magufuli

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wenye maono ya Magufuli wamenyimwa nafasi kuchangia muswada wa Bandari au Wamepuuza udalali wa rasilimali za nchi?

    Mle bungeni kuna wabunge ambao hawakubaliani na ugawaji holela wa uendeshaji wa bandari yetu. Wabunge hao wamejikuta wanatengwa na Spika kwa kuwanyima fursa ya kuchangia muswada wa bandari ili kutoa nafasi kwa wabunge wenye kuweka mbele masilahi yao binafsi ndani ya chama kuchangia. Leo hii...
  2. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Alichofanya Magufuli kwenye uchaguzi wa 2020 matunda yake ndo tumeanza kuyaona jana terehe 10/6/2023

    Mwaka 2020 kwenye uchaguzi wa Tanzania kulifanyikia uharamia ambao hakuwah kufanyika kwa mtu ambaye mara kwa mara utamuona jumapili akiomba aombewe Bunge la chama kimoja lilikua ni lengo na matamanio ya magufuli lengo ni kuhakikisha jambo lolote lile atakalopeleka bungen hakuna atakayepinga ila...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kama ulikubali na unakubali siasa za Hayati Magufuli hupaswi kuukosoa mkataba wa Bandari

    Magufuli ndio aliharibu uchaguzi wa 2020 akatuletea mabumunda mjengoni sasa leo wanapitisha mikataba ya kipopoma mnapiga kelele. Athari za utawala mbaya wa magufuli zitadumu kwa miaka mingi sana. Wote mnaoshadadia siasa za hayati Magufuli hamna moral authority ya kuukosoa upopoma wa wabunge na...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nguvu kubwa iliyotumika kumchafua Hayati Magufuli ndiyo imegeuka kuwa laana ya Kiuongozi kwa watu wanaomchafua

    Tumetukanwa mno na Kudhihakiwa sana hapa JamiiForums kwakuwa tu akina GENTAMYCINE walipenda aina ya Utawala (Uongozi) wa Hayati Magufuli. Nakiri kama Binadamu Hayati Magufuli nae alikuwa na Mapungufu yake (ambayo hata Mimi na Wewe tunayo yetu) ila kwanini GENTAMYCINE nilimpenda na namkumbuka...
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Imekuwa mapema sana hayati John Magufuli kukumbukwa tofauti na Lumumba, Thomas Sankara na akina Nkrumah

    Kiongozi mzalendo ni mzalendo tu. Lazima mema yake kwa taifa lake ya outweigh mabaya yake. Leo hii hata miaka mitattu haijakatika kila mtu anakumbuka na ina bakia story tu kuwa angekuwepo hii nonsensical deal or contract isingefanyika. Huko Congo Drc leo wanatamani kupata Lumumba mwingine...
  6. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania CHADEMA itumie sera za Magufulification kwenye mazuri yake ili ikamate dola

     Tunakubali Magufuli hakuwa mwema sana lakini hakuwa muovu kwa Kila kitu. Kama ilivyo Kila mwanadam anayo mabaya na mazuri katika amatendo yake. Zile zama za kuungana na Mafisadi ya CCM kumtukana Magufuli Sasa imetosha. Tunahitaji Sasa kugeukia Yale mazuri ambayo aliyasamia. Mnaweza kuyasema...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi Magufuli: Tumerogwa na nani?

    Mbali na viongozi kujua wanaowateua ni bure kabisa lakini bado wanaendelea kuteua watu hao hao! Awamu zote mambo ni haya haya, miaka nenda rudi bado tunafanya makosa haya haya! Hii inafanya tupigie mstari wa wino mwekundu kuwa, kuna ka mkono kao huwa kanahusika kwenye upigaji wa hii mikataba...
  8. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je, mnayachukuliaje haya maneno ya Hayati Magufuli?

    Sitaki kuongeza neno lolote zaidi ya kutambulisha. Naomba, kwa heshima na taadhima, sikiliza haya maneno ambayo hayakukanushwa ndipo uamue. Je, tumefikaje hapa?
  9. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi

    Picha: Nape Nnauye Habarini JF GT! Jana wakati Membe akirudishiwa kadi ya CCM, Mbunge wa Mtama na Wazari wa Habari nchini aliongea kauli mbaya Sana Na Yenye kufedhehesha kwa Marehemu. Kwa tamaduni za kitanzia Sio sawa kumsema Marehemu, na hata Ukitaka kumsema Marehemu utamsema kwa Mazuri...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa ni mtu na nusu

  11. T

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa! Muda umefika wa kutambua uwezo na uthubutu wake aliyekuwa Rais wetu Hayati Magufuli

