Ngoja tujipongeze mwaka unaisha hivihivi kama utani ujawahi fumania naniliu hata mara moja wala kuwa kwenye mahusiano
Natumai mwakani kutanoga zaidi kwetu Neema itatuangazia 😔😊
Kwa mwenye uzoefu na hawa wanajeshi wa kibongo tafadhali afunguke.
Description:
~ Huyo mjeda ni mtu mzima above forty.
~ Ana mke na watoto.
Huyo nyumba ndogo yangu ni mke wangu wa pili halali wa ndoa, anaishi mtaa tofauti na mke mkubwa. Nilimfungulia biashara so huyo mjeda kakutana naye kwenye...
Binafsi haya mahusiano nayachukulia zaidi kama hitaji la kupooza tamaa za mwili tu, usiku mpeane company, mpigane mitutu, asubuhi muagane kila mtu aendelee na life lake
Nashangaa kuna watu wanayaendelesaga hata mahusiano
Mimi:👉👉 ''Jana alikula vizuri Kabisa na Akacheka na sisi pale,
Ila Ya Mungu mengi jamani"
Also👇👇
Mimi:👉👉 ''Tunajaribu Kila Liwezekanalo''
Status yako na mpenzi wako ipoje kwa sasa...
Hayo yamesemwa leo Bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye (MB) wakati akichangia Mjadala wa Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa utakaotekelezwa Mwaka 2023/2024.
“Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu yanayoonyesha...
Mahusiano yana mengi kwenye nafsi za wanaume wengi. Najitahidi nitulie nafsi inakataa, inamtaka huyu mrembo.
Ndugu zanguni, najua si Mimi tu ninaesumbuliwa na mahusiano ya mwanamke mmoja wa miaka 28. Huyu mrembo hajaolewa bado. Anapenda pesa Sana, kila siku lazima nimpatie 30k uwezo wangu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya Ziara ya Kitaifa nchini China kuanzia tarehe 2-4 Novemba 2022. Hii ni kufuatia Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping. Taarifa hiyo imetolewa leo na Wizara ya Mambo ya Nje China.
Tanzania na China...
Imekuwa kawaida kwa couple mpya kusimuliana mahusiano yao ya zamani ikawa kama ni njia ya kujitetea na kujiweka sehemu salama zaidi kwa kuwaonesha waliokuwa nao ndio wabaya . je hili litasaidia chochote kwa couple hiyo mpya?
Msichana wa kizungu : the man loves me a lot he buys me flowers and give me his Time. He cares
"Jamaa ananipenda sana, ananinunulia maua na kunipa muda wake. Anajali.
Mzaramo/Mswahili:
"Jamaa nimemweka hapa 🖐️hakohoi hapigi chafya nikimwambia tu ninashida na pesa anatuma. Hapa nataka...
Ukiwa na hela, hapa naongelea utajiri na hukuwa na mwanamke kabla ni bora ukazalisha mwanamke kama alivyofanya Diamond na ukaendelea kuishi peke yako sababu utapendewa pesa na wanawake.
Mwanamke akipata uhakika wa pesa kutoka kwako, atatafuta mwanaume moyo wake unayempenda, hapo ndiyo usaliti...
Hii inawahusu hasa wanaume/mabaharia wanaopenda kuchukua totoz maeneo mbali mbali.
Kuna siku tulikuwa kwenye kikao cha kiume na mabaharia wenzangu, tukawa tunabadilishana mawazo na katika mazungumzo ikaonekana vijana wengi wanateketea kuingia kwenye mahusiano ya jinsia moja, mbaya zaidi mtu...
Kuna baadhi ya wanaume wanatabia ya kutishia kifo kwa wapenzi au hata wake zao.
Unakuta mwanaume anamwambia mpenzi wake ukichepuka ntakuua.. Halafu bahati mbaya asilimia kubwa wanaosema hivyo ni wachepukaji wazuri na unakuta ameshafumaniwa zaidi ya mara moja.
Huyo huyo mwanaume hafanyi...
Guys I hope you're doing just fine, and so do I.
Basi bana kama ilivyo ada leo nina jambo la ku share na ninyi especially wanaume wenzangu. Wanawake bwana wakiwa hana hasira ni raha mpaka nashindwa kuelekeza.
Niende sasa kwenye kisa kilichonikuta kitambo kidogo wakati niko chuo. Kulikuwa na...
Kiukweli haya ni mambo ambayo hatuwezi yaweka hadharani maana ni kufru lakini kwa hapa jamiiforums hakuna anaemjua mwenzake kuna privacy hivyo uhuru wa kutiririka siro zetu upo.
Niliwahi kuwa na feelings na mtoto wa mamamdogo wangu ambae niliishi nae miezi miwili akiwa likizo ya form 6...
Kuna kasumba naona imezidi kushamili kuwa mtu aliweka status kwenye simu ni mtu ambaye sio smart maana mwanaume au mwanamke mwenye heshima zake humkuti na mambo ayo ya status kwenye simu au kuwa online mara kwa mara au pia kuwepo kwenye magroup. Je, hili lina uhalisia wowote?
Habarini wanajamvi, natumai ni wazima wa afya.
Kama mada inavyosema. Kwa upande wako unamuogopa au hupendi kuingia kwenye mahusiano na mwanamke au mwanaume gani?
Kwa upande wangu mwanamke muongo muongo dah, ananikata stimu kabsa yaani. Niliwahi kutoka na mwanamke miaka mitatu kumbe...
Napitia Takwimu kutoka kenya juu ya kuimarika kwa Biashara kati ya Tanzania na Kenya mara mbili zaidi kutoka Mwaka 2020.
Takwimu kutoka nchini Kenya zinaonyesha Biashara kati ya Tanzania na Kenya zimeimarika zaidi. Thamani ya bidhaa zilizosafirishwa kutoka kenya kuja Tanzania zimepanda kwa...
Una uhakika gani kwamba hajawai kupasha kiporo na ex wake, hawara anatongozwa ??
Kuna kipindi mnagombana, unajua ni namna gani anavyo deal na hio hali kutuliza hasira ama kukukomoa ??
ana deni la kikoba kuna mtu kwenye contacts zake alishamuahidi laki akimpa mzigo, anarukaje kwamfano ?
kaenda...
Wadau, kutokana na kujiamini kwangu katika suala la mapenzi nimekuwa muumizi mzuri sana wa sera ya "No hongos". Yaani sihongi. Ndiyo sihongi pesa kwa mpenzi hata siku moja.
Najiamini kuwa nami pia natoa raha why nihonge kupata K? Labda ijulikane tu mtu anauza so hayupo after raha. Sasa yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.