magufuli

  1. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Nani aliyesema mafisadi wanaweza kutaka kiongozi mwenye kuwadhibiti? Kati yao, nani atake tena kiongozi kama Magufuli?

    Siku zote fisadi ni kama mtu kipofu asiyeelewa wala kujua kama naye ni mtu wa kufa kama ilivyo kwa wengine Kazi kubwa kwao ni kuiba na kukusanya mali pasipo kujua uhalali wa makusanyo hayo, kwa bahati mbaya kabisa, hata wakiwa navyo vyote, bado watataka na kingine kutoka mahali popote na kwa...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wananchi wenye uelewa mdogo hawataacha kumsifia Magufuli aliyeua uchumi wao

    Mtu mwenye akili ndogo, mwenye roho ya umaskini ni kama mchawi tu. Furaha yake ni kuona tajiri anashuka sio yeye kupanda. Maskini wa akili na kipato waliufurahia sana utawala wa Magufuli maana walikuwa wanaamini matajiri wanakomeshwa na wataishi katika wimbi la ufukara kama wao kitu ambacho ni...
  3. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Vita ya Uchumi haijawahi kuwa nyepesi, Hayati Magufuli aheshimiwe

    Habari JF, vita ya Uchumi kuanzia mitaani, mirathi na makazini hata iwe ndogo haijawahi kuwa nyepesi na haijawahi acha mtu salama. Ukiwa kiongozi wa juu nchi za Africa huwa hakuna vita nyepesi ya uchumi sababu unakuwa unapigana watu wa ndani ya nchi lakini pia na mataifa ya nje. Magufuli...
  4. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda, mwanafunzi wa Hayati Rais Magufuli anayevutia watu kila kona ya nchi anayopita

    Jamii ina mengi yasiyotatuliwa, ziara ya Mwenezi wa CCM Paul Makonda imegundua changamoto nyingi ambazo hazijatatuliwa ni kama vile viongozi wengi wamechaguliwa kwa bahati mbaya hawakujiandaa kuwa viongozi na ndio maana wameshindwa kutatua matatizo yaliyo kwenye jamiii wanazozihudumia, je...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kuna Rais anayependwa duniani kama Kim Jong Un? Hata Magufuli hakumfikia

    Kuna Rais anapendwa duniani kuliko huyu? Amepata ushindi wa asilimia 100 kwenye majimbo yote nchini kwake. Hata Magufuli hakufikia kupendwa hivi.
  6. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya bank za kibiashara aliyokuwa anakopa Magufuli machungu yake ndio yanaonekana sasa

    Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS Magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu Wakati Magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako...
  7. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Tofauti kubwa kati ya Hayati Magufuli na Rais Samia ni uvumilivu na kiwango cha ubinadamu. Tuipende Nchi yetu

    Habari Jf , Tanzania inajengwa na itajengwa na watu wanao ipenda ingawa wengine wanaijenge kwa maslahi yao binafsi lakini maendeleo kama haya huja na maumivu makubwa kwa wengine. Rais Samia na hayati Magufuli wote ni watu wenye upendo wa kweli na Nchi hii ukiachana na siasa na propaganda...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa umeme nchini: Kwanini serikali ya CCM chini ya Marais wao watatu Kikwete, Magufuli na Samia imeshindwa kupata Suluhu ya kudumu?

    1. Tatizo lilianza seriously wakati wa utawala wa Jakaya Kikwete (2005 - 2015). Alijaribu kulitatua lakini serikali yake haikuwa na nia ya kutatua bali viongozi wa serikali kutumia tatizo hilo kufanya ufisadi ili kuiba pesa ya umma tu. Rejea kashfa ya Richmond. 2. Tatizo hili limedumu kwa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Makonda ana tabia zote za Hayati Magufuli

    Habari wanajamvi? Nilikuwa naangalia katibu mwenezi Paul Makonda yupo anyara Leo na Leo analala anyara ili kesho aende kelele kusikiliza matatizo ya wananchi. Ninaona kabisa zile itikadi za Magufuli anazo kwa asilimia zote. Na haya ma game Makonda anayaweza sana. Kuna mama alikuwa anadai...
  10. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Ningeteuliwa kuwa Mwenezi kipindi cha Magufuli wangenyooka hawa

