mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. A

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa mfumo wenu mpya ni kikwazo

    Tangu jana Mahakama ya rufaa imeanza kutumia mfumo wake mpya wa ku file kesi online. Mfumo huu umekuwa kikwazo na pia unaflchelewesha mashauri. Mfano kwa kesi ambazo ni za rufaa kutoka mahakama kuu mfumo huu haujaanza kuzipokea. Ukienda pale ku file rufaa yako wanakuambia uache namba ya simu...
  2. JamiiForums Tanzania Mahakama za nchi za Kiafrika ni bure kabisa, hakuna kitu!

    Huu upumbavu wa uonevu kwa double standards za kisheria utaendelea hadi lini? Bora kichaa au mlevi asimamie kesi kuliko Mahakama za Africa. Mwizi au mbadhirifu wa billioni 12 anasomewa hukumu yenye upenyo wa faini kiduchu, wakati anayekutwa na nyara ya hovyo tena nyara ya kutibu njaa yenye...
  3. JamiiForums Tanzania Utafiti wa tamwa Zanzibar wabaini kasoro, ufanisi mahakama maalum ya udhalilishaji zanzibar

    ZANZIBAR SERIKALI imeshauriwa kukarabati na kuboresha miundombinu ya Mahakama maalum ya udhalilishaji Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuwezesha matumizi ya ushahidi wa kielektroniki hasa kwa kesi zinazohusu watoto ili kuwa rafiki kwa wanaotumia mahakama hizo na kuwezesha upatikanaji wa haki katika...
  4. JamiiForums Tanzania Najib Mikati, Waziri Mkuu wa Lebanon: Jeshi la Lebanon ni nguzo ya muundo wa taifa

    Kaimu waziri mkuu wa Lebanon, Najib Mikati hapo jana alifanya ziara ya kushtukiza kusini ya nchi yake na mpakani na Israel.Katika ziara hiyo aliambatana na kamanda mkuu wa majeshi ya nchi hiyo, Joseph Auon. Katika ziara hiyo alikagua vikosi vya UNIFIL na kusema alifika eneo hilo pendwa la...
  5. JamiiForums Tanzania Mahakama kutoa uamuzi wa Kesi ya Halima Mdee na wenzake Desemba 14

    Wakati baadhi ya Walalamikaji hao wameanza kuvaa sare za ccm , huku wengine wakihutubia kwenye Majukwaa ya CCM, imetangazwa kwamba hukumu ya kesi yao dhidi ya Chadema itatolewa Desemba 14 2023. Ikumbukwe kwamba Halima Mdee na wenzake , akiwemo Dada yangu Sophia Mwakagenda walifungua kesi...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamng’ang’ania baba aliyembaka mwanae

    Mahakama Kuu Kanda ya Songea, imemng’ang’ania dereva bodaboda (jina linahifadhiwa) aliyefanya mapenzi kwa nguvu na mwanawe wa kumzaa akisingizia ni maelekezo ya mganga wa kienyeji na kusisitiza kuwa kifungo cha miaka 30 alichopewa ni sahihi. Tukio hilo lililotokea Machi 13, 2023 katika kijiji...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama nchini Kenya imehalalisha uagizaji na ukuzaji wa chakula cha GMO

    Mahakama nchini Kenya imehalalisha uagizaji na ukuzaji wa chakula cha GMO, hatua hii ikipuuzia kesi iliyowasilishwa na chama cha mawakili nchini humo. Katika uamuzi wake Mahakama ya Mazingira Kenya inasema waliowasilisha kesi hiyo walishindwa kutoa ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa Chakula...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wakati Mahakama na Bunge nchini Tanzania zikiwekwa mfukoni na CCM, huko nchini Kenya Mahakama kuu imezuia Polisi wa nchi hio kutumwa nchini Haiti.

    Mahakama kuu ya Kenya angalau imeonesha uhuru wa kufanya maamuzi pasipo kuingiliwa na serikali katika kufanya maamuzi yake tofauti kabisa na hali iliopo kwa jirani yake Tanzania kwa kuzuia kwa muda kutumwa kwa maafisa wa polisi nchini Haiti kufuatia pingamizi/ombi lililowasilishwa na chama cha...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi tunaomba muingilie hili kwa mustakabali wa haki. Jaji Salma Maghimbi ni mzigo kwa Mahakama

    Jaji SALMA MUSSA MAGHIMBI Jaji Mfawidhi Mahakama kuu Kanda ya Dar amekuwa akichelewesha kutoa nakala za hukumu pamoja na Drawing Order kwa muda mrefu. Ninavyoongea kuna hukumu alizotoa toka mwezi wa 5 ila mpaka sasa hajaweza kutoa nakala ya hukumu au drawing orders. Tunaomba Mahakama immulike...
  10. JamiiForums Tanzania Mahakama yasitisha utekelezaji wa Tamko la Rais kuanzisha pori la Akiba la Pololeti

  11. JamiiForums Tanzania Nini Hutokea Mahakama za Mwanzo

    Primary Courts/ Mahakama za Mwanzo 1.0 UTANGULIZI Mahakama ya mwanzo ni Mahakama ya chini kabisa katika mfumo wa Mahakama hapa nchini Mahakama hii inaanizishwa kwa mujibu wa fungu la 3 la sheria ya Mahakama za Mahakimu , Sura ya 11 ya sheria za Tanzania. Mahakama hizi zinaendeshwa na Mahakimu...
  12. JamiiForums Tanzania Swali kwa Jaji Mkuu: Je, ni haki kwa kina Rostam Aziz kutozwa faini badala ya kifungo lakini kina Mbarikiwa kupewa kifungo badala ya faini?

