Video: Mbinu hii ya Katibu Mwenezi Makonda haikumsaidia Magufuli na haitamsaidia Rais Samia kamwe!

Uzima Tele

JF-Expert Member
Jan 20, 2023
1,104
2,345

Courtesy: Ansbert Ngurumo with SK Media Online TV

====================================================

Kwa muhitasari:

✍️Ansbert Ngurumo anasema, Paul Makonda anakwepa kutoa dira na nini atakifanya kwa kuzingatia majukumu yake ya kikatiba Kwa mujibu wa katiba ya Chama Cha Mapinduzi - CCM na badala yake anahangaika na u - demagogi..

✍️Kwa wasiojua, majukumu ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kwa mujibu wa katiba ya chama chao yaani CCM ni:

1. Kushughulika na masuala muhimu ya Itikadi ya CCM..

2. Kueleza na kufafanua Itikadi, Sera na Mipango ya CCM..

3. Kupanga na kuandaa mafunzo ya makada na wanachama wa CCM.

4. Kuyatangaza mambo haya (Sera, Itikadi na Mipango) na kuyafanyia uenezi kwa umma..

5. Kuongoza maandalizi ya Sera, Mipango na Ilani ya chama chao..

6. Kusimamia utafiti, kumbukumbu na kulinda maktaba ya chama chao..

=================================================
Hivi huyo mhuni anayeonekana kwenye kipande Cha video hiyo anamsaidia Makonda na CCM kutekeleza jukumu gani la Paul Makonda katika hayo yaliyoorodheshwa hapo☝️☝️ juu?

Haa haa. Ni u - demagogi tu mbele kwa mbele!

Je, atamjenga Rais Samia na CCM yake au anampeleka kaburini pia?
 
View attachment 2796729

Hayo majukumu ya katibu mwenyezi WA chama changu cha mapinduzi ni majukumu makuubwa sana na mazito.hivyo yanaitaji mtu ayafanyie utafiti,mipango,ushawishi wa kisera kujipanga na maandalizi yakutosha kabla hujaanza kuyaelezea na kuyafanyia kazi mbele ya umma.
 
Kwahiyo mbinu zako ndio zitasaidia. Hii nchi kila mtu mjuaji mjuaji tu!!! Hapo pengine hata mkeo tu anakusumbua
 
Ni kwa sababu tuna jadili na uenda hata huyo ngurumo anajua au ameandija ili tusimsahau km yupo!.

Hivi unadhani hayo majukumu Makonda au viongozi wenzake hawayajui?.
 
Mbona wewe shoga ulibaki Tanzania na hukuuliwa?
Mimi basha watoto kama wewe nawapelekea moto wa hatari. Na uko kwenye rada zangu lazima nikuweke kitu kigumu chenye ncha butu,ruka ruka tu lakini lazima utajaa kwenye fremu yangu
 
Hayo majukumu ya katibu mwenyezi WA chama changu cha mapinduzi ni majukumu makuubwa sana na mazito.hivyo yanaitaji mtu ayafanyie utafiti,mipango,ushawishi wa kisera kujipanga na maandalizi yakutosha kabla hujaanza kuyaelezea na kuyafanyia kazi mbele ya umma.
Swali linabaki huyu Paul Makonda mwenye shule na elimu ya mashaka; mtu mhuni na mwenye demagogic characters ataweza kutekeleza majukumu hayo?

First impression yake tu, tayari ameshaonesha kuwa Paul Makonda siyo asset bali ni liability Kwa CCM yote!!
 
Ni kwa sababu tuna jadili na uenda hata huyo ngurumo anajua au ameandija ili tusimsahau km yupo!.

Hivi unadhani hayo majukumu Makonda au viongozi wenzake hawayajui?.
Bila shaka wanayajua...

Imeletwa public tujadili kujua au kutojua kwao na impact yake ktk jamii ya Watanzania..

Kumbuka CCM ndio chama kinachounda na kuongoza serikali at least kwa sasa..

Maamuzi yao (mazuri au mabaya), moja kwa moja yanaweza kuleta athari chanya au hasi ktk serikali na hivyo kwa nchi yote kwa ujumla..

By the way, huko CCM Kuna idara ya propaganda bila shaka..

Nafikiri propaganda na kusema hovyo kungeachwa kwa watu wa idara hiyo na yeye Paul Makonda akabaki ku - deal na majukumu yake ya msingi..
 
View attachment 2796729
Courtesy: Ansbert Ngurumo with SK Media Online TV

====================================================

Kwa muhitasari:

Ansbert Ngurumo anasema, Paul Makonda anakwepa kutoa dira na nini atakifanya kwa kuzingatia majukumu yake ya kikatiba Kwa mujibu wa katiba ya Chama Cha Mapinduzi - CCM na badala yake anahangaika na u - demagogi..

Kwa wasiojua, majukumu ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kwa mujibu wa katiba ya chama chao yaani CCM ni:

1. Kushughulika na masuala muhimu ya Itikadi ya CCM..

2. Kueleza na kufafanua Itikadi, Sera na Mipango ya CCM..

3. Kupanga na kuandaa mafunzo ya makada na wanachama wa CCM.

4. Kuyatangaza mambo haya (Sera, Itikadi na Mipango) na kuyafanyia uenezi kwa umma..

5. Kuongoza maandalizi ya Sera, Mipango na Ilani ya chama chao..

6. Kusimamia utafiti, kumbukumbu na kulinda maktaba ya chama chao..

=================================================
Hivi huyo mhuni anayeonekana kwenye kipande Cha video hiyo anamsaidia Makonda na CCM kutekeleza jukumu gani la Paul Makonda katika hayo yaliyoorodheshwa hapo juu?

Haa haa. Ni u - demagogi tu mbele kwa mbele!

Je, atamjenga Rais Samia na CCM yake au anampeleka kaburini pia?
Endelea kusuguliwa huko majuu,huna lolote
 
Back
Top Bottom