasa kila mtanzania ameanza kuelewa kwanini JPM Ali deal na wakenya effectively. Hawa Wakenya sio majirani, ni maadui zetu, hawafai kuchukuliwa kama majirani. Suala la...
  9. JamiiForums Tanzania Kukutana na mama mkwe mtarajiwa ni dalili ya hatua nyingine kwenye mahusiano yenu

    Madada ndiyo walengwa wa uzi huu lakini makaka msiache kusoma na pia kutoa mawazo yenu. Mama wakwe ni wanawake na wao pia walikua vijana wakati fulani hivyo kukutana na mama kusikufanye uwe roho juu juu. Mpaka mwenza anaamua kukufahamisha kwa mama yake, inamaana kuna vitu ameviona kwako na...
  10. JamiiForums Tanzania Unapokuwa na mtoto kuwa mwangalifu unapoanza mahusiano mapya

    Alice alikua jirani yangu huku Kwamtogole, nilipomfahamu Alice alikua mwajiriwa katika Taasisi ya Serikali. Alifika Dar akitokea mkoani baada ya mjomba wake kumsaidia kupata ajira hii kabla hajastaafu. Elimu ya Alice ni kidato cha sita. Alice alikutana na Bill aliyemuahidi ndoa, baada ya...
  11. JamiiForums Tanzania Mkitaka kufurahia, kuepuka kuuana na kupendana kwa dhati msiwape hela

    Nlianza na huu utaratibu baada ya kugundua kumbe tunapofanya mapenzi na mademu nao wanasikia utamu sana tu. Miaka ya nyuma nlidhani ni sisi tu wanaume...nlipoanza kugegedana na nikapata uzoefu nligundua wote tunapata utamu. Nliona wakati mwingine baby anadai kabisa kuwa ana wazungu...
  12. JamiiForums Tanzania Fanya haya ukitaka kuwa na mahusiano yenye furaha katika jamii

    USIMPIGIE MTU SIMU ZAIDI YA MARA 2 MFULULIZO - labda kama ni jambo lenye haraka sana, subiri mpaka wakupigie. UKIKOPA, LIPA! -Rudisha kabla hata hujaoulizwa au kukumbushwa UKITOLEWA DINNER AU LUNCH -Usiagize vyakula vya gharama sana na mara nyingine ununue wewe KUWA NA UTU -Kwa wahudumu...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake; eleweni kuwa hakuna mahusiano bila Maslahi

    WANAWAKE ELEWENI; HAKUNA URAFIKI BAINA YA MWANAUME NA MWANAMKE. Anaandika, Robert Heriel. Kwanza kabisa, hakunaga Urafiki baina ya mwanamke na Mwanaume hilo kila mtu mwenye akili na hekima analijua, hakunaga kitu Kama hicho. Kidini, Uislam Kwa kuzingatia torati unatanabaisha kuwa hakuna...
  14. JamiiForums Tanzania Huwa mnafikiri nini wanawake kisha kuingia kwenye mahusiano?

    Mapenzi hayanitesi sana siku hizi, lakini kiukweli warembo wanazidi kunikataa na sielewi ni kwanini. Huwa najiuliza wasichana huwa mnawaza nini kabla ya kumkubali Mwanaume, Tuweke mbali Pesa, kipi huwa mnajiuliza kabla ya kumkubali mwanaume. Baadhi ya Maswali yenu nimeweza kuchambua.. lakini...
  15. JamiiForums Tanzania Mahusiano sugu

    Nishawahi kuandika humu kuhusu mahusiano sugu humu mkanipuuza Saizi mnaishi humo mnashindwa ku move on Mmegeuka watumwa wa wapenzi ambao hamuoni future kwao Kila siku ni vilio vya hasara ya pesa na muda mtu anatreat atakavyo anajua huna options na kweli huna option Kwa kuongozwa na mioyo...
  16. JamiiForums Tanzania Mzazi wako anapokuwa kwenye mahusiano rasmi yaheshimu kama kweli unampenda

    Wengi tungependa kuishi na kulelewa na wazazi wetu waliotuzaa lakini maisha yana changamoto nyingi. Kuna wanaozaliwa na wazazi wanapoteza maisha, wengine ni matokeo ya kubakwa, wengine ni mimba za ujanani wakati wazazi wote hawana dira za maisha. Wengi wetu pale unapomuelewa mtu na kuanza...
  17. JamiiForums Tanzania Nimekata nusu mwaka sasa bila kuwa na mahusiano ya kimapenzi

    Baada ya kupiga hesabu ya kumiliki mwanamke nje ya ndoa nimeona kuna gharama kubwa sana zinazosababisha hela kupotea. Pesa ambazo ningezifanyia mambo ya msingi sana. Sasa Toka January nikaamua kukaa SINGLE KABISA. Miezi 6 sasa imekamilika. Sina Dem wala Girl yeyote wa kuniomba vocha, hela ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke anakua kwenye mahusiano na bado anatoa namba yake kwa mwanaume mwingine?

    Wakuu poleni na harakati za kila siku katika ujenzi wa taifa Binafsi nimeshindwa kuelewa hii tabia ya mwanamke kutoa namba ya simu kwa mwanaume mwingine wakati anafaham kabisa kifuatacho hapo ni kutongonzwa na wakati yupo kwenye mahusiano mengine. Mkasa ulionitokea. Juzi wakati nipo job sehem...
  19. JamiiForums Tanzania Ufahamu Wa Mahusiano Na 'Red Flags'

    Watu wengi tumekuwa tukipuuza ishara mbaya katika mahusiano yetu, lakini tambua kwamba mwenzi unaemshahili atakuwa vile unahitaji. Wanawake wengine siku hizi wamekuwa wakisema wanateswa na kuendeshwa na mwanaume, kwasababu hawajui wajibu wao kwa mwanaume huyo, pale unapomuomba mpenz wako kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mahusiano mabaya aliyopitia Kasinde kwenye maisha yake (uhalisia)

    Habari za jumapili, Nikiwa na akili zangu timamu, leo tarehe 29/05/2022 nimeona nisimulie moja ya mahusiano niliyopitia kwenye maisha yangu wakati wa uschana.... Sio mazuri kusimulia sababu yananiletea kumbukumbu mbaya na mapigo ya moyo hunienda mbio jasho hunitoka viganiani na miguuni na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…