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma Mheshimiwa Jaji Mkuu, Tarehe 29 Septemba 2023, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mbeya, Paul Ntumo, alimhukumu kifungo cha miaka mitatu na nusu, Mchungaji Mbarikiwa Dickson Mwakipesile (39), baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kuendesha huduma ya...
  13. JamiiForums Tanzania Uhuru wa Mahakama unadhihirika pale kila Jaji anapoweza kujitegemea katika kufanya Maamuzi ya kesi kwa Haki, bila upendeleo wala kushawishiwa

    Tafiti mbalimbali za Kimataifa zinaonesha Mahakama ni moja ya Taasisi zinazoongoza kwa vitendo vya Rushwa katika nchi za Afrika na Amerika ya Kusini. Ingawa dhana hii inaweza kubadilika, haipaswi kupuuzwa kwani Rushwa Mahakamani hupelekea kukosekana kwa Haki na hivyo kuharibu Imani ya Umma...
  14. JamiiForums Tanzania Mahakama yathibitisha Stella Moses aliyepoteza maisha akiwa Kituo cha Polisi Mburahati alijinyonga

    Mahakama ya Korona Kinondoni Jijini Dar es Salaam, imetoa hukumu hiyo Ijumaa Septemba 22, 2023 imetoa uamuzi wa uchunguzi ilioufanya kuhusu mazingira ya kifo cha Stella Moses ambaye alifariki akiwa mahabusu katika Kituo cha Polisi Mburahati, Desemba 20, 2020, ambapo imesema kifo chake...
  15. JamiiForums Tanzania Tume ya TEHAMA: Mahakama za Tanzania zinatumia Akili Bandia tangu Mwaka 2022

    Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Tehama Tanzania, Kundwe Moses Mwasaga amesema Tume imeandaa Kongamano la Saba linalotarajiwa kufanyika tarehe 16-20 Oktoba 2023 Kongamano hilo litatanguliwa na mijadala, siku ya kwanza itakuwa ni Siku ya Wanawake kwenye TEHAMA, ambapo wanatarajia kusherekea...
  16. JamiiForums Tanzania Mahakama: Mwanamke aliyefia Mahabusu ya Mahabusu alijinyonga

    Mahakama ya Korona Kinondoni jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Septemba 22, 2023 imetoa uamuzi wa uchunguzi ilioufanya kuhusu mazingira ya kifo cha Stella Moses aliyefia mahabusu katika kituo cha Polisi Mburahati Desemba 20, 2020, ikisema kifo chake kilisababishwa na yeye mwenyewe kujinyonga...
  17. JamiiForums Tanzania Mahakama yastukia utapeli wa Mchungaji, yaamuru arudishe milioni 15 alizotaka kumtapeli muumini wake kwa kusingizia zaka

    My Take Wachungaji wa Makanisa ya Voda fasta tafuteni kazi za kufanya badala ya kutapeli Waumini Kwa visingizio vya Zaka za bwana. ==== Mgogoro wa ama ni mkopo au sadaka ya fungu la kumi (zaka) baina ya Mchungaji John Mtuka wa Kimara na muumini wake, Neema Wawa umehitimishwa na Mahakama Kuu...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Mahakama ya mwanzo inatoa afidavit ya mzazi?

    Nilikuwa nafuatilia passport nikaambiwa niandae Cheti Cha kuzaliwa Cha mzazi au kiapo/ afidavit. Naomba kufahamu namna ya kupata afidavit. Je, inawezekana kuipata katika Mahakama ya mwanzo? Natanguliza shukrani.
  19. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

    Vicky Kamata ameungukia pua kwenye kesi ya mirathi ya aliyekuwa mume(danga) wake Dr. Servacius Beda Likwelile. Mahakama imesema ndoa hiyo haikuwa halali kwa sababu Dr. Likwelile alikuwa ameoa hapo mwanzo na hajawahi kutalikiana na mke wake. Hivyo ndoa ya Vicky Kamata haikuwa halali na hivyo...
  20. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika (AfCHPR) yaiamuru Tanzania kufuta Hukumu ya Viboko

    Mahakama ya AfCHPR imeeleza kuwa Tanzania inapaswa kufuata Mabakubaliano ya Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu ulioanzisha Mahakama hiyo kwa kuondoa Adhabu za Utesaji, Ukatili, Unyama na Udhalilishaji. Pia, Jopo la Majaji 11 limeagiza Mamlaka za Tanzania kuwasilisha Ripoti kuhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…