    "Mimi ni Mwenezi ninaebadilika kutokana na mazingira, ningeteuliwa kuwa Mwenezi kipindi cha Magufuli chuma wale jamaa wangenyooka. "Sasa Kipindi hiki na mimi najaribu kuwa na kauli za mama, Mama mstaarabu, unatamani kupiga panch lakini unasema mhhh, mama sio mapigo yake haya. Sasa kwa upendo...
  11. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Maadui wa Magufuli walikuwa pamoja na wamoja wametawanywa kwa njia saba ogopeni sana kuchezea wapakwa mafuta wa bwana

    Bwana atawafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yako; watakutokea kwa njia moja, lakini watakimbia mbele yako kwa njia saba. hili ni andiko liko katika kitabu cha mhubiri 28:7 Mafarisayo na Masadukayo Sasa hivi wameshindwana nyama ya wajanja huwa haiiivi
  12. uran

    JamiiForums Tanzania Picha: Meli kubwa ya abiria, Norwegian Dawn imetia nanga Dar 16.01.2024

    Imekuja na Watalii zaidi ya 2,000. Mama anafungua Nchi. #VisitTanzania#
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kama hayati Magufuli alikiwa dhalimu mbona anakumbukwa na raia wanyonge kila kona na wanamchukia rais Samia?

    Tumieni akili acheni ujinga na upuuzi. Kila kona watu watu wanalalamika kuna dhuluma na uhuni. Mbona hayati Magufuli alipinga haya? Mbona alikusanya mapato na kudhibiti wizi wa mali za umma. Haya mbona hamsemi ukweli kuwa mama amefeli? Mama amefeli
  14. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Hakuna kosa wala dhambi kumkumbuka Magufuli, aliiweza nchi, kwa sasa kuwa na uhakika wa mambo ya kesho, haijulikani

    Ni ujinga kulazimishwa eti tusikumbuke uzuri wa ilivyokuwa awamu ya Magufuli Ni ujinga kuendelea kutiana moyo kwamba, eti tupo pazuri na tunaelekea pazuri zaidi hivi, Magufuli alitumia miujiza gani kwenye suala la Umeme na mgao kutokuwepo? Yeye alifanyeje kumeneji suala la mlipuko wa bei za...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Polisi watatu wafungwa miaka 20 jela kwa Rushwa

    Askari hawa walikuwa wakifanya mambo aliyokuwa anayependa Magufuli kipindi chake . ================================================= Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewahukumu Askari Polisi watatu wa...
  16. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli hakuwa Dikteta

    Magufuli hakuwa Dikteta kama baadhi ya wananchi walivyokuwa wakimlaani Alikuwa akichukizwa na watu vigeugeu au wasaliti Alitaka akiagiza tufanye kazi basi tufanye wote sio wengine waende kinyume Na jambo jema ni kuwa maagizo yake yalikuwa ya kuleta maendeleo Tatizo la Watanzania 80% ni...
  17. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli: Happy New Year Watanzania wote na Mungu awabariki sana

    Happy New Year Watanzania wote na Mungu awabariki sana.
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mauaji haya yangefanyika kipindi cha Magufuli kelele zingekuwa nyingi, ila kwa Samia tunapotezea sababu sio "dikteta"?

    Utekaji na Mauaji haya vingefanyika kipindi cha Magufuli kelele zingekuwa nyingi, ila kwa Samia tunapotezea Kwa sababu sio "dikteta" au hafoki foki jukwaani Soma taarifa hii uone polisi wanavyofanya utekaji na mauaji bila kificho chochote na hawafanywi chochote. ≠============...
  19. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania TAWA ni matapeli tu hawana lolote. Natamani Hayati Magufuli angekuwa hai

    Hawa wahuni tangu watuambie wanafuatilia zile nyara zilizo kamatwa Australia mpaka leo Hakuna mrejesho mwaka unaisha sasa Afu leo wanakwambia wataleta ufafanuzi juu ya mamba aliyeuawa upuuzi Mtupu. Ivi tuna TISS kweli? Nchi hii kuna watu wanafaa kunyongwa ili kuwatia Adabu nao ni TAWA na...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Daktari wa Magufuli akiwa Kiongozi na uhusika wake katika afya ya Rais

    Najiuliza sana hili swali ni nani alikuwa Daktari wa Rais Magufuli kipindi yupo Madarakani. Na alimpata wapi? Au alipendekezewa na nani?
Back
Top Bottom