Wanawake; eleweni kuwa hakuna mahusiano bila Maslahi

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,341
51,907
WANAWAKE ELEWENI; HAKUNA URAFIKI BAINA YA MWANAUME NA MWANAMKE.

Anaandika, Robert Heriel.

Kwanza kabisa, hakunaga Urafiki baina ya mwanamke na Mwanaume hilo kila mtu mwenye akili na hekima analijua, hakunaga kitu Kama hicho.
Kidini, Uislam Kwa kuzingatia torati unatanabaisha kuwa hakuna urafiki baina ya mwanamke na Mwanaume, ndio maana wao hawana kitu inaitwa Uchumba,
Kimsingi, hakuna urafiki baina ya Mwanaume na mwanamke labda urafiki wa kishetani.

Wazee na wanaume kamili tangu zamani wanalijua Jambo hili. Haiwezekani Kwa mwanaume anayejielewa akaruhusu mkewe au Binti yake kuwa na urafiki na Mwanaume kivyovyote, hakunaga ushamba wa hivyo.

Mwanamke atahusiana na Mwanaume ikiwa ni Mume wake, huyo ndiye Atakuwa kila kitu kwake ikiwemo urafiki.

Mwanamke atahusiana na Baba yake, Kaka zake, wajomba na ndugu wengine wa kiume, zaidi ya hapo hakuna urafiki wowote wa mwanaume na Mwanamke unaotambulika kulingana na nature na mambo ya kiimani.

Urafiki wowote au mahusiano yoyote ya mwanaume na Mwanamke ambao hawana undugu au Uzazi au sio mume ni biashara.

Sisi wanaume hatuna lolote tunalopata Kwa Mwanamke mpaka tuwe na mahusiano nao kirafiki zaidi ya Ngono tuu!
Kuna watu watasema ati kupata Ushauri😀😀 Hivi umuache Mkeo au Mama yako, au Dada zako au shangazi zako au Mama zako wa dogo ati ukaombe ushauri Kwa mwanamke mwingine 😂😂 Hakuna mwanaume wa hivyo dunia hii.

Wanaume wengi tunatabia ya kujifanya tunatafuta ushauri Kwa wanawake kumbe lengo letu ni jingine kabisa, akili ya mwanaume inajitosheleza na Kama haijitoshelezi basi wapo wanaume wenzake kumpa ushauri,

Binti yangu usije ukadanganywa na Hawa vijana kuwa ati unaakili ya kutoa ushauri mzuri, wanakudanganya ili wakukule kimasikhara, yaani kweli Kwa akili yako mwanaume mzima aombe ushauri kwako😀😀 na hauna undugu, wala sio Baba yako wala sio mume wako, hivi hata Kama wewe ni mjinga lakini sio Kwa kiwango hiko.

Mwanaume yeyote anapohitaji ukaribu na wewe jua anataka kukukula, ukimuomba pesa, hicho tuu ndicho unachoweza kumpa, lakini kwake unaweza taka mambo mengi.

Sasa inashangaza kuwa, wanawake WA siku hizi kujifanya hawajui Jambo hili, yaani mwanaume akupe pesa Bure Kwa kipi hasa,

Yeye sio Baba yako
Yeye sio Kaka yako
Yeye sio Mjomba wako
Yeye sio Mume wako
Yeye sio Babu yako
Na kamwe hamuwezi kuwa marafiki.

Tambueni kwenu wanaume wanataka kitu kimoja tuu, nacho ni Ngono Basi.

Kama ni Ushauri wanaume Hilo hawalitaki,
Kama ni Stori hamna,
Kama ni Maarifa ya kijamii, Kisiasa, kimichezo, kiutamaduni yote hayo hamna.

Aache kumuomba mkewe Ushauri akuombe wewe?
Aache kumuomba Mama au Dada au Bibi au shangazi zake akuombe wewe? Embu jaribuni kufikiria.

Ndio maana wanaume waliooa mara zote hawapendi Mwanamke ambaye anajifanya anamarafiki wakiume,

Ndio maana Wanaume huwaga hushangaa wanaume wenzao wenye ukaribu na wanawake na Kuwaita mashoga Kwa sababu kimsingi hakuna lolote zaidi ya Sex mwanaume anaweza pata Kwa Mwanamke.

Na kimsingi Wanaume wenye mazoea na wanawake huwa na tabia za kike na wengi huwa mashoga.

Hivyo ndivyo binti yangu unatakiwa kuelewa mambo haya.

Sabato njema

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
 
Hiyo iko hivyo
Ngoja nikae kwanza
JamiiForums-2131753437.jpg
 
Naona uneamua kutoa siri za kambi. Nmeunda tume ya kukuchunguza..
Afterall duniani hakunaga urafiki kuna undugu na ndugu zako wa damu na ushirikiano na watu wengine kimaslahi (kimanufaa) sawa sawa au mmoja mjanja apate zaidi wewe mjinga uliwe
 
Nilikuwa nawaweka Sawa Wadada wanaopenda wapewe pesa burebure Kwa visingizio vya kipuuzi
 
Umemaliza
Njoo ule bia.
Anayebisha ameamua kubisha..
 
Nilikuwa nawaweka Sawa Wadada wanaopenda wapewe pesa burebure Kwa visingizio vya kipuuzi
Sasa hauoni kama wataanza kuwaomba hela baba zao sisi tukakosa mbususu.
Halafu hv unajua dhumuni la ndoa kumbe ni kupata mbunye kila siku bila kupimiwa wala kulipa kwa reja reja. Yaani ni kuhalalisha ulaji kwa bei ya jumla😀😃😁😆😆😅🤣 wazee wajanja nyie
 
kumbe!!
 
Baba zao wangekuwa na hela wasingekuwa wanaomba hivi Mkuu.

Umasikini ndio unadhalilisha Dada zetu. Amini mwanamke akiwa na uwezo wa kiuchumi na kifikra anakuwa Bora na wathamani zaidi hasa akimjua Mungu
 
Dah! Simu inazima chaji, hili andiko nitalirudia.
Ila mkuu uwe unatumia "huwa hakuna" badala ya "hakunaga".
 
Back
Top Bottom