magufuli

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Niliwaonya mno mlioshangilia Kifo cha Hayati Magufuli na Kumsimanga, haya nanyi sasa mnamfuata huko huko

    Yaani unapata tu Taarifa za Msiba wa Hayati Magufuli haraka sana unatoka Kijijini Kwenu na kuwahi Mjini kisha unandaa Sherehe Kubwa Nyumbani Kwako huku muda Wote katika Sherehe Wewe ni Kumsema tu Hayati Magufuli. Haya Kiko wapi sasa? Tubuni haraka.
  2. Master Oogway

    JamiiForums Tanzania Magufuli hakika ulijitolea maisha yako kwa ajili ya Watanzania

    Magufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe. Your life was a blessing, your memory a treasure🙏
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kutokutunzwa kwa kumbukumbu za nchi ndiko kunakosababisha Magufuli aonekane Shujaa kuliko wenziwe

    Alipokuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, John Pombe Magufuli alitamani kila mradi uitwe kwa jina la Julius Kambarage Nyerere. Ni kama vile aliamini kuwa hakuna aliye bora kati ya Marais watatu wengine waliomtangulia, yaani Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa au Jakaya Mrisho Kikwete...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nawaza kwa sauti ikiwa huu ndio mkakati wa UPINZANI" Kumnanga Magufuli halafu 2025 kumtumia kwenye kampeni"

    Moja ya mkakati unaotumiwa sana ni kutumia njia ya kujiweka mbali ili adui yako hasikufikirie zaidi. Na kwa ujumla mkakati huu nawaza pengine unatumiwa na vyama vya upinzani kuizubaisha CCM wanavyomchukulia Hayati Magufuli. Kama ndivyo basi CCM. Machoni mwa wengi sana Hayati Magufuli ni shujaa...
  5. 2019

    JamiiForums Tanzania Legacy ya Hayati Magufuli haitofutika mbele ya wanyonge ila bado hakuwa malaika, alikosea pia

    Moja kati marais ambao wanakumbukwa kwa miradi na kulinda maslahi ya wanyonge wa Tanzania ni hayati John Magufuli, huyu jamaa itachukua muda sana kuja kupata Rais kama huyu mchapa kazi. Nikiangalia jinsi nchi inavyotafunwa na wachache namkumbuka sana huyu mwamba, kwa sasa uzembe serikali...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: CCM wanapenda kumsema sema Magufuli kwa sababu amekufa lakini wote ni Watenda dhambi ileile

    Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lissu amewalaani Viongozi wa CCM kwa kugawana rasilimali za nchi vikiwemo viwanda na kumtaja mmoja wa wanufaika wa ubazazi huo ni mbunge wa Morogoro mjini Dr Abood. Tundu Lissu anesema "CCM wanapenda kumsema sema Magufuli kwa sababu tu AMEKUFA...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Atakaekiri 2025 awe kutoka CCM au Upinzani kutenda kama Hayati Magufuli atajihakikishia ushindi kwenye udiwani na Ubunge lakini kwenye Urais ni Samia

    Kuna kijisauti nakisikia na kinaniambia niwafikishie sauti hiyo wote wenye kutamani Udiwani na Ubunge wawe ni kutoka CCM au Upinzani. Sauti inaniambia na imenihakikishia mambo makubwa matatu: Jambo la kwanza, Mwaka 2025 Rais ni Samia na ushindi wake utaonekana 2024 kuelekea 2025 na kuna mambo...
  8. JackisonDubai

    JamiiForums Tanzania Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

    Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania. Hao waandishi uchwara walishaonywa mara nyingi kwamba hamna nguvu...
  9. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Kwani Magufuli Alikuwa Nani?

    Habari za wakati huu? Kwanza nianze kwa kusema kwamba mimi binafsi nilikuwa muumini mkubwa kabisa wa sera za Magufuli lakini nilikuwa mkosoaji mkubwa sana wa Mtindo wake wa uongozi.Kama mdau wa elimu ya siasa huwa sipendi kutenganisha Sera za Kiongozi na Mtindo wa kiongozi lakini huwa najua...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Dk. Samia tunaomba mradi wa Bwawa la Nyerere uitwe Magufuli HEPP

    Kwakuwa Sasa Bwawa la Stiglers limebakisha MITA 8 za kujaa maji kiwango Cha kuzalisha Umeme, yaani imefika MITA 155.8, na tayari mpaka Sasa maji yaliyomo katika Bwawa Hilo Toka limeanza kujazwa mwezi wa 12 mwaka linafanya Kwa Sasa ndo Bwawa lenye maji mengi zaidi ya mtera , na Nyumba ya Mungu...
  11. Robot la Matope

    JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa

    Picha: Spika Dkt. Tulia Akson Spika wa Bunge, Tulia Ackson ni miongoni wa wabunge waliowasilisha maombi ya kugawa majimbo yao ili kuwa mawili kutokana na ukubwa na wingi wa watu. Taarifa hiyo imetolewa leo bungeni na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Ummy...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni lini tutaacha Kumsimanga Hayati Magufuli na kumuonesha kuwa hakuwa Rais mpenda Watanzania?

