Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,323
- 40,167
Nguvu inayomsukuma mwanamke, kuingia kwenye mahusiano, kwa asilimia kubwa huwa ni umasikini.
Wengi wanaingia kwenye mahusiano, ili kupata uhakika wa kula, kuvaa, kumiliki majengo, magari, kumiliki miradi, kupanda vyeo n.k
Hawaingii kwenye mahusiano, kwa sababu ya mapenzi ya kutoka moyoni; ndio maana hela ya mwanaume inakuwa ni ya wote, na hela ya mwanamke inakuwa ni ya kwake.
Ndio maana mwanaume fukara, asiyekuwa na kipato au ramani ya maisha; huwa anakimbiwa na wanawake, kwa sababu anakuwa hana vitu ambavyo humvutia mwanamke.
Kama itatokea mwanaume akapendwa na mwanamke aliyejitosheleza kiuchumi, na mwanamke ndio akawa analipa 'bill' bila kugusa hela ya mwanaume; hapo ndipo kutakuwa na mapenzi ya kweli; kwa sababu kilichomvutia mwanamke kwenye hayo mahusiano sio pesa, bali ni upendo tu.