mahusiano

  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mahusiano yasiyokuwa na tija, yanapukutisha uchumi

    Mahusiano mengi yamekuwa ndio chanzo, cha kuwafanya wanaume wengi kuendelea kuwa masikini. Wanaume wanakuwa wanaingia gharama kubwa, ili kuweza kumridhisha mwanamke, iwe kumjengea nyumba, kumnunulia usafiri mkali, au kuhonga chochote kile, ili mradi aweze kukubalika kwa mwanamke. Mara...
  2. To yeye

    JamiiForums Tanzania Methali na mahusiano yako

    Kuna mahusiano yapo kwenye methali isemayo "mvumilivu hula mbivu" but another time inageuka "ngojangoja huumiza matumbo" "Waliochagua Nazi wakaishia koroma" wamebaki kupata na "usiache mbachao kwa msala upitao". Mi kuna mchongo nausikilizia,tusikie kwenu Nyie mlio dimbani mahusiano yenu yapo...
  3. technically

    JamiiForums Tanzania Kwenye mahusiano usiwe serious sana utateseka

    Ukiwa serious sana kwenye mahusiano au ndoa utakeyeumia ni wewe. Nimejifunza kutokuwa serious kwenye ndoa au kwenye mahusiano yeyote yaani utapendwa tu automatically. Wanawake wanapenda Sana wanaume ambao they don't care about anything Ila wanaojitambua. Don't fall in love but kuwa na upendo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania CCM ina hazina kubwa sana ya vijana mahamu, Mtanzania Ndg. Benedict Faustine Kikove Mshauri wa Maswala ya Siasa na Mahusiano kwa Umma Ubalozi wa Japan

    Kidumu Chama Cha Mapinduzi Mimi; BENEDICT FAUSTINE KIKOVE Ninashukuru kwa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wake, mama yetu mpendwa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kunipendekeza kwenu kati ya wana CCM wengi wanaofaa kuwania nafasi hii kwa hatua hii ya...
  5. Zainab j

    JamiiForums Tanzania Mahusiano na wasichana ni 'comedy'

    Morning JF family, Aisee mahusiano ya hivi visichana ni vichekesho na pasua kichwa kwa sisi watu wazima, yaani Kuna kabinti fulani kanauza pharmacy maeneo ya mjini kati, sasa bwana nilimzimia alivyo black na flat screen fulani halafu mrefu. Mzee nikawa namtoa lunch anakula kitimoto, japo mimi...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume ana mtoto na hakuniambia

    Jamani naombeni ushauri nilikuwa na mahusiano na mwanaume kumbe alikuwa na mtoto hakuniambia nilivyogundua ndo akakubali kweli mtoto anae lakini mama ake mtoto hana mahusiano naye. Nimekuja kugundua ana mahusiano naye maana kuna siku alikuwa ananitafuta ananiambia niachane na mwanaume wake...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nilimtongoza akanikatalia sasa hivi anataka niwe natembea naye kila sehemu

    Wakuu humu ndan nna swali langu. Kuna manzi nilimtongoza mda flan kipindi tuko chuon akanichomolea akaniambia kuwa ana mtu tayar ss nikamute kwa muda ikatokea wakat huu tupo field wote tumeenda sehemu moja yaan anataka kila nikiwa natoka home kwenda kule ofisini anataka tuwe tunatembea wote...
  8. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Siri ya kudumu kwenye mahusiano

    Wakuu, nawatakieni amani na furaha mioyoni mwenu. Leo nina mada fupi tu kwa wote ambayo naomba tujadili. Katika mahusiano ya mapenzi, hasa kwenye ndoa, kuna tofauti kubwa sana kati ya nini atakacho mwanamume na nini atakacho mwanamke. 1. Kwako mwanamke- Elewa kwamba heshima (respect) pekee...
  9. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Nimempenda mfanyakazi mwenzangu lakini sheria za ofisi zinazuia mahusiano kazini. Nifanyaje na vyote navitaka?

    Natamani kumfungukia huyu binti lakini nakwama. Nimechanganyikiwa sana nifanye nini?! Je, nifuate moyo wangu na kudate na mfanyakazi mwenzangu au nimpoteze na kubaki bila furaha hapa kazini?
  10. Mkurya romantic

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Epuka kufanya haya kwenye uhusiano wako

    Katika harakati zako za kutafuta mpenzi, unaweza kukutana na mwanamke ambaye kwa sababu moja au nyingine anakuondolea uwezo wako wa kufikiri, kutumia mantiki na pia kutumia akili yako ya kuzaliwa. Si lazima awe amekufanyia kitu, lakini inaweza kuwa ni ulevi wako tu unaosababisha ufanye mambo...
  11. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna tatizo very serious kuhusu hiki tunachokiita mahusiano hasa ya ndoa, tumekosea wapi? Nini kifanyike?