    Uwezo wa mtu upo katika kuamua kwa usahihi na kisha kutenda bila kusubiri Nchi yetu imekuwa na nyakati za kuongozwa na viongozi aina mbalimbali Viongozu wote duniani ili waingie kwenye record ya viongozi bora, hupimwa kupitia ufanisi woo wa kuongoza ikiwemo pamoja na uthubutu wao wa kuamua...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli aliwahi kumwita Prof. Mbarawa Mpumbavu hadharani

    Nakumbuka akiwa Tanga kwenye uzinduzi wa matenki ya mafuta Rais Magufuli wakati huo aliwahi kumwita Prof. Makame Mbarawa Mpumbavu. Maana ya neno mpumbavu ni mtu aliyevuka viwango vya ujinga. Haelimiki wala haambiliki. Ya Dubai Port yamenikumbusha habari hii. Alipohamishiwa Wizara ya maji kule...
  13. Superbug

    JamiiForums Tanzania Tuache kutumia neno sukuma gang kwasababu ya aliyoyafanya Magufuli ambae hakuwa Msukuma

    Ndugu zangu naomba tuache kutumia hii phrase ya sukuma gang ni kweli magufuli alifanya mambo ya hovyo sana katika historia ya nchi yetu na ndipo waungaji mkono wake (wema kwa wabaya) wakaitwa sukuma gang lakini honestly magufuli sio Msukuma kwa kabila hivyo tuache kuwanyanyapaa wasukuma kwa...
  14. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Nini maoni yako kama kolabo ya Magufuli × Ruto × Museven ingekuwepo?

    mimi siijui sana siasa ila kwa mwendo huu wa Rais Ruto kuanza kuipinga dora ya marekani na rais Museven kupinga vikali tamaduni za magharibi, naona kabisa kama Hayati Magufuli angekuwa hai, lingepigwa korabo moja ambalo watu wa East Africa tusingekaa tulisahau. hii inaonesha uthubutu wa kutenda...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Sababu hizi zitatufanya ichukue muda sana kupata viongozi kama Hayati Magufuli na Mwalimu Nyerere

    Habari JF, Ukiaachana na nguvu kubwa inatumika kuonesha umma kwa Hayati Magufuli hakufanya kitu huku vitu vinaonekana na tuhuma nzito ambazo hazina ushahidi bado haiwezi ondoa ukweli kwamba hawa viongozi wawili watabaki kuwa bora kuwahi kutokea nchini mwetu. Kwa kifupi bado tunawahitaji lakini...
  16. Superbug

    JamiiForums Tanzania Papa Pius wa XI na Benito Mussolini kardinali Pengo na John Pombe Magufuli

    Mimi ni mkatoliki kindakindaki ila huu umoja wa kanisa na viongozi wa aina hii unalitesa sana kanisa takatifu la Yesu. Kuna ushahidi mkubwa wa papa Piusi wa XI kuwa na mahusiano ya karibu na Benito Mussolini fashisti wa italia mpaka Mussolini akampa papa eneo la Vatican city ilipo leo. Kupitia...
  17. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Chongolo ana muiga Magufuli kwa mambo mengi

    Ukimsikiliza anavyoongea, kutenda na kuamua Katibu Chongolo ni aina ya Magufuli ki utendaji kwa maana ya hapo na papo kwa kwa NIA NJEMA YA JAMBO LIENDE. mfano ni ziara yake kule Iringa hakika unaweza kutamani uendelee kuwashuhudia viongozi wachache majasiri wa aina yake waliobaki hapa nchini...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Huu uhaba wa dola unasababishwa na miradi ya pupa aliyoianzisha Magufuli akijitapa sisi ni matajiri

    Miradi inatumia fedha nyingi za kigeni kufanya imports ya vifaa na kulipa wakandarasi Miradi mingi inatumia mikopo ambayo imeshaanza kulipwa kabla hata matunda ya mradi hayajaanza kuingiza kipato Haya mambo tulitarajia na tuliyasema kabla...
  19. Koffi Annan

    JamiiForums Tanzania Polisi: Kigwangalla hajampiga risasi mlinzi Jumanne

    Polisi Mkoani Mwanza wametoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa mitandaoni kumhusu Mbunge wa Jimbo la Nzega Vijijini na Mmiliki wa Kiwanda cha kuchakata Pamba kitwacho Mwalujo Ginery kilichopo Kijiji cha Mwalujo, Wilaya ya Kwimba, Hamisi Kingwangala kudaiwa kumpiga risasi Mlinzi wake Jumanne...
  20. F

    JamiiForums Tanzania CCM mtamkumbuka Magufuli!

    Demokrasia imeanza kurejeshwa tena Tanzania. Mikutano ya vyama vya siasa imeruhusiwa kwa kiasi na uhuru wa kujieleza unarudi. Upinzani ukiongozwa na CHADEMA umeanza kurudi katika hali yake kabla ya kipindi cha udhalimu. Nimeona tayari hofu kubwa kati ya wana CCM kutokana na yanayoendelea...
Back
Top Bottom