    "Tumeamua kurudisha ule utaratibu wa Kupandisha Mishahara ya Wafanyakazi kila Mwezi pamoja na Madaraja uliokuwepo miaka mingi ya nyuma" Rais Samia katika Kilele cha Mei Mosi leo Mkoani Morogoro. Chanzo: Mitandao ya Tanzania Ushauri wa bure ambao GENTAMYCINE leo nautoa kwa WANAFIKI Wote nchini...
  13. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Familia ya Hayati Magufuli iende Mahakamani kudai fidia ya picha iliyotumika katika kava kukitangaza kitabu cha 'I Am The State'

    Kwanza kabisa namshukuru' muumba Kwa kuniweka hai mpaka Leo ninapofanikiwa kuwaona wanaochukia ukabila wa magufuli lakini wao kupitia chuki zao wakiungana Kabila moja na kutunga kitabu kinachozungumzia upande mmoja wa shilingi wa aliyoyatenda wanayemjadili. Nikienda kwenye mada moja Kwa...
  14. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea

    Nashangaa sana katika hili taifa mwanzo walisema Kuna mtu/kibaka alifanya hujuma akakamatwa Sasa leo Tena ni Nini? Halafu tunaomba kuandaa afcon kwa hali hii tutakubaliwa kuandaa mashindano ya afcon?? Ni aibu kubwa kwa KWELI/tunaaibika kimataifa. ---
  15. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anasimamia fedha za Serikali vizuri kuliko Hayati Magufuli

    Kama umemsikiliza vizuri Utouh alipokuwa anaongea juzi, ni kwamba ingawa katika Halmashauri umetokea ubadhirifu mkubwa na labda wizi, lakini kwa ujumla, Serikali Kuu imeweza kupunguza ubadhirifu katika mwaka huu wa fedha kuliko mwaka jana, kufuatana na ripoti ya CAG Kichere. Swali tu ni kwamba...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado ina uhitaji mkubwa wa kupata Rais kama Magufuli mwenye makali zaidi

    Habari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:- 1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi 2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof...
  17. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Magufuli was ripping our taxes for the sake of Chato, it was plainly corruption

    Then what was it if not corruption ? Building a very big airport in a place where there is less demand for air transport. Building a big bus stand in Chato was senseless High Spending for coonstructing tax revenue authority office in a district where they barely contribute to the regions tax...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye maono akifa vitu vyote hufa kibudu, viwanda vilivyoanzishwa na Magufuli mbona havikuwa magofu?

    Shida ni nini? Kuna viwanda vingi vilijengwa na vingine kuanzishwa, Cha ajabu ni kwamba, vilivyokuwa vikijengwa na ilikuwa vinaendelea vizuri, sasa haviendelei tena kujengwa, vingi vinaelekea kuwa magofu! Hawa wawekezaji walioanza kujenga viwanda barabara ya Bagamoyo to Tanga, Dar to Moro...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa Mawaziri, Wakurugenzi, wakuu wa Idara, mikoa na wilaya' wengine Serikali iwaagizie baiskeli ili kuokoa uchumi unaokufa

    Shalomu Tanzania' Kwanza, itasaidia sana, pesa nyingi zilizoelekezwa kununua magari ya viongozi, bajeti yake ielekezwe kwenye maendeleo. Bajeti ya kunywesha mafuta magari hayo kwa mwaka mzima, pia ielekezwe kwenye maendeleo na bajeti hiyo itumike kama nyongeza ya mshahara kwa wafanya kazi...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Nimefika Geita na wilaya zake, Sijui Kwanini Hayati Magufuli hakujenga Airport Katoro badala ya Chato

    Nimetembelea mkoa wa Geita na wilaya zake, mwezi wote huu. Katoro ni mji ambao umenishangaza sana, mji Unajengeka kisasa, Una majengo ya kifahari, centre Yao imechangamka kuna mzunguko biashara na muingiliano WA watu WA kutosha. Sikuwa na wazo na kununua kiwanja Huku Geita, imenibidi ninunue...
Back
Top Bottom