    Wanajukwaa Mimi binafsi ni mfuatiliaji mzuri wa mambo mengi tu, mpaka nimeleta Uzi huu nimejiridhisha kuna tatizo sehemu au kuna kitu sisi binadamu au niseme Watanzania kuna sehemu tumekosea, sitaki kuhusisha dini labda Mungu tu ndio tumuhusishe. Katika utafiti wangu usiyo rasmi nimeshuhudia...
  12. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Yupi anayeharibu mahusiano ya kimapenzi kati ya mwanamme na mwanamke?

    Je, yupi anayeharibu mahusiano & ndoa kati ya Mwanaume na Mwanamke?
  13. Akili Unazo!

    JamiiForums Tanzania Tulivyoachana aliniambia mtoto siyo wa kwangu, ameachwa tena anataka nimrudie

    TULIVYOACHANA ALINIAMBIA MTOTO SIYO WA KWANGU, AMEACHWA TENA ANATAKA NIMRUDIE. Dunia hii hawa Wanawake wamekuwa Vichaaa siyo Bure.... kaka nimekwama najitaji ushauli naomba nisaidie. "Nilikuwa na mpenzi wangu nilikuwa naishi nae ingawa tulikuwa bado hatujaoana ila tulikuwa tunaishi pamoja kama...
  14. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mahusiano gani ya moto na hili balloon?

    Katika vitu ninavyovishangaa katika vyombo vya usafiri ni pamoja na hili puto (ballon)kupaa kwa kutumia moto. Hivi huu moto unapowashwa ni ule moshi wake unajaza hewa mle ndani au kuna kitu kingine zaidi kinatumika hapo tunapigwa chenga la macho na hawa waliokibuni kwa kuwasha moto. Je, hivi...
  15. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Mahusiano mengi yanavunjika kwa sababu wanawake wanahisi wao peke yao ndo wanahitaji furaha

    KIBIOLOJIA Mahusiano Mengi Yanavunjika Kwa Sababu Wanawake Wanahisi Wao Peke Yao Ndo Wanahitaji Furaha. Lakini wanawake wengi wana amni wao ndo wanasitahili furah kuliko mwanaume na akiikosa furaha mwanamke mwanaume unaonekana hufai kabisa na mwanaume anaonekana haumjali. Kiasili wanawake ni...
  16. vnn

    JamiiForums Tanzania Mahusiano kati ya namba ya NIDA na mfumo wa ajira yakoje? Dogo kazinguliwa ajira mpya, naomba ushauri wenu

    Dogo ni mwalimu idara ya msingi, Majina yake ya vyeti vyote ni MARIAM ELIAS (mfano) Majina ya Nida ni MARIAM ELIAS MMASA. Wakati wa kuomba ajira Tamisemi details zilikubali vizuri kabisa na mimi ndiye nilimuombea. Selection zimetoka kachaguliwa lakini halmashauri wanamiweka kwenye mfumo...
  17. Hosea Ben

    JamiiForums Tanzania SoC02 Madhara ya kupenda kupita kiasi katika mahusiano

    Mauaji mengi ambayo yanatokea katika jamii zetu yanatokana na wivu wa mapenzi; na wivu wa mapenzi unaweza kusababishwa na kutokuaminiana katika mahusiano au usaliti miongoni mwa wapenzi au wanandoa. Ni nini maana ya Kupenda katika mahusiano ya kimapenzi au ndoa? kumpenda mtu maana yake ni...
  18. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Ubabe na msimamo unayo faida kubwa kwenye ndoa na mahusiano

    Sabato njema! Kutokana na vilio vingi humu prakatatumba ikabidi niingie chimbo nifanye research ya haya mahusiano, maana watu wanachezea vitasa tu na vilio kila pande, wengine wanadiriki kujiua au kuwaza kunywa sumu kisa mapenzi. Mimi nimeshadumu kwenye mahusiano kwa masaa mawili tu miaka...
  19. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Mahusiano na huyu mwanamke siyaelewi kabisa, sielewi ananichukuliaje

    Habar wakuu, Huyu mwanamke amejiajiri Ni fundi cherehani, ana miaka 27 hajaolewa na anaishi mwenyewe na mtoto wake mmoja wa kike. Tulikutana vipi? Kwenye fremu wanakoshonea nguo na wanawake wenzie, jumla Kama watano hivi. MKE Wangu alishonesha sare za chama kipindi kile Cha mwanzoni mwa...
  20. system hacker

    JamiiForums Tanzania From the legends to the youngs. Hizi ndio kanuni za mahusiano

    Huu ushauri wa ma legends kwenda kwa madogo kwenye game ya mapenzi na wanawake. Legend yeyote anaruhusiwa kutoa ushauri kwa hawa madogo wanauouana na kufa kila day sababu ya mapenzi. We legends we admit. Mapenzi yanauma sio siri. But legends have solutions for every thing. Uzoefu ni mwalimu...
Back
Top Bottom