1
Fair Thee Well John Magufuli
You who rose above the rest
And went down bellow the rest
You who stood above the rest
And Slept bellow the Rest
2
Fair Thee Well John Magufuli
You whose Glory never dimmed
And Pride never Perished
For you took Pride in Greatness
And Yet Kept your Humility
3
Fair...
Waumini wa Rastafarian wamemfanyia ibada Rais Magufuli aliyefariki Machi 17, 20201 kwa matatizo ya moyo katika Hospitali ya Mzena.
Waumini hao wamesema wanamchukulia Magufuli kama Nabii wao kwa kuwa hata namna yake ya kiutawala ni namna ya kiafrika ya kutawala ya kutanguliza utu na maslahi ya...
Kwa jinsi hii shughuli ya msiba inavyoendeshwa inaonyesha wazi kuna mabilioni ya fedha yanapotea kwa kutumia mgongo wa kumzika kiheshima Rais Magufuli.
Kuna wengine bila shaka wanatumia fursa hii kupiga pesa, pesa ambazo kwa namna moja au nyingine zingesaidia mambo mengi mno MF madawa...
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Lazaro Nyalandu yuko wilayani Chato mkoani Geita akishiriki mazishi ya kitaifa ya Hayati Dkt. John Magufuli.
Nyalandu ameonekana muda mwingi akiwa na mbunge wa Ilemela Dkt. Mabula na mbunge wa Shinyanga mjini Patrobas Katambi wote wawili ni manaibu waziri...
Ndugu Wanajukwaa
Kumpenda na kutokumpenda Hayati Magufuli ni chaguo binafsi la mtu. Pamoja na kwamba yeye alikuwa ni binadamu kwahivyo hakukosa kufanya makosa lakini ukweli ni bora usemwe tu. Mambo ya maendeleo aloyafanya ni makubwa sana. Ni kweli kwamba marehemu alikuwa na ujasiri mkubwa wa...
Mazishi ya Rais Magufuli yanaweza kuweka historia ya kuhudhuriwa na watu wengi kuanzia kuaga hadi kesho atakapozikwa.
Kwa haraka haraka naona halaiki iliyomuaga na itakayomzika pamoja na matatizo ya corona, haijawahi kutokea.
Kwa hivyo, anaingia kwenye historia kama Mtanzania aliyezikwa na...
Nchi yetu haiishiwi mambo na mengi ni yakutengeneza, jaribu kukonnect dots kwa mambo yafuatayo;
1. Ni Wiki ya pili sasa lakini hakuna chombo cha habari chochote kinachotaka tumjue vizur Rais Samia, na si kwa bahati mbaya, baada tu ya kuapa malori ya kujaza watu kwenda msibani yaliongezeka na...
Nafahamu kwamba siasa za CCM kwa vyama vya upinzani zimejaa uadui na uhasama wa kutisha sana , na ndio maana vyama vya upinzani kwa miaka 6 sasa vimepigwa marufuku kufanya siasa za majukwaa kinyume cha Sheria na Katiba ya nchi.
Lakini hatukutarajia chuki hizo zifike hadi kwenye Msiba wa Rais wa...
Nimesikia baadhi ya watangazi wa TV hasa TBC wakimuita Magufuli baba wa Taifa, je wanamaanisha nini?
Je, Taifa Lina mababa wawili?
Je, Nyerere kawa babu wa Taifa?
Je ,Nyerere tushamsahau na hana umuhimu tena kwa Taifa letu?
Naombeni tusaidiane majawabu
Leo siku ya kutoa heshima za mwisho kwa Jemedari wetu JPM wilayani Chato, Baraka Mwakipesile, maarufu kama ‘Baraka Magufuli’ amepewa nafasi ya kuonyesha kile ambacho alikionyesha siku zote hata mbele ya hayati Rais Magufuli.
Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi amesema aliyekuwa Rais wa Tanzania marehemu, John Magufuli aliagiza arejeshewe hati yake ya kusafiria na alimtamkia mara mbili kuwa kiongozi huyo wa kiroho ndiye atakayemzika.
Akizungumza leo Alhamisi Machi 25, 2021 katika...
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia Watu wanne kwa tuhuma za kufurahia kifo cha hayati John Magufuli kwa kupika supu na kununua ndoo ya lita 20 ya pombe ya kienyeji ya Ulanzi.
Pia soma > Manyara: 8 mbaroni kwa kushangilia kifo cha Magufuli
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia...
Wana Jf
Nianze Kwa kumtanguliza Mungu kama Nabii Dr. Magufuri alivyopendelea kumtanguliza Mungu kila wakati.
Ninaposema Dr. Magufuri ni Nabii wa Africa aliyetumwa kuikomboa Africa mara ya pili ninamaanisha kuwa Kwa Yale mahubiri yake ya kutaka Africa tujitathimini kupenda vyetu ili kujinasua...
Baba yenu sijui uzee sijui macho yangu. Katika pita pita yangu sioni ndugu zetu wa kihindi wakimuaga jemadari shujaa wetu John Pombe Magufuli kama wanyonge au kwa vile wao si wanyonge. Si Dar, Zenj na sasa Mwanza, sioni ndugu hawa wanaosifika kufaidi uchumi wa nchi yetu japo si kwa sana kipindi...
Dr John Joseph Pombe Magufuli hakuwa Shujaa wa Afrika.
Kama alikuwa shujaa wa Afrika naomba kujibiwa maswali yafuatayo.
Mosi; Rais Magufuli ametatua migogoro au kutatua matatizo ya Afrika kwa kiwango gani?
Pili; Rais Magufuli amewahi kuhutubia mara ngapi Umoja wa Afrika kuhusu Afrika?
Tatu...
Salaam!
Tarehe 26/03/2021 Ni siku ya Kumpumzisha Aliyekuwa Rais wetu John Pombe Magufuli huko kwao Chato.
Nawapongeza sana JamiiForums Facebook page kwa Kuelewa na Kumuenzi kwa Nukuuu Nkutu alizowahi kuzisema wakati wa uhai wake.
Na moja ya nukuu hizo ina maneno haya "Siku moja mtanikumbuka...
Nimesoma Bandiko moja la Mheshimiwa Kigwangala nikashindwa kabisa kuelewa anataka kuwaelezea nini Watanzania kati ya Tanzania hii aliyoiacha Hayati Magufuli na ile ya Kipindi cha Hayati Nyerere.
Kigwangala Nanukuu Ameandika "Rais Magufuli alitamani kuona nchi inabaki...
Umoja wa Mataifa umetangaza kupeperusha bendera yake nusu mlingoti siku ambayo atazikwa Rais Magufuli
Rais Magufuli anatarajia kuzikwa Tarehe 26/03/2021
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.