Kwanini mwanamke anakua kwenye mahusiano na bado anatoa namba yake kwa mwanaume mwingine?

Oppo A17k

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
544
1,417
Wakuu poleni na harakati za kila siku katika ujenzi wa taifa

Binafsi nimeshindwa kuelewa hii tabia ya mwanamke kutoa namba ya simu kwa mwanaume mwingine wakati anafaham kabisa kifuatacho hapo ni kutongonzwa na wakati yupo kwenye mahusiano mengine.

Mkasa ulionitokea.
Juzi wakati nipo job sehem fulani x kaja dem mmoja kamalizia hapo shule mwaka mmoja uliopita kaja kuchukua cheti chake basi katika zile harakati za kutia sign pale mwamba nikajipinda nikaomba namba dem kanipa nikataka nimpange mida tukutane tukae tuyajenge akasema atakua bize

Nikaema haina shida tukaongea hapo kanikubalia pia akanihoji vip nikamwambia sina mke ila nakaa geto alone akasema poa haina shida

Usiku nikamcheki tukaongea kidogo nikamwambia kesho anicheki tuonane akasema poa haina shida
Kesho yake kutwa nzima kimya namsubili mtu wap natuma text kimya akaja kunijibu usiku anasema ye anamtu wake me nikajua labda ndio sitaki nataka mwamba nikaendelea kukaza dem akaweka msimamo anasema ye anamtu wake me nikasema haina noma.

Nimeshindwa kuelewa maana yake nin kunikubalia mwanzo then baadae anakuja kukataa pia kwanin asingekataa mwanzo kabisa na namba alinipa ya nini?

Kwenu wakubwa na wajuzi wa mambo nawasilisha. Kazi iendelee
View attachment 2247184
 
Kama ilivyo
Screenshot_20220601-150029.jpg
 
Ukute kuna vitu aliviona kwako akaona hapa hapana ngoja asingizie ana mtu kukukimbiza mazima. Tunapowaambia tuna watu msituamini moja kwa moja.
 
Hata timu zinasajili wachezaji japokua kuna wengine mpka benchi. Huez kuwaelewa wanawake ndugu yangu. Sometime anakuoa namba ili akubloku maana umemsumbua kupata namba. Wengine wanakupa namba ili wakupige mizinga. Wengine wanaeza kua wamefurahia vibe lako so wanakupa namba ili uwafurahishe wakiwa na stress za wapenzi wao.

Usijiulize sana. Ukiomba namba ukapewa, kama lengo n kutongoza fanya hvo, akikataa mteme tafuta mwingine. Kama mwanamke kakuelewa utajua tu kwa swaga zake
 
Huwezi kufanya maisha na mwanamke ambae bado anagawa ovyo namba zake.

Kutokana na utandawazi siku hizi ni rahisi kuanzisha mahusiano na mwanamke iwapo tu utakua na access ya kuwasiliana nae kwa simu au kwa kuonana nae mara kwa mara tofauti na zamani.

Kwako mtoa mada, huyo mwanamke bado hayuko settled ktk hayo mahusiano yake. It seems hajampata mtu sahihi anaekidhi vigezo vyake ndio maana amekua comfortable kukupa namba akihisi huenda una kitu cha ziada kuliko bwana ake ambacho huenda kingemshawishi kukuweka kama spare tire, ukweli mchungu amegundua hauna maajabu ndio maana amekuchana ana mtu wake, wengine hua hawasemi.

Yawezekana pia alikupa namba kipindi ambacho waligombana na huyo mtu wake na sasa wameshasuluhisha ugomvi wao kwahyo haoni umuhimu wako tena.

Note: Mvumilie na usimtafute, huyo hayuko ktk stable relationship, wakizinguana tena atakutafta tu. Endapo atakutafuta usilegeze kamba, ichakate vizuri hiyo mbususu mpaka itoke moshi, utakuja nishukuru.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kweli mkuu umenena vyema asante kwa ushauri
 
Hata timu zinasajili wachezaji japokua kuna wengine mpka benchi. Huez kuwaelewa wanawake ndugu yangu. Sometime anakuoa namba ili akubloku maana umemsumbua kupata namba. Wengine wanakupa namba ili wakupige mizinga. Wengine wanaeza kua wamefurahia vibe lako so wanakupa namba ili uwafurahishe wakiwa na stress za wapenzi wao.
Usijiulize sana. Ukiomba namba ukapewa, kama lengo n kutongoza fanya hvo, akikataa mteme tafuta mwingine. Kama mwanamke kakuelewa utajua tu kwa swaga zake
Nimekupata mkuu kuanzia hiyo siku hadi leo sina tena contact nae
 
Back
Top Bottom