magufuli

  1. F

    JamiiForums Tanzania CCM mtamkumbuka Magufuli!

    Demokrasia imeanza kurejeshwa tena Tanzania. Mikutano ya vyama vya siasa imeruhusiwa kwa kiasi na uhuru wa kujieleza unarudi. Upinzani ukiongozwa na CHADEMA umeanza kurudi katika hali yake kabla ya kipindi cha udhalimu. Nimeona tayari hofu kubwa kati ya wana CCM kutokana na yanayoendelea...
  2. JF Member

    JamiiForums Tanzania Nasikiliza Nyimbo za Harmonize na Zuchu (Wakiimba kazi za Magufuli)

    Nimesikiliza hizi za Harmonize (Kwangalu ya Magufuli) na Zuchu (Tanzania ya Sasa Mama) ni nyimbo za karne. Naamini kabisa vizazi vijavyo vitamuenzi sana Magufuli kuliko hata sasa. Mwamba anatikisa Dunia sasa hata baada ya kufariki.
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Watu wote wanaomsema vibaya Hayati Magufuli ni waongo wakubwa

    Huhitaji kuwa masters degree kulielewa hili, hawa ndo watu waongo kupindukia maana hawataki kusema ukweli. Mtu yoyote anayemsema vibaya jemedali wetu kaa naye mbali sana ni muongo na mnafiki mkubwa. What they do is "Appreciate Magufuli in private and spoil him in public" ogopa Sana hao viumbe...
  4. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Dola; Wafanyabiashara wa Kariakoo wamkumbuka Hayati Rais Magufuli

    Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kwa tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo. Wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama, kutumia pesa ya China...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Hafla ya uzinduzi wa Mradi wa kufua Umeme wa Kikagati Murongo, Uganda, Mei 25, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Kikagati Murongo, Uganda, leo Mei 25, 2023. Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemshukuru Rais Samia kwa kuwa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufika eneo...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Eti Magufuli alipigana vita na mabeberu, vita ya uchumi, ni vita gani alishinda dhidi ya Western Impelialism?

    Propaganda za akina johnthebaptist and Co. Ltd eti ni shujaa. Ushujaa wake unatoka wapi? eti alipigana vita na mabebebru, alipigana vita ipi na alishinda ipi? Vita gani, Ya Uchumi, kuna bebebru hata mmoja aliondoka akaacha miradi yake? Sana sana we are paying dearly kwa kukurupuka kwake...
  7. Said Stuard Shily

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli pamoja na kuwa hatunae, Malawi wameandika kitabu kuenzi kazi zake

    Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe masaibu ya CHADEMA yalitokana na CCM, Magufuli na Samia. Kwanini unamtoa Rais Samia kwenye lawama?

    Masaibu yaliyoikumba Chadema na Viongozi wake; Jaribio la kumuua Lissu, Kumbambikia Mbowe issue ya ughaidi, kuwasweka wafuasi wa chadema jela na mengineyo yametokana CCM, Magufuli panoja na Samia. Nashangaa, kwenye hotuba zake, Mbowe anajikita zaidi kwenye kumshambulia JPM badala ya...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tumwombee heri Hayati Rais Magufuli ili apumzike vema dhidi ya haya majitu yanayolitafutia laana Taifa

    Karma is real and her other name is a bitch, nawaza hivi hawq vichwa maji wenye Imani za Freemasons ni wapumbavu kiasi kwamba pamoja na uzee wao hawaoni umuhimu wa utengamano na mshikamano wa kitaifa. Magufuli alihimiza sana maombi, akazikwa kwa kejeli, maiti ilizungushwa kwa kusherehekea, sasa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Legacy ya Magufuli na Membe hii hapa!

    Ijulikane kwamba Dikteta John Magufuli na Kachero Bernard Membe wote Sasa ni marehemu. Wote walikuwa ni wana-CCM. Wote wamehudumu kama Mawaziri chini ya Dk. Jakaya Kikwete. Wote waliutaka Urais 2015 lakini kwa isiyo bahati kwa Membe hakufanikiwa kuwa Mgombea wa chama chao, CCM. Toka 2015...
  11. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kwanini hayati Magufuli alijiita jiwe?

