magufuli

  1. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Magufuli ndiye aliyejenga Ikulu ya Chamwino, acheni janja janja

    Watanzania, Kuna nguvu kubwa imetumika kuhakikisha Rais Magufuli hatajwi kwenye UJENZI WA ikulu ya CHAMWINO. Jamaa wameziba kuanzia TBC Hadi kwa muandaaji wa makala yule mama wa BBC. Hivi mnatuonaje wengine, yaliwashinda wengine wote, chuma kikaamua na leo imetimia rasmi, Jiwe la msingi la...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Batilda Biriani alimkosea nini Magufuli?

    Mzuka wanajamvi! Huyu mwanamama alishawahi kuwa kwenye baraza la mawaziri wakati wa Kikwete na kupelekwa Kuwa Balozi wetu Japan. Lakini rais Magufuli alipoapishwa tu na kuwa rais mara ya kwanza hata siku haikupita akamtumbua ubalozi na kumrudisha nyumbani. Ni nini alimkosea Jiwe? Kwanini...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nikisikiliza hii clip nazidi kuelewa kwanini hayati Magufuli na sasa Rais Ruto anakutana na ugumu katika kuongoza nchi

    Habari JF, Hayati mwalimu Nyerere, JPM na sasa Ruto hawatofautiani sana mitazamo yao kuhusu Mabeberu. Tazama hii clip kuna vitu vingi utajifunza vilivyo tokea na vinavyotokea sasa kama Msamaha wa bure wa Mbowe, Maridhiano, Operation ya gharama kubwa ya 255, maandamo nchini Kenya na mengine...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Poleni sana CHADEMA kwa kuendelea kumwogopa Magufuli

    Ni dhahiri kwamba mkutano wa CDM hauwi mkutano bila kumtaja JPM. Nimeshuhuda mara kadhaa katika mikutano ya CDM inayoendelea. Hakuna Kiongozi anayemaliza mkutano bila kumtaja JPM. Hongera sana JPM kwa kuendelea kuwatisha CDM ukiwa kaburini. Kivuli chako kinawatisha CDM mpaka...
  5. wakatanta

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya wakuu hawa wa mikoa ililenga kumfichia aibu Amos Makalla na waliompendekeza

    Mabadiliko haya iltakiwa Amos Makala aachwe,kazi imemshinda,kama ambavyo Magufuli aliona hafai. Kwa kuwa Makala ana Magodfaza, Rais Samia akaambiwa amteue, ukweli umedhihirika si chochote, hata huko mwanza anaenda kuchemka tu, ana mambo ya Kiswahili Swahili sana. Badiliko la Adam Malima na...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwa uteuzi huu wa RC Chalamila kuja Dar es Salaam, Rais Samia kaupiga mwingi

    Dsm inahitaji watu kariba ya kina Chalamila. Jiji lilipoa sana hili. Nina imani kwa ujio wa Chalamila, sasa taarifa za habari zitaanza kufuatiliwa na watu wengi kuliko ilivyokuwa hapo kabla. Ninachomwomba Chalamila, ni ajitahidi kuwa yeye na kuusema ukweli pasipo kumwogopa yeyote. Usiogope...
  7. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa, msichukulie kifo cha Magufuli kama jambo la ukanda

    Ni dhahiri JPM alikua Shuja wa kanda ya ziwa. Ni dhahiri katika utawala wake kanda ya ziwa mlifaidi, wapo ambao mlipitisha mafuta bila kulipa kodi, mkanunua magari na kupiga ela. Mpo mliotumia ukabila kupata tenda nono za ujenzi, MSD na nguzo za umeme nchi nzima Mpo mliotengeneza kikundi cha...
  8. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Sakata dogo kama hilo la Kariakoo Magufuli angelimaliza kwa kupiga simu moja tu

    Ki sakata ( uchwara ) kidogo cha Kariakoo kimetuonyesha ni kwa namna gani demokrasia inaweza kusababisha usumbufu wa hovyo kwa wananchi! Hivi ki sakata cha kumalizwa na RC ndiyo kinasumbua watu namna hii?! Ndugu zangu mambo kama hayo ndiyo yanatufanya tuendelee kumpa Magufuli maua yake! JPM...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Lala salama Hayati Magufuli hukuwahi Kudharaulika na Watendaji wako, Uliogopwa Kiufanisi, nchi ilienda na tulinyooka vilivyo

    Wewe Mwenyewe kwa kutaka Sifa kwa tuliokuwa tukikusikiliza na kumuonyesha aliyekuwa Juu yako alikuwa hafai ulisema hutokuwa Mkali na Bandidu na utatudekeza sasa leo unalialia nini kuwa Unadharaulika na Watendaji wako tena uliowateua Mwenyewe? Wenye Akili Kubwa hapa tunaona unatupigia tu Kelele...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Enzi za Hayati Magufuli Leo angeondoka na Vichwa kariakaoo

    Watumishi wa umma Kwa sasa wamejaa viburi na dharau wanajua fika kabisa Mzee Baba hayupo na serikali ni dhaifu Bin taabani. Enzi zile Kelele hizi zingelambisha watu mchanga Leo, ila ndo hivyo tena hii serikali yakustwa tu afu unaachwa uendelela na Ujinga ujinga
  11. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Magufuli kwa ukali: " Wewe RM yaani unazidiwa kuamua na mwandishi wa habari Msigwa, kweli?!

