magufuli

  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025 isiwe sababu ya Rais Samia kumtumia Hayati Magufuli kama chambo ili kuwavuta Watanganyika wasiomkubali

    Naona anataka kuwaaminisha watanzania kuwa na yeye pia ni Rais wa Wanyonge. Eti atakuwa anasikiliza wananchi mmoja mmoja kero zao. Mbona alipochukua urais wa kurithi hakufanya haya mapema? Akakumbatia kundi la wahuni? Alipoona hakubaliki akamteua Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu. Akaona...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ili kupaa kisiasa Tanzania inabidi umuongelee Hayati Magufuli tu

    Asalaam Aleikum, Kama kichwa kinavyojieleza. In Tanzania currently, sio ruling party wala watu wa opposition parties, wote hao wanatafuta political mileages kupitia kumuongelea MZ. Ni kwamba sera za kuongelea na hoja za kisiasa zimeisha au ndo mvuto wa kisiasa wa hao wagombea wenu hakuna...
  3. sanalii

    JamiiForums Tanzania Mtaani kuna vibaka, serikalini kuna majambazi!

    1. Kama Mkuu wa Kituo cha PolisI anaweza shirikiana na wenzake wakaiba hela kisha wakamuua kabisa mtu, 2. Mfanyabiashara aliefariki "Kwa kujupiga risasi" anakwambia polisi alimpigia afisa wa TRA akimwambia "Njoo kuna deal kubwa", na afisa akaja akiwa kavaa pensi na ndala akiongozana na askari...
  4. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ni full of cry babies ndio maana Hayati Mwalimu Nyerere aliachia madaraka na hatukumuelewa Hayati Magufuli pia

    Nchi wamejaa wanachi na viongozi lia lia wanasahau hakuna Maendeleo yanayo weza kuja Jasho , ukiwabana kidogo ili mapato mengi yaingie serikalini huwezi kueleweka , Hayati Benjamin mkapa aliwahi kusema.. "Napenda kuwakumbusha kuwa njia ya maendeleo imejaa jasho na vumbi. Tuzingatie utamaduni...
  5. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM mnataka hayati Magufuli agombee 2025?

    Ni kama sielewi CCM inataka nani awe mgombea wao ngazi ya Urais kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Kati ya Hayati John magufuli na Wana CCM wengine walioko hai. Kwenye mitandao ya kijamii hivi Sasa ni kama limezuka Kundi kubwa Sana la wana CCM linalofanya jitihada za kuhakikisha kuwa kila siku...
  6. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Magufuli alikuwa Genius Scientist

    Ushauri wake kuhusu chanjo umeendelea kuwaumbua walio hadaa umma kuwa chanjo ya Corona ni muhimu sana. Haya sasa visa kadhaa vya watu kuganda damu vimeanza kutokea chanzo kikitajwa kuwa ni chanjo. Tunapo elekea wanasayansi watakuja na chanjo ya kuwazimua wote waliochanjwa ili wasipate madhara...
  7. 1

    JamiiForums Tanzania Jinsi Hyati Magufuli alivyochafuaga sera ya Mambo ya Nje na kupaka doa sehemu ndogo ya taswira ya mzee Mwinyi (kupitia kwa Rais Samia)

    Hayati mzee Mwinyi alitenda mengi mazuri na mema kwa nchi, japo nae kama binadamu anamapungufu yake. Huu ni wakati wa maombolezo lakini kuna jambo lilifanywa na Samia miaka miwili iliyopita kwa kumpatia zawadi mzee Mwinyi ambalo linatia doa haiba ya marehem mzee wetu. Kama sijasahau ilikuwa siku...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy wa Magufuli sio huyu wa Rais Samia Hassan

    Huyu mwanadada enzi za Hayati Magufuli alikuwa na nguvu ya kiti chake cha uwaziri ila sasa hivi yupo kama picha tu. Ummy ajue hio changamoto ya NHIF sio mkurupuko, ajitathmini anything to do with bima ya afya iko chini ya uwezo wake, sio external issue. It's something that has been hotting...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kuagwa kwa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Machi 1, 2024

    Fuatilia utoaji wa heshima za mwisho kwa Rais Mstaafu Mwinyi, ambapo ratiba ya maziko yake inaanza leo, nyumbani kwake, ambapo baada ya sala ya sala ya Ijumaa na taratibu kidini kukamilika mwili utapelekwa uwanjwa wa Uhuru kwa Watanzania kuaga na kisha kupelekwa Zanzibar...
  10. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Mwalimu Nyerere Ahsante magufuli