    Bado naendelea kumkumbuka Rais wetu wa awamu ya tano, Field Marshall John Pombe Magufuli. Hakika maisha yake yaliwagusa watanzania wengi sana na hata kuondoka kwake kumeacha simanzi kubwa sana. Enzi za uhai wake, hayati Magufuli alikuwa na majina mengi ya utani, kama vile Tingatinga, Chuma...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tuheshimu wosia wa Magufuli, alisema akisifiwa na mama Janeti inatosha

    Walinda legacy bado wapo katika msiba, wanatukana kila kiongozi wa nchi hii aliyepita. Hawana staha hata kwa baba wa Taifa, wanasema eti hata yeye hajafanya kitu isipokuwa ni Magufuli tu ndo kafanya yote. Walinda Legacy wanahoji kuwa kwa miaka yote 50 iliyopita mbona ikulu haikujengwa ila...
  13. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Hayati Rais John Pombe Magufuli akumbukwa kwenye uzinduzi wa Ikulu Mpya Dodoma.

    HAYATI RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AKUMBUKWA KWENYE UZINDUZI WA IKULU MPYA DODOMA. Leo 10:15hrs 21/05/2023 Hayati Rais John Pombe Magufuli alituonyesha na kutufundisha ya kwamba,kuwa Rais na kufanya vizuri haihitaji uwepo madarakani miaka kumi! kazi uliyotumwa kuifanya kwa miaka 10...
  14. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Simkubali kabisa Magufuli, lakini apewe heshima yake wakati maono yake yakitekelezwa

    Kwanza kabisa napenda kuweka kumbukumbu sawa, mimi ni miongoni mwa member wa JF ambaye sikuwahi kumkubali Magufuli na mara zote (mpaka sasa hivi) nimepingana na siasa chafu na siasa za kikatili zilizokuwa zikifanywa na Magufuli na utawala wake, yaani mimi ni against Magufuli. Kwangu mimi rais...
  15. Chibudee

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino, Dodoma

    Mzee anasahau Corona kidogo anakula bata chamwino
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alivyowacheka wazungumzaji uzinduzi wa ikulu Chamwino

    Naona mmejitahidi Sana kukwepesha kwepesha UKWERI...... Naomba niwaambie watanzania Wengi hawaoni hayo majengo au Ile halaiki kichwani mwao wakisikia uzinduzi wa ikulu Dodoma....... Hii ndo picha inayokuja kichwani mwao siyo hayo majebgo meupe. Meupe...... Jingine Mmefanya vizuri kutomtaja...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mama Janeth Magufuli anazidi kung'ara kwa siha na wajihi katika awamu hii ya sita

    Mama Janeth Magufuli kwa kweli amezidi kupendeza, nimefuatilia sana matukio yake katika awamu ya sita, ni mtu mwenye furaha sana, anatabasamu, kwa kweli anaonekana mtu mwenye amani sana, hana mawazo, amesakata dansi pale ikulu chamwino, Mwenyezi Mungu amuweke.
  18. F

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Jakaya Kikwete aongelea Ikulu mpya, aisifu kwa uzuri wake

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesifu amuzi wa serikali kujenga ikulu Dodoma. Amesifu ujenzi wa ikulu mpya na kusema kuwa ikulu hiyo ndio uthibitisho wa adhma ya serikali kuhamia Dodoma. Asema imekamilikia vizuri na inapendeza. Mheshimiwa Jakaya amesema Juhudi za ujenzi wa ikulu mpya zilianza na...
  19. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Ikulu ya Chamwino: Nani hasa anastahili credits?

    Zuhura Yunus ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya Ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete. Hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza? Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.
  20. Master Oogway

    JamiiForums Tanzania Nukuu ya Hayati Magufuli Kuhusu TRA

    Raisi wa Awamu ya Tano, Mheshimiwa John Pombe Magufuli mtetezi wa wanyonge aliyasema haya kuhusiana na ulipaji kodi pamoja na vitimbwi vya TRA Maisha yako ni Baraka, Historia yako ni hadhina Kwa Nchi🙏
Back
Top Bottom