    Kisa kingine cha kweli acha niwashirikishe kuhusu JPM kipindi alipokuwa W UJ. Kama sikosei ilikuwa mwaka 2013 kipindi hicho miradi miwili ya barabara kuanzia Songea mjini hadi Namtumbo na Likuyu hadi Mbinga ilikuwa inatekelezwa kwa ufadhili wa MCC. Songea - Namtumbo Mkandarasi wake ilikuwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa bado sijaona makosa ya Hayati Magufuli labda kosa alilonalo ni kuipenda Tanzania kwa maisha yake na huo ndio upendo wa kweli.

    Mpaka sasa najaribu kutafuta makosa ya Hayati JPM nikiri kusema sijaona makosa yoyote labda pengine macho yangu yameamua kuangalia yanayopendezwa nayo au kwa sababu nyingine yoyote ila sijaona. Nakumbuka Hayati aliwahi kusema alikuwa anafuatwa na makandarasi na kumuahidi mabilioni ya shilingi...
  13. polokwane

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nikuombe sikiliza vilio vya wananchi wewe mwenyewe, usilishwe maneno kwamba ni harakati za pro Magufuli. Unachonganishwa

    Ninadhani kuna watu wanabeba ajenda na matamanio ya wananchi na malalamiko ya wananchi kama ni harakati za wafuasi wa Magufuli. Hali ambayo Mh.Rais na baadhi ha viongozi wenzie wanaziba masikio kwa makusudi kabisa kwa kudhani wanawakomoa hao wanao dhani ni wafuasi wa Magufuli. Mh.Rais...
  14. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyokuwa kwa Membe kutokudhuria pia Bashiru, mke wa Magufuli na wengine wengi hawajahudhuria

    Membe hakupata kuhudhuria wala kumlilia Magufuli kwenye kifo chake jambo ambalo mke wa Magufuli naye hajafanya kuhusu kifo cha Membe. Ikumbukwe, wanazi wote wa upande wa Membe hawakuhudhuria ima ibada ama kuagwa kwa JPM vivyo hivyo wanazi wa JPM ukimwondoa (double agent Makonda)...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ulikuwa wapi Kuwakemea na Kuwashangaa walioshangilia Kifo cha Magufuli hadi Kuchukia wanaoshangilia cha Membe?

    Watoto wa Mjini wanasema tulieni Dawa iwaingie vizuri kwani Ubaya Ubayani tu. Halafu uache Ushamba kama ilivyo Desturi ya Waha ya Kuvaa Shati Jeupe Msibani.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Membe, Kinana, Nape, Makamba kwanini hawakumzika Rais Magufuli?

    SIKU ya mazishi ya HAYATI MAGUFULI, Membe, Kinana, Nape, Makamba Baba na Makamba mtoto hawakuonekana mazikoni nini kiliwasibu kutomzika Magufuli? Maswali haya walijiuliza watanzania wengi kwamba Magufuli aliwakosea nini hadi washindwe kumzika? Kama nitakuwa nimekosea kusema hawakuwepo kumbe...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

    Katika Mkeka wako nimetafakari mara mbili mbili hasa pale Ulipoandika nanukuu...."Mimi (Wewe) na Marehemu Membe kwa nyakati tofauti mlipitia Changamoto (Misukosuko) ya Kimaisha ila mkapeana moyo".... mwisho wa Kukunukuu. Binafsi kama GENTAMYCINE imenibidi nianze kutafuta kama kuna Mkeka wako...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya mwisho ya Membe akieleza sababu za kutoelewana na Magufuli

    Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (68), hatimaye amefichua mambo yaliyomfanya asielewane na aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli. Membe ambaye ni mmoja wa mashushusu hodari nchini, amesema Rais Magufuli, pamoja na mambo mengine, alimfitini...
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Hakuna kifo kiliniumiza kama cha Magufuli

    Namaanisha hata Mungu anashuhudia! Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli! R.I.P JPM. R.I.P BABA.
  20. ChatGPT

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Bernard Membe na John Magufuli Baada ya Kukutana Mbinguni

    Mara tu baada ya kuwasili mbinguni, Bernard Membe anakutana na Rais John Magufuli wanasalimiana na kuanza kuzungumza, ila punde si punde Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere anawajoin. Membe alimuuliza Mwalimu Nyerere kama alikuwa amefurahishwa na jinsi Tanzania ilivyokuwa ikiendelea tangu...
Back
Top Bottom