  11. T

    JamiiForums Tanzania Miradi ya Hayati Magufuli inavyowakosesha amani wapinzani. Hata baada ya kifo chake Bado kivuli chake kinawatesa

    Kila Kona ya nchi Sasa ni mtetemo na mtikisiko ikienda sambamba na tabasamu la kumalizika Kwa miradi iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli. Ni juzi tumeambiwa mtambo namba 8 wa kuzalisha umeme katika bwawa la JNHPP umewashwa na kuwashwa huko tatizo la umeme litapungua Kwa 85% ,hii...
  12. Mayor Quimby

    JamiiForums Tanzania What would Magufuli do?

    https://m.youtube.com/watch?v=Kt2cRzvcbEk Ni shida mashirika ya umma 1….TFC (msambazaji wa mbolea) Kampuni ambayo alipewa ruzuku ya billlioni 700 juzi tu; ili auze mbolea kwa wakulima kwa bei ndogo ila sio chini ya bei ya soko leo unaambiwa hana mapato, Hela za pembejeo zimeenda wapi ndio...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tujihoji: Kwa nini hayati Julius Nyerere alitaka taifa letu liwe na Viongozi kama hayati Mkapa na hayati Magufuli na Sio Lowassa au Jakaya?

    Ukweli ni kuwa Nyerere alikuwa na maono, aliweza kujua nani kiongozi ambaye atatumikia wanyonge kwa manufaa ya taifa. Na nani atakuwa mpigaji. Wapigaji wanajulikana. Mfano Jakaya alipokuwa madarakani ilikuwa ni skendo za upigaji tu. kagoda, Richmond, Escrow na sasa Dp world ya Dubai. Hayati...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Magufuli: The unity of measure

    Tukiwa katika kuomboleza kifo cha Ndugu Edward Lowasa, na kwa kuzingatia mchango wake katika kulijenga taifa vis a vis matarajio ya watanzania na dunia kwa ujumla; Na kwa kuzingatia michango ya wananchi wengine waliopata nafasi za uongozi wa nchi hii, iwe walishapita au bado wapo; Naomba bunge...
  15. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Nani aliyesema mafisadi wanaweza kutaka kiongozi mwenye kuwadhibiti? Kati yao, nani atake tena kiongozi kama Magufuli?

    Siku zote fisadi ni kama mtu kipofu asiyeelewa wala kujua kama naye ni mtu wa kufa kama ilivyo kwa wengine Kazi kubwa kwao ni kuiba na kukusanya mali pasipo kujua uhalali wa makusanyo hayo, kwa bahati mbaya kabisa, hata wakiwa navyo vyote, bado watataka na kingine kutoka mahali popote na kwa...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wananchi wenye uelewa mdogo hawataacha kumsifia Magufuli aliyeua uchumi wao

    Mtu mwenye akili ndogo, mwenye roho ya umaskini ni kama mchawi tu. Furaha yake ni kuona tajiri anashuka sio yeye kupanda. Maskini wa akili na kipato waliufurahia sana utawala wa Magufuli maana walikuwa wanaamini matajiri wanakomeshwa na wataishi katika wimbi la ufukara kama wao kitu ambacho ni...
  17. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Vita ya Uchumi haijawahi kuwa nyepesi, Hayati Magufuli aheshimiwe

    Habari JF, vita ya Uchumi kuanzia mitaani, mirathi na makazini hata iwe ndogo haijawahi kuwa nyepesi na haijawahi acha mtu salama. Ukiwa kiongozi wa juu nchi za Africa huwa hakuna vita nyepesi ya uchumi sababu unakuwa unapigana watu wa ndani ya nchi lakini pia na mataifa ya nje. Magufuli...
  18. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda, mwanafunzi wa Hayati Rais Magufuli anayevutia watu kila kona ya nchi anayopita

    Jamii ina mengi yasiyotatuliwa, ziara ya Mwenezi wa CCM Paul Makonda imegundua changamoto nyingi ambazo hazijatatuliwa ni kama vile viongozi wengi wamechaguliwa kwa bahati mbaya hawakujiandaa kuwa viongozi na ndio maana wameshindwa kutatua matatizo yaliyo kwenye jamiii wanazozihudumia, je...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kuna Rais anayependwa duniani kama Kim Jong Un? Hata Magufuli hakumfikia

    Kuna Rais anapendwa duniani kuliko huyu? Amepata ushindi wa asilimia 100 kwenye majimbo yote nchini kwake. Hata Magufuli hakufikia kupendwa hivi.
  20. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya bank za kibiashara aliyokuwa anakopa Magufuli machungu yake ndio yanaonekana sasa

    Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS Magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu Wakati Magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako...
Back
